Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa kauli hii mana ake umeshatii kuhusu football clubs so case closed, ongelea mbio
Majivuno tu haya lakini tukifika uwanjani nyang'au huwa tunawatandika vibaya sana. Kwenye Cecafa tumezoea kuwapiga kama watoto wetu.
 
Roho zao mbaya/nyeusi kama sura zao zilivyoo.
Kwenye maeneo mengi tz ya mipaka utakuta wakenya kibao wanafanya shughuli/makazi bila hata vibali lakini wa tz hatuwachomi tunakanao kama ndugu.
Ni rahic sana mtz kumchomea myarwanda, waethiopia kuliko mkenya lakini ni tofauti sana wanavyotuchukulia tukiwa kunya land
 
Watz tuko huru kila mtu anachangia anavyojisikia, wengi wa wanaoponda ni wale wenye mlengo wa kisiasa especially wale waliotumbuliwa, lkn hata wao pia cku hz wameanza kuelewa taifa linaelekea wapi, co nyinyi nchi imejaa upuuzi eti mnaona haya kusema ukweli humu.
Eti mlengo wa kisiasa the dude is totally objective, wacha lame excuse, move on peacefully.
 
Roho zao mbaya/nyeusi kama sura zao zilivyoo.
Kwenye maeneo mengi tz ya mipaka utakuta wakenya kibao wanafanya shughuli/makazi bila hata vibali lakini wa tz hatuwachomi tunakanao kama ndugu.
Ni rahic sana mtz kumchomea myarwanda, waethiopia kuliko mkenya lakini ni tofauti sana wanavyotuchukulia tukiwa kunya land
Umesema ukweli asee
 
Huo
Eti mlengo wa kisiasa the dude is totally objective, wacha lame excuse, move on peacefully.
Uliopewa ndio ukweli mzee.upinzani wa bongo now upo negative sana kiufupi haulitakii mema taifa letu kwahyo hautawahi kuona wakisifu hata mzee afanye mema yepi. Kwakifupi upinzan kwa tz ni upuuzi tu kama kutembea uchi na aina zingine za upuuzi unazozijua
 
. Bora ya Egypt inaejitahid kuendana na dunia, EA unafki na kujisifia kwingi 😂😂 Kenyans wa kutumia vizuri adjective mpo.? (The biggest.. in Africa 😂😂 the most beautiful what not in Africa 😂😂 the longest I don't in Africa 😂 😂😂 ) jirani mnafurahisha sana .ukija ground Ni vumbi tu The best 007 sema na ndugu zako hao
 
Back
Top Bottom