Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

East Africa nchi zilizoenda CHAN 2021 group stage ni Uganda, Tanzania and Rwanda. Siioni Kenya.
Mimi nazungumzia in the last 15 years wewe unazungumzia 2021. Ulipita mtihani wa shule vipi wewe?
 
Hahaha Kwa hivyo umekubali kwamba mpira imewakataa?
Mpira sisi hatujui kabisa ila tuna ligi bora kwakuwa tuna pesa ya kulipa wachezaji kutoka mataifa ya nje kuja kung'arisha ligi yetu, mchezaji wa Tanzania analipwa vzr kuliko wewe na elimu yako au kuliko mabosi wengi tu Africa hapa.

But kwa upande wa sisi Watz kiukweli mpira haujawahi kutupenda niwe mkweli ktk hilo, tunaupenda sn sn mpira lkn umetukataa kabisa na ndiyo maana unaona tm yetu ya taifa inapata tabu kuzifunga nchi ndogo ndogo zenye migogoro km Kenya, Burundi, hata Rwanda enzi zile wana matatizo lkn tulikuwa tunapata tabu sana kuwafunga.

Congo kila siku vita lkn hatuwawezi, hata nyie Wakenya hamjui mpira lkn hatuwezi kuwa na guarantee ya kuwafunga, hii ni kwasababu hatuujui mpira kabisa, lkn kwenye suala la vilabu mtasubiri sana ukanda huu mana itafika kipindi tutawanyanyasa sn mana tume invest vya kutosha huko.

Ila co national team, mpira hatujui ni kama unavyoona SA au England bac na sisi tupo kundi hilo.
 
Tuvuruge mada kidogo
255620572985_status_d2dc576f6637469e8eb024ee854a12aa.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji85][emoji118]View attachment 1695931
Maduka ya kuuza uzi wa dera[emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom