ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Kama maji hamuna hio sewage system mutaijua????🤣🤣🤣🤣Maji ni shida wala si eti haiko. Wewe hapo hata sewer system unajua ni nini?
Kama maji hamuna hio sewage system mutaijua????🤣🤣🤣🤣Maji ni shida wala si eti haiko. Wewe hapo hata sewer system unajua ni nini?
Ndo hiyo kariobangi unayosema weka tandale hapa we compare
Unajua maana ya middle income earner in Kenya ama unamaanisha middle income ya TZ?,. ju lower middle income ndio eastlands middle averagely ni kina kilimani, kileleshwa, Parklands etc., upper middle Spring Valley, Kitusuru, Lavington.,etc, kibera ni lower earners.,Watu wa chini TZ ndio wanakaa huko ila kenya mid and low income earners wanakaa kibera hata kama ni hostel huwezi fananisha na kibera na mchakaka mengine ya Nairobi. Angalia apartments za middle class in TZ hizo hapo View attachment 1693271View attachment 1693275View attachment 1693273View attachment 1693272View attachment 1693274View attachment 1693276View attachment 1693277View attachment 1693278View attachment 1693279View attachment 1693280View attachment 1693281View attachment 1693282View attachment 1693284View attachment 1693286View attachment 1693283View attachment 1693285View attachment 1693287View attachment 1693288View attachment 1693291View attachment 1693289View attachment 1693290View attachment 1693293View attachment 1693292
So hutaki ukweli au 🤣🤣🤣👇👇👇Unajua maana ya middle income earner in Kenya ama unamaanisha middle income ya TZ?,. ju lower middle income ndio eastlands middle averagely live ni kina kilimani, kileleshwa, Parklands etc., upper middle Spring Valley, Kitusuru, Lavington.,etc, kibera ni lower earners.,
mnapenda kulazimisha eti Tz ionekane nafuu, bro 80% na zaidi ni village type residential, nyumba za kishamba shamba, hayo mengine ni hadithi za vijiweni unatuletea.,
Dar ni 80% village low life standards, period.
Na hao foreigners wanaishi wapi ??? Manake kazi nyingi zimeshikwa na foreigners ndio maana unemployment rate is three times of tanzania bado unajidanganya sasa😁😁😁Unajua maana ya middle income earner in Kenya ama unamaanisha middle income ya TZ?,. ju lower middle income ndio eastlands middle averagely ni kina kilimani, kileleshwa, Parklands etc., upper middle Spring Valley, Kitusuru, Lavington.,etc, kibera ni lower earners.,
mnapenda kulazimisha eti Tz ionekane nafuu, bro 80% na zaidi ni village type residential, nyumba za kishamba shamba, hayo mengine ni hadithi za vijiweni unatuletea.,
jaman huyu hapa kaongea nn?
it’s like anasema ‘nilienda jikon kuepua mboga nikakuta uhuru kenyata anahutubia mkutano wakati anakamua maziwa ya ng’ombe huku ndege ya makamu rais imeanguka nairobi bila makam rais mwenyewe kuwepo ambapo polisi walikuwa wanakamata wezi wa kuku mtaan kisumu’
jamaa haeleweki anatoa point gan![]()





Ww na mzungu nani anaaliki zaidi 🤣🤣👇Dar ni 80% village low life standards, period.
Bongolala, Kibera has only 200k people. How all low and mid income earners in Nairobi live in an area measuring just 2.5 square kilometers only a Tanzanian like you can explainWatu wa chini TZ ndio wanakaa huko ila kenya mid and low income earners wanakaa kibera hata kama ni hostel huwezi fananisha na kibera na mchakaka mengine ya Nairobi. Angalia apartments za middle class in TZ hizo hapo View attachment 1693271View attachment 1693275View attachment 1693273View attachment 1693272View attachment 1693274View attachment 1693276View attachment 1693277View attachment 1693278View attachment 1693279View attachment 1693280View attachment 1693281View attachment 1693282View attachment 1693284View attachment 1693286View attachment 1693283View attachment 1693285View attachment 1693287View attachment 1693288View attachment 1693291View attachment 1693289View attachment 1693290View attachment 1693293View attachment 1693292
Hapo ni dar sehem gani ?Normal standards of living in Dar es salaam is low quality!! kiushamba sana., na wengi wame kodisha., tusidanganyane, you cannot comp;are to eastlands where 60% of Nairobians resides. Dar is an epi-centre ya low life standards of living in East Africa., on average 80-90% are living in village type houses, even worse., prove me wrong?
View attachment 1693165
View attachment 1693166
View attachment 1693167
Look at some places in Dar..,na ni sehemu kubwa kubwa ju ya your big population sprawled all over..,
View attachment 1693168





ugoro unakusumbua ww.....Yani mzungu aweke sattelite ya trillions of money hewani asione slums uje uone wewe slum seious 🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇Dar ni 80% village low life standards, period.
Wakishindwa hua wanaokota picha za google 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kizungu ndio huelewi. Go back, read, understand what I wrote then come backKama maji hamuna hio sewage system mutaijua????🤣🤣🤣🤣
Kubali hujui maana ya apartment. Anyway, utaelewaje kitu hamna?Nn maana ya real estate hebu tuanzie hapo?
Wacha uwongo Kibera nani analipa ksh2000? Kuna mahali Kibera kodi ni ksh100 na watu wanashindwa ku afford, unabisha?Hio 20% percent umeitoa kisogoni mwako au wapi? Hapa Nairobi kuna apartments hata za ksh 5,000 za single room na zina maji. Kwa hivyo hata mahustlers wanaweza kuafford kuishi kwa apartment. Wale wanaoishi kwa slum ni wale masikini kabisa ambao hawawezi kuafford hata hio ksh 5,000 kwa mwezi. Inabidi waishi kwenye nyumba za mabati wanazolipia maybe ksh 2,000 kwa mwezi.
🤣🤣🤣🤣🤣 yuko wapi yule anafananisha nairobi na newyorkKizungu ndio huelewi. Go back, read, understand what I wrote then come back
Na real estate maana yake nn hebu nifundishe wewe mjuaji 🤣🤣🤣🤣Kubali hujui maana ya apartment. Anyway, utaelewaje kitu hamna?
Kwa hivyo sewer system sio huduma muhimu in a city? Sisi huenda tuko na shida ya maji, nyinyi mnajua hata maana ya neno sewer system?ipo wazi nairobi maji shida je,,,,,hilo hiyo si huduma muhimu kwa binadamu....?
usipende kubisha bisha