Weka kwa $ nikufundishe kitu.Ksh 67 billion.
Hebu tufananishe na hzi sasa ambazo mzungu kazioa kwenye sattelite yake 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 sahiv unaogopa kuokota picha za googleDar hakuna slums, pia mimi nimeshuhudia kaka😂😂😂, haya hapa👇👇👇sio slums, ni normal housing ya 80% ya residents wa Dar.,hakuna makao duni Dar, it is the most devekloped city in EAC., pia mimi naona vizuri sana bro.,
View attachment 1694639
View attachment 1694640
View attachment 1694641
Naona BRT inawapeleka hadi kwa mlango nyumbani, kwanza wewe..,
View attachment 1694646
Kwaiyo hii ndio evidence? Na hii ndio 90% ya Dar es salaam sio? Ukapimwe akili wwEASTLANDS YA DAR(bigger part of the whole 1600 sq km)., the biggest and most devolped city in EAC![]()
![]()
![]()
Tanzania yote hii ndio standards, na hapa am not dissing TZ, it is a fact., observe your towns., average housing..,balaa., most developed in EAC indeed.
View attachment 1694586
View attachment 1694576
View attachment 1694581
Hizo picha ulizo post za dar wap haswa? 🙂Mimi hiz picha hapa moja korogocho sehemu inaitwa mwangaza,ya pili mukuru ya tatu mathare mradi🙂tuanzie hapo🙂Wacha tukae na Kibera yetu ambayo iko sehemu yake., can be controlled and fixed.,
nyie utopolo umetapakaa kote kote., mji ni aibu, CBD inajaribu kuficha aibu na ka BRT na vigorofa kadhaa., lakini eneo ya makazi ni ovyo balaa😂😂😂 hampendi ukweli kazi nikuingilia Kenya., kubali ukweli, mjenge nchi na Tanzania isonge mbele, mkikubali ukweli kwani mtakufa?
View attachment 1694603
DAR ES SALAAM,
View attachment 1694607
STEPH CURRY VISITED HERE when he visited DAR.,👇👇👇 did you know that? sio Kibera tu ina watalii😂😂😂
View attachment 1694614
My point, Tanzania is not yet there, bado mko nyuma saana, msijidanganye na maendeleo kidogo kidogo yenye CCM imefanya., in comparison na where TZ is, the developement is not even 30% of Tanzania., kijana tuambiane ukweli wacha shabiki za kijinga.,
Jeshi lenu tu ni dhaifu lililojaa rushwa, unataka hizo nchi ndo zilinde Kenya? Mbn Tz tumezungukwa na nchi za hovyo, Congo, Kenya, Burundi, Uganda, Mozambique lkn hakuna huo upuuzi?Uganda, Ethiopia na South Sudan. Kenya imezungukwa na nchi hovyo hovyo zilizojaa na bunduki haramu.
Kazi na dawa 🤣🤣🤣👇👇
Wooiii this is four muchHebu tufananishe na hzi sasa ambazo mzungu kazioa kwenye sattelite yakesahiv unaogopa kuokota picha za google View attachment 1694653View attachment 1694654View attachment 1694656View attachment 1694657View attachment 1694658






Approx $ 0.6 billion. Nifundishe nangoja.Weka kwa $ nikufundishe kitu.
Alaf mzungu aache kuja kujionea watu wakiishi maisha zaidi ya nguruwe
Nimeona gorofa ya mabati hapo aiseee na wakenya hii thread munafaa kuiheshimu sana imewafungua sana macho
View attachment 1694668View attachment 1694670View attachment 1694671








Kwekwekwe ningekua sijawah fika mombasa au kisumu ungenidanganya lakini umechelewa 🤣🤣🤣🤣🤣😅 eti city ina taxi baiskeli hahahhhaha😂 😂 😂 😂 😂 Zanzibar ni nafuu mara kumi ya hii😂😂😂 kojoa ulale, hapa umechemsha., I even find Arusha better than this., wewe tafuta lingine, hauna jibu wacha kujitetea na ka mji ushuzi
Kweli ni haki ya mchina kuimiliki miaka 30 na kuchukua ushuru 😀😀😀😀Approx $ 0.6 billion
Ni km ngp?Approx $ 0.6 billion. Nifundishe nangoja.
Nipo hapa Vingunguti in of the dreamhouses 😂Unaumia ukiwa wapi labda Makuru kayaba, mathare, kariobange, kaliadudu au soweto![]()
Alaf wanakasirika 🤣🤣🤣👇👇👇
Mabibo naona hupost tena kwann au baada ya kukusaidia ku zoom 🤣🤣🤣🤣Nipo hapa Vingunguti in of the dreamhouses 😂
unazunguka tu sehemu moja tu, na kwa wivu na machungu unasema eti 70% ya Nairobians wanaishi kule, uko desperate sana hehehe, Dar umaskini umetapakaa 90% of sq km, iko wazi tu!, 60% of Nairobians live in eastlands Kibera iko Southlands.,, nionyeshe sehemu ya average Dar residents of this magnitude., weka hapa., ukipata such in TZ ya normal residnets nafunga account humu., video clips, nipe nikupe..,Ukitazama hzo nyumba zinafanana na kibera au makuru kayaba 🤣🤣🤣👇👇👇👇 ambako 70% of nairobi wananchi wanaishi huko hebu zungumza hata kwa uchungu zungumza tu🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hapo hapo mtu anaengea nchi yake ina unemployment rate mara tatu ya tanzania alaf huyo huyo anazungumza
View attachment 1694598View attachment 1694599View attachment 1694602View attachment 1694606View attachment 1694609