Nimekuwa nikijiuliza, Mbona Watanzania hujibu vitu vizuri za Nairobi, kwa picha mbovu za Kibera.....?
Lakini nimepata kuelewa.
Ukimwambia Mtanzania hapa ni Eastlands Nairobi, atakataa na kuja na takwimu za slums in Nairobi
View attachment 1696919
View attachment 1696920
Ukimwambia kwamba hapa ni Kasarani, ataenda kutafuta picha mbovu ya slums Nairobi.
View attachment 1696921
View attachment 1696923
View attachment 1696924
View attachment 1696925
Ukimweleza hapa ni Runda Nairobi, atakweleza nyumba za wabeberu kisha arudi Kibera,
View attachment 1696946
Ukija useme KIambu ipo kwenye Nairobi Metropolitan Area, atakuletea Map ya Nairobi County aseme Kiambu si Nairobi
View attachment 1696949
Nimepata ufahamu, kwamba Dar es Salaam can not compare with Nairobi.
It can only compare with Slums in it,
Because the whole of Dar es Salaam ni slum.
Another thing, Tanzanians don't watch videos about Kenya posted here, so Kenyans just take screen shots for them