Nyie wakenya mnaojidai mko well developed wakati asilimia kubwa hamwezi hata Ku afford 3 meals per day🙂wakati Sisi tunapiga not just 3 meals but heavy and nutritious meals
Mtu mwenye hela na maskini Tanzania wote wanashiba🙂
Example ya breakfast ya mtu WA kawaida
Miogo,half cake,vitumbua,viazi vitamu,Karanga,makande,sambusa etc vitu maskini kwetu anakutana navyo sasa wewe niambie maskini wenu anakula breakfast ipi tuanzie hapo🙂
Lunch mboga za majani zipo kibao na tena sisi wakulima mwenyez mungu katupa ardhi nzuri yenye rutuba,mfano Chinese,matembele nyanya chungu,nswalu kisamvu etc maana mboga zipo Aina nyingi sana,mgagani mlenda,dagaa,samaki wa Aina wote ni affordable maskini wa Kenya anakula nini?🙂