Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hatunaga ubaguzi sisi,mtu akizaliwa Tanzania anapata stahiki zote za kitanzania,ndio maana huku kuna wakina mungai,kairuki,njoroge n.k washawahi kushika nyadhifa kubwa serikalini mpaka uwaziri
Kwn wale ambao mnawaita wageni huku kwetu kenya ndio hawana stahiki zote za kikenya
Wanafiki, hii tunaita mkuki kw nguruwe
 
Raha ya Tanzania uwe mhindi,mzungu,msomali n.k,mkoa utakaozaliwa basi ndio kabila lako litakua la hapo utakapozaliwa,bashe hapo ukimuuliza kabila atakuambia mnyamwezi,wenzetu mungiki hawanaga hiyo kitu,nairobi kuna mtaa ni wasomali watupu!
Umerudi pale pale ya kwamba kwenu ni watz kwetu ndio wageni
Unajificha na unafiki lkn imeshindikana, *****, kwn ni kosa la jinai wasomali kuishi sehemu moja
 
Maduka ya kuuza uzi wa dera
huyu nae yupo huku anakula maisha VP unamjua?View attachment 1696076View attachment 1696075take your time bitch
20210206_185013.jpg
 
Mbona asikae kwao km yupo vizuri ama aende ulaya..
Mnaenda kubeba vijana maboya ambao hata academy hawaja qualify halafu unakuja kuturingishia hapa..

Haya huyo hapo kw timu kafanya nn tangia ajiunge mpka utukane watu we kenge..
😂😂😂😂😂😂😂😂😂kumbe unafatiliaga 🇹🇿🇹🇿
duh...kumbe ligi yetu imekua
 
Back
Top Bottom