Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwanza EA haina port yenye crude oil storage terminal! Kwahiyo huna unachojua kwenye magnitude ya terminal ya crude oil ya ku-handle 200,000 barrels a day!

Kingine the port will handle 2 pipelines one for gas na another for crude oil! Hapo hatuonglei chances for DRC na South Sudan kujiunga na EACOP kutokana na proximity! Na jua ninaongea kwa kitu ninachojua!

Kwanza Uganda wakianza kutumia Tanga port for crude export hata normal cargo itaanza kupitia Tanga! Na mbele ya investments za JPM ujue Tanga inaenda kuinyang'anya Mombasa port cargo! Kifupi hii pipeline itapita karibu na viwanja vifuatavyo Bukoba airport, Chato Airport, Mwanza International Airport, Tabora Airprt, Msalato International Airport-Dodoma, Ngerengere Airport na Tanga airport!

Sawa wacha tutaona kama Tanga itaipita Mombasa. Time will tell. Although it is very unlikely, in my opinion.
 
Leta sasa cecafa ya nchi uone jinsi harambee stars ni moto kwenye cecafa.
We jamaa hujui hata historia ya CECAFA. Ilianza mwaka 1926. Ilianza ikiwa na Kenya na Uganda pekee. Ilikuwa siyo kwaajili ya clubs.

Tanzania na nchi zingine zimejiunga baadae sana. Lazima nyie na uganda mtaonekana na makombe mengi.
 
onyesha evidence tumewakataa wasomali wa kenya? sisi tunawatetea kila siku dhidi ya dhulma mnayofanyia! mnawasingizia ati ni Al Shabaab!
Kwani Al shabab ni Wasukuma? Au ni Wachagga? Akili kichwani.
 
huyu jamaa ndo kajenga station za Compressed Natural Gas kule mtwara.. sehem ya replies kasema wameyawekea mfumo wa gas magari(trucks) 250
View attachment 1695877View attachment 1695879
Sishangai kwamba ni mzungu ndio katumia akili yake na rasilimali zake kujenga hio compressed natural gas (CNG) station. Nyinyi Waafrika weusi kazi yenu ni kukula na kuenda choo tu.
 
We jamaa hujui hata historia ya CECAFA. Ilianza mwaka 1926. Ilianza ikiwa na Kenya na Uganda pekee. Ilikuwa siyo kwaajili ya clubs.

Tanzania na nchi zingine zimejiunga baadae sana. Lazima nyie na uganda mtaonekana na makombe mengi.
What about latest tournaments, inter clubs kama ya sporrtpesa., club za kwenyu zilitolewa kivumbi na sio mara moja., can you explain?
mpira ni karata, leo utashinda keshoye unanyoroshwa.,
 
Hii pakaging design ya pyramid mmetuibia, Tanzania tulikuwa na kampuni ya maziwa ya serikali yenye vimfuko kama hivyo.
Sisi tulikuwa na kiwanda cha serikali inayoitwa KCC ambayo ilikuwa inatumia packaging ya pyramid. Zamani sana. Halafu sidhani kama packaging ya Maziwa ya pyramid ilivumbuliwa Africa. Waafrika sisi tumewahi kuvumbua nini cha maana? Hii packaging ya pyramid nadhani ilivumbuliwa ulaya.
 
Sishangai kwamba ni mzungu ndio katumia akili yake na rasilimali zake kujenga hio compressed natural gas (CNG) station. Nyinyi Waafrika weusi kazi yenu ni kukula na kuenda choo tu.

hapo kwenu kuna mitambo gan ya umeme/gas mkenya katengeneza hapo??? nipe mfano...
technology zote za mambo ya gas hakuna nchi EA imeweza kucreate
 
We jamaa hujui hata historia ya CECAFA. Ilianza mwaka 1926. Ilianza ikiwa na Kenya na Uganda pekee. Ilikuwa siyo kwaajili ya clubs.

Tanzania na nchi zingine zimejiunga baadae sana. Lazima nyie na uganda mtaonekana na makombe mengi.
Kwenye Cecafa ya nchi baina ya nchi, even in the last 20 years national team ya Kenya inafanya vizuri kushinda Tanzania. Tumeshinda kikombe ya Cecafa nadhani mara mbili in the last 15 years.
 
Leta sasa cecafa ya nchi uone jinsi harambee stars ni moto kwenye cecafa.
Facts never lie, football bado data inaweka Kenya above TZ.,
Latest matches za inter clubs between Kenya na Tz
2018 Kariobangi Sharks ilibwaga Simba

2019 Bandari ilibwaga Simba na Sharks wakatoa Mbao finaly ikawa Kenya vs Kenya mjina Dar

CECAFA 2019 Kenya vs Tanzania

CECAFA wanawake in Dar Starlets wakatandika wanadada wa Tz fainali, Kenya won all their matches

AFCON 3-2
 
hapo kwenu kuna mitambo gan ya umeme/gas mkenya katengeneza hapo??? nipe mfano...
technology zote za mambo ya gas hakuna nchi EA imeweza kucreate
Geothermal power tunajichimbia na hata sasa hivi tunachimbia Ethiopia.
 
Sishangai kwamba ni mzungu ndio katumia akili yake na rasilimali zake kujenga hio compressed natural gas (CNG) station. Nyinyi Waafrika weusi kazi yenu ni kukula na kuenda choo tu.
[/QUtunavyo kula vinajileta
 
you might be correct, but I doubt any Tanzanian anaweza kua haitakii mema nchi yake, just because wapinzani wako na different ideology politically haimanishi wao ni adui wa taifa, your argument is a total fallacy fed by propaganda, it is clear your blind patriotism has clouded your judgment on the matter. However yule jamaa ambaye alitoa jibu lake alikua sahihi, he gave a clear observation objectively, lakini kwa vile hampendi ukweli unao onyesha aibu mtatoa vijisababu., the dude was actually correct. The best anyone would have done munge mu prove wrong tu.
Shida yako unang'ang'aniza unachojua wewe kuhusu tz lakini hujui kitu,hao wapinzani hawajawahi kuwa positive kwenye chochote kile ,raisi wakati anapambana kurekebisha mikataba ya madini wao walikua msari wa mbele kumpinga kwa hoja za eti tutanyimwa misaada (unyimwe misaada na chako.?) story ilikua hiv 👇 . Siku chache baadae baric wakaja bongo na kunyoosha mikono juu . Done, huijui tz kaa kimya
 
Facts never lie, football bado data inaweka Kenya above TZ.,
Latest matches za inter clubs between Kenya na Tz
2018 Kariobangi Sharks ilibwaga Simba

2019 Bandari ilibwaga Simba na Sharks wakatoa Mbao finaly ikawa Kenya vs Kenya mjina Dar

CECAFA 2019 Kenya vs Tanzania

CECAFA wanawake in Dar Starlets wakatandika wanadada wa Tz fainali, Kenya won all their matches

AFCON 3-2
Sisi mpira hatujui hilo halina ubishi, tunaupenda sn ila ulitukataa but we have the best soccer league in the region, km England vilee mpira hawajui ila ligi bora
JamiiForums-368537453.jpg
 
Back
Top Bottom