Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

K = Kenya

E = Enters

N = New

Y = Year

A = As the most poorest lower middle
income country.



[emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90][emoji3545][emoji3545][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
That statement is not comprehensible. Nimejaribu kuelewa unachomaanisha ila nimeshindwa
Let me simpolize it, if we call them dream houses can it act as a hindrance for foreigners to experience slums in our milk and honey land?
 
Hizo ghorofa zenyewe zatia shaka,mtanzania hakai kwenye hizo apartments..[emoji24][emoji39][emoji1787][emoji1787]
Kuna video iliwekwa humu ya sijui Eastleigh km nmekosea jina mtanisamehe, yn ghorofa ni zimechoka kinyama ila nikakausha tu mana ni makazi ya watu huko kwa wenzetu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Tukiongelea maneno haya yote tusiwape watanzania mda mwingi hadi wanasahau bado sisi ndo nchi number 6 kwa utajiri africa wajue tunawapa tu mda sababu ni ndugu zetu lakini ukweli wa Maneno ambao huwezi badilika ni we number 6 in rich countries in africa
Screenshot_20210204-000608_Chrome.jpg
 
Let me simpolize it, if we call them dream houses can it act as a hindrance for foreigners to experience slums in our milk and honey land?
Milk and honey land?! 😂 😂 😂
Nchi za milk and honey hazikosi sewer systems in their cities
 
Tukiongelea maneno haya yote tusiwape watanzania mda mwingi hadi wanasahau bado sisi ndo nchi number 6 kwa utajiri africa wajue tunawapa tu mda sababu ni ndugu zetu lakini ukweli wa Maneno ambao huwezi badilika ni we number 6 in rich countries in africaView attachment 1693775
Ukiniletea credible source Kenya GDP ni $99ml naondoka jf ss hv [emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom