Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

60% of raia wa nairobi wanaishi hivi
facts
20210102_183640.jpg
 
Nimekuwa nikijiuliza, Mbona Watanzania hujibu vitu vizuri za Nairobi, kwa picha mbovu za Kibera.....?

Lakini nimepata kuelewa.

Ukimwambia Mtanzania hapa ni Eastlands Nairobi, atakataa na kuja na takwimu za slums in Nairobi
View attachment 1696919
View attachment 1696920

Ukimwambia kwamba hapa ni Kasarani, ataenda kutafuta picha mbovu ya slums Nairobi.
View attachment 1696921

View attachment 1696923

View attachment 1696924

View attachment 1696925

Ukimweleza hapa ni Runda Nairobi, atakweleza nyumba za wabeberu kisha arudi Kibera,
View attachment 1696946

Ukija useme KIambu ipo kwenye Nairobi Metropolitan Area, atakuletea Map ya Nairobi County aseme Kiambu si Nairobi
View attachment 1696949

Nimepata ufahamu, kwamba Dar es Salaam can not compare with Nairobi.
It can only compare with Slums in it,
Because the whole of Dar es Salaam ni slum.

Another thing, Tanzanians don't watch videos about Kenya posted here, so Kenyans just take screen shots for them
So ww na google earth nani anaakili zaidi😀😀 yani mzungu aweke sattelite ya mabilioni ya pesa asione slum dar aone za dunia nzima
8E1DD29B-B1E5-4D2A-BBD6-DD47419622CE.png
 
Ila zenu focus ni hayo majengo matatu. Nairobi naweza post GTC ionekane tu juu ya urefu but focus iwe kwengine.
Kwa Estates Mombasa iko juu ya Dar. Port Mombasa iko juu ya Dar. Dar inashindia Mombasa CBD, majengo marefu na ukubwa wa eneo tu.
Povu la kijana mmoja kutoka kariobangi 🤣🤣
 

Attachments

  • Screenshot_20210207-231024_DuckDuckGo.jpg
    Screenshot_20210207-231024_DuckDuckGo.jpg
    114.1 KB · Views: 3
  • Screenshot_20210207-230952_DuckDuckGo.jpg
    Screenshot_20210207-230952_DuckDuckGo.jpg
    74.9 KB · Views: 4
  • Screenshot_20210207-231833_DuckDuckGo.jpg
    Screenshot_20210207-231833_DuckDuckGo.jpg
    92.7 KB · Views: 2
  • Screenshot_20210207-232024_DuckDuckGo.jpg
    Screenshot_20210207-232024_DuckDuckGo.jpg
    84.5 KB · Views: 4
  • Screenshot_20210207-232344_DuckDuckGo.jpg
    Screenshot_20210207-232344_DuckDuckGo.jpg
    75.6 KB · Views: 2
  • Screenshot_20210207-232156_DuckDuckGo.jpg
    Screenshot_20210207-232156_DuckDuckGo.jpg
    140.2 KB · Views: 4
Back
Top Bottom