chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,316
- 45,125
ThanksBarack Obama Drive, Aga Khan Hospital.
ThanksBarack Obama Drive, Aga Khan Hospital.
Chapati zenyewe huwa ni ngumu kuliko maisha yao.Yaani wanashindia Chapati...
These guys wana extreme poverty..
Imagine Chapati mtu anakula mara 3 kwa siku na Sukuma wiki...
Nyama haina hata viungo nyanya mbovu wanaita beef... Ila wakiwa jamiiforums wanapiga kelele
Sent using Jamii Forums mobile app



Aafu kuna andazi upepo sijui kazi ya Amira au pump 🤣maana ndani huwa imejaa hewa🙂Kula msosi wa maana Kenya gharama🙂Yaani wanashindia Chapati...
These guys wana extreme poverty..
Imagine Chapati mtu anakula mara 3 kwa siku na Sukuma wiki...
Nyama haina hata viungo nyanya mbovu wanaita beef... Ila wakiwa jamiiforums wanapiga kelele
Sent using Jamii Forums mobile app
ASA kama ugali wa kawaida kuusonga mtihani kwa wengi sijui ukimpeleka kwa kuria na wasimbiti ugali wa muogo na udaga yarabi sijui inakuaje🤣mwisho wa siku mtoto wa watu anashushiwa kipigo🙄maana wale watu huaga hawachelewi na hawapendi masiala utaskia mura huyu vp🙂Chapati zenyewe huwa ni ngumu kuliko maisha yao.
Ukioa kenya inabidi umpeleke short course ya upishi pale the Amazon college![]()
2019 hyoTBT au sio unavyoona kuna tbt apo?![]()


Kwamba V8 huipendi ww wakat 😄😄😄Asiyewajua watanzania labda ndio atashtuka lkn sio mm
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 world bank wamesingiziwa na wamekaa kimyaUsilie saana., hautobadilisha lolote ,![]()
Tatizo una reply upuuzi, ndio manake nakupuuza..Kwamba V8 huipendi ww wakat![]()
Acha upuuzi we ni mtu mzima, kuna ishu zingine mtu huaga unalenga tu..world bank wamesingiziwa na wamekaa kimya
Kwamba huyu jamaa anakuumiza kichwa sasa🤣🤣👇👇👇Tatizo una reply upuuzi, ndio manake nakupuuza..
Mtu anasema hivi we unataka ku force, haya baki pekeako basi
Niambie hawa wamesanganya ni sawa 🤣👇Acha upuuzi we ni mtu mzima, kuna ishu zingine mtu huaga unalenga tu..
Wakati mwngine kaa ukijishtukizia we jamaa sio kila kitu unaona ligi huju ukijaza vi emojis














We waonaje
Kujitoa ufahamu pia sio mbaya, endelea tuNiambie hawa wamesanganya ni sawa
![]()
Kenya Worse Than Zimbabwe in Extreme Poverty - World Bank
Zimbabwe has 23 percent of its population living in extreme poverty.www.kenyans.co.ke
Usinilete hasira zako mm syo WBUmekuja kuendeleza upupu na wewe, haya beba endelea kuwehuka jitoe ufahamu kabisa mwisho utapewa taji





