Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ss nani asiyejua kwamba Nairobi nzima ni slums? Haya ni baadhi ya maeneo tu ya watu wa kati na pembeni tu ya hizo apartments unakutana na uozo [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]
Screenshot_20201230-144142.jpg
Screenshot_20201230-144217.jpg
 
Jamaa siku zote kitu anachoona yeye ni dili ni apartment tu, yn yeye hana kingine cha ku offer zaidi ya apartments tu asubuhi, mchana, jioni anawaza apartment tu si bora wangekuwa wanaishi Wakunya basi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Zamani kidogo Nilipokuwa nafanya research yangu fulani niligundua kwamba jambo moja inayofanya nchi za ulaya kuwa na matumizi makubwa ya umeme ni kwa ajili ya heating during winter. Wanatumia heated gas ila pia wanatumia airconditioning systems na systems zingine zinatumia umeme. Halafu wakati wa summer nao wanatumia cooling systems ambazo nazo zinanyonya umeme kama maji. Kwanza uarabuni wanatumia airconditioning systems sana na hio inanyonya umeme kwa wingi. Sasa Africa tumebarikiwa na climate nzuri, hakuna baridi kali sana ya kufanya mtu ahitaji heating system na hakuna joto kali ya kumfanya mtu anunue cooling system. Good climate imechangia Sub saharan Africa kutotumia umeme kwa wingi. Kuna statistic moja nakumbuka nilisoma kwamba wakati wa summer huko California, kuna wakati 30-40% ya electricity consumption ni kwa sababu ya cooling the houses through air conditioning systems. So usione ulaya wanatumia umeme mwingi ukadhani kwamba umeme huo wote unatumika kwa sababu ya kuendesha mitambo na mashine ya viwanda, la hasha, 20% to 40% ya umeme huo unaenda kuheat au kucool their houses. Na hapa Africa hatuna haja ya kuheat au kucool our houses because of the perfect climate ambayo tumebarikiwa nayo na Mwenyezi Mungu.
Matumizi makubwa ya umeme kwasababu ya heating during winter? Very wrong.
Source kubwa ya heating Ulaya ni gas kwa mfumo wa central heating. Nitakupa mfano wa UK ambao ni almost same na nchi zote za EU.
Central heating hence gas heating inatumika Kwa 85%. Umeme unatumika kwa only 6%. Why kwasababu over 90% ya nyumba zina central heating system inayotumia gas. Ukitaka naweza kukufafanulia how central heating system works.
Tukija kwenye cooling napo ambapo ni during summer umeme ni kama 10% hivi. Hamna kitu muhimu kwenye energy Ulaya kama gas. Na hata Russia (ambako gas nyingi inayotumika EU inatoka) anawakomoa sana EU kwa kutumia gas yake.
Pia heating inahitajika zaidi Ulaya kwasababu kipindi cha baridi ni kirefu kuliko joto.
Screenshot_20210202-133119.png
 
Hata kwenye Chai hawatuzidi, issue ni kwamba Kenya ndio auction market ya Chai karibu yote ya ukanda huu inaenda kuuzwa Mombasa so ni takwimu za Chai za mataifa mengine pia zinajumlishwa kama zote za Kenya
Bwahahaha[emoji1787][emoji1787]
Toeni takwimu zenu ya ile chai mnayouza mombasa basi mje nayo
 
Jamaa siku zote kitu anachoona yeye ni dili ni apartment tu, yn yeye hana kingine cha ku offer zaidi ya apartments tu asubuhi, mchana, jioni anawaza apartment tu si bora wangekuwa wanaishi Wakunya basi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Magomeni kota mnazindua lini zile bungalows[emoji1787][emoji1787]
 
Matumizi makubwa ya umeme kwasababu ya heating during winter? Very wrong.
Source kubwa ya heating Ulaya ni gas kwa mfumo wa central heating. Nitakupa mfano wa UK ambao ni almost same na nchi zote za EU.
Central heating hence gas heating inatumika Kwa 85%. Umeme unatumika kwa only 6%. Why kwasababu over 90% ya nyumba zina central heating system inayotumia gas. Ukitaka naweza kukufafanulia how central heating system works.
Tukija kwenye cooling napo ambapo ni during summer umeme ni kama 10% hivi. Hamna kitu muhimu kwenye energy Ulaya kama gas. Na hata Russia (ambako gas nyingi inayotumika EU inatoka) anawakomoa sana EU kwa kutumia gas yake.
Pia heating inahitajika zaidi Ulaya kwasababu kipindi cha baridi ni kirefu kuliko joto.
View attachment 1692443
Wakati wa summer umesema wanatumia gas kwa 90% for cooling? Naomba uweke evidence ya hilo. As for space heating najua gas inatumika sana ndio maana kwenye comment yangu nilisema gas inatumika kuwarm the air lakini wewe umeamua kuignore hio part.
Sasa unanipa hadithi ndefu kuhusu wao kutumia gas as if tayari sijasema kwamba wanatumia gas

Tazama hapa chini mahali nimehighlight na nyekundu 👇
Zamani kidogo Nilipokuwa nafanya research yangu fulani niligundua kwamba jambo moja inayofanya nchi za ulaya kuwa na matumizi makubwa ya umeme ni kwa ajili ya heating during winter. Wanatumia heated gas ila pia wanatumia airconditioning systems na systems zingine zinatumia umeme. Halafu wakati wa summer nao wanatumia cooling systems ambazo nazo zinanyonya umeme kama maji. Kwanza uarabuni wanatumia airconditioning systems sana na hio inanyonya umeme kwa wingi. Sasa Africa tumebarikiwa na climate nzuri, hakuna baridi kali sana ya kufanya mtu ahitaji heating system na hakuna joto kali ya kumfanya mtu anunue cooling system. Good climate imechangia Sub saharan Africa kutotumia umeme kwa wingi. Kuna statistic moja nakumbuka nilisoma kwamba wakati wa summer huko California, kuna wakati 30-40% ya electricity consumption ni kwa sababu ya cooling the houses through air conditioning systems. So usione ulaya wanatumia umeme mwingi ukadhani kwamba umeme huo wote unatumika kwa sababu ya kuendesha mitambo na mashine ya viwanda, la hasha, 20% to 40% ya umeme huo unaenda kuheat au kucool their houses. Na hapa Africa hatuna haja ya kuheat au kucool our houses because of the perfect climate ambayo tumebarikiwa nayo na Mwenyezi Mungu.
 
Wakati wa summer umesema wanatumia gas kwa 90% for cooling? Naomba uweke evidence ya hilo. As for space heating najua gas inatumika sana ndio maana kwenye comment yangu nilisema gas inatumika kuwarm the air lakini wewe umeamua kuignore hio part. Tazama hapa chini mahali nimehighlight na nyekundu
Duh hebu nioneshe niliposema wanatumia gas kwa 90%
 
Wakati wa summer umesema wanatumia gas kwa 90% for cooling? Naomba uweke evidence ya hilo. As for space heating najua gas inatumika sana ndio maana kwenye comment yangu nilisema gas inatumika kuwarm the air lakini wewe umeamua kuignore hio part. Tazama hapa chini mahali nimehighlight na nyekundu
What the hell is heated gas?! Wanatumia central heating system aka gas heating. Not that a certain type of gas is heated, NO.
Gas inatumika ku heat maji kwenye boiler. Hayo maji yanasambazwa kwenye radiators ambazo ziko ndani ya nyumba au jengo. Maji yakipita kwenye hizo radiators(heaters) yana radiate heat ambayo in turn inaheat jengo.
 
treni inalialia ngo ngo ngo utafikiri ng’ombe anapigwa shoka [emoji23][emoji23][emoji23] afu mmespeediisha video ili ionekane inakimbia haraka kumbe ni mwendo wa kinyonga
empty container linapulizwa na upepo kwenye loading!
 
Back
Top Bottom