Moja wapo ya nchi za afrika ambayo ipo na history ya mixed races from all over the world ni nchi yetu tukufu Tanzania na Wala hotowahi kuskia unaulizwa we kabila ghan 🙂ukabila na race hauna nafasi bongo,mbongo ni mbongo tu🙂ukabila tuliwaachia nyie🙂Yaani Geza nyinyi pia mna Wasomali huko Tanzania? Dadeki. Sikujua hili.
The best 007 yaani mna Wasomali huko na mbona sikuwa nalifahamu jambo hilo?
Tanzania ina watu wote wa east africa and central kama marehemu mzee Mungai alikua mwanasiasa mkubwaYaani Geza nyinyi pia mna Wasomali huko Tanzania? Dadeki. Sikujua hili.
The best 007 yaani mna Wasomali huko na mbona sikuwa nalifahamu jambo hilo?
Watumwa nyie[emoji1787][emoji1787]Moja wapo ya nchi za afrika ambayo ipo na history ya mixed races from all over the world ni nchi yetu tukufu Tanzania na Wala hotowahi kuskia unaulizwa we kabila ghan [emoji846]ukabila na race hauna nafasi bongo,mbongo ni mbongo tu[emoji846]ukabila tuliwaachia nyie[emoji846]
Lkn ikija uoande wa hku kwetu hao watu wa nje mnawaita wageni[emoji1787][emoji1787]Tanzania ina watu wote wa east africa and central kama marehemu mzee Mungai alikua mwanasiasa mkubwa
Ndo maana mnapigwa viboko hadharani na wachina na wahindi🙂utumwa wetu huo huo umetuunganisha makabila na races zote tuwe pamoja VP nyie wazee wako huru? VP issue ya Tom chomley iliishia wapi? Baada ya kumpiga mkenya risasi akifikiria ni monkey?🙂Watumwa nyie[emoji1787][emoji1787]
Heri tena jiwe anajitambua ndio manake hasahau keao na watu wake..
Hii packaging design ya pyramid mmetuibia, Tanzania tulikuwa na kampuni ya maziwa ya serikali yenye vimfuko kama hivyo.Ni maziwa ya Brookside. Yaani hujui hilo. Hiyo ndio maziwa ambayo mngekuwa mnakunywa sasa hivi kama hamgezuia maziwa ya Uhuru kuja Tanzania
View attachment 1695760
Nyie mumepotoshwa ke kisingizio cha ukabila ndio mkatengezewa kabila moja kuu..Ndo maana mnapigwa viboko hadharani na wachina na wahindi[emoji846]utumwa wetu huo huo umetuunganisha makabila na races zote tuwe pamoja VP nyie wazee wako huru? VP issue ya Tom chomley iliishia wapi? Baada ya kumpiga mkenya risasi akifikiria ni monkey?[emoji846]
Ndio manake nikawaambia jezi zenu feki, uzi wa kueleweka hauwezi shonewa deraKama utalipenda hili dera njoo pm nakutumia buree huko msa
Umepanic[emoji1787][emoji1787]tokalini wakunya wakajua kuvaa wewe?
yan nyie mnauhaba na vitu vizuri so hamjui vizuri vinafananaje [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji86][emoji86][emoji86][emoji86][emoji86][emoji86][emoji86][emoji86][emoji118]
vip nikununulie dera moja ......?..Umepanic[emoji1787][emoji1787]
Uzi wa adidas huo, bila shaka umeupenda lkn unaona haya
Huyu Mungai sijui alikuwa na agenda gani ya siri na elimu yetu, kipindi cha uwaziri wake wa elimu alifuta masomo ya biashara kwa o'level akaunganisha physics and chemistry ikawa somo moja kuanzia form one mpk form four, ni mkenya mamluki huyu ameharibu maisha ya watu.Tanzania ina watu wote wa east africa and central kama marehemu mzee Mungai alikua mwanasiasa mkubwa
Eti uzi fake!Ndio manake nikawaambia jezi zenu feki, uzi wa kueleweka hauwezi shonewa dera
Leta sasa cecafa ya nchi uone jinsi harambee stars ni moto kwenye cecafa.Cecafa zote naona ni timu za Tz na Uganda ndio zimedorminate
View attachment 1695868View attachment 1695869
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji85][emoji118]Umepanic[emoji1787][emoji1787]
Uzi wa adidas huo, bila shaka umeupenda lkn unaona haya
you might be correct, but I doubt any Tanzanian anaweza kua haitakii mema nchi yake, just because wapinzani wako na different ideology politically haimanishi wao ni adui wa taifa, your argument is a total fallacy fed by propaganda, it is clear your blind patriotism has clouded your judgment on the matter. However yule jamaa ambaye alitoa jibu lake alikua sahihi, he gave a clear observation objectively, lakini kwa vile hampendi ukweli unao onyesha aibu mtatoa vijisababu., the dude was actually correct. The best anyone would have done munge mu prove wrong tu.Huo
Uliopewa ndio ukweli mzee.upinzani wa bongo now upo negative sana kiufupi haulitakii mema taifa letu kwahyo hautawahi kuona wakisifu hata mzee afanye mema yepi. Kwakifupi upinzan kwa tz ni upuuzi tu kama kutembea uchi na aina zingine za upuuzi unazozijua
ilikua kitambo . Nimekumbuka zamani nikiwa mdogoHii pakaging design ya pyramid mmetuibia, Tanzania tulikuwa na kampuni ya maziwa ya serikali yenye vimfuko kama hivyo.