Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe tatizo lako ni kwamba wewe sio mwepesi wa kuelewa mambo. Sasa Tanga itakuwaje the biggest port in East Africa? Itashindaje port of Mombasa kwa weight of cargo handled? Hata tukiconvert lita za mafuta zitakazopitia port of Tanga from litres into tonnes bado port of Tanga haitafikia port of Mombasa in terms of tonnage of cargo handled. So in terms of tonnage of cargo handled, Mombasa ni King leo na itazidi kuwa King hata siku za usoni hata wakati EACOP itakapoanza kufanya kazi. Hata siku za usoni Mombasa bado itakuwa inahandle more tonnes than Tanga. Na ukubwa wa port huwa inapimwa aidha na tonnes handled au TEUs handled.
Kwanza EA haina port yenye crude oil storage terminal! Kwahiyo huna unachojua kwenye magnitude ya terminal ya crude oil ya ku-handle 200,000 barrels a day!

Kingine the port will handle 2 pipelines one for gas na another for crude oil! Hapo hatuonglei chances for DRC na South Sudan kujiunga na EACOP kutokana na proximity! Na jua ninaongea kwa kitu ninachojua!

Kwanza Uganda wakianza kutumia Tanga port for crude export hata normal cargo itaanza kupitia Tanga! Na mbele ya investments za JPM ujue Tanga inaenda kuinyang'anya Mombasa port cargo! Kifupi hii pipeline itapita karibu na viwanja vifuatavyo Bukoba airport, Chato Airport, Mwanza International Airport, Tabora Airprt, Msalato International Airport-Dodoma, Ngerengere Airport na Tanga
airport!

EACOP.png








 
Huyu Mwalimu japo nakubali alikuwa mtu mzuri ila huwa mnamuabudu sana.
Mwalimu snaheshimika duniani kote. Legacy yake is unquestionable, tafuta tu interviews zake YouTube utaelewa what kind of person Mwalimu was. Angalia pia state visits zake US, UK, China utaona vile nchi hizo zilisimamisha shughuli zake kwa kumpokea.
 
onyesha evidence tumewakataa wasomali wa kenya? sisi tunawatetea kila siku dhidi ya dhulma mnayofanyia! mnawasingizia ati ni Al Shabaab!
Hehehe!!leo unapinga na wakati mnasema wameiteka kenya mkitumia mifano ya eastleigh
 
onyesha evidence tumewakataa wasomali wa kenya? sisi tunawatetea kila siku dhidi ya dhulma mnayofanyia! mnawasingizia ati ni Al Shabaab!
Leo imekua mnawatetea sio na huaga mnashinda mkisema wataichukua nchi[emoji1787][emoji1787]
Watz kweli ni wanafiki
 
Back
Top Bottom