Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Na real estate maana yake nn hebu nifundishe wewe mjuaji 🤣🤣🤣🤣
Shida yako ni kwamba ulazmishe dar iwe na slum wakat hakuna 😁😁😁
Real estate is a general term bongolala. Hapa tunaongea kuhusu apartments, not office buildings japo zote ni real estate. Mbona unalazimisha usiku iwe mchana?
 
your levels with aerial evidence ni ya kipekee ukanda huu, facts kwa ground dont lie😂😂😂 😂 😂 ,
Mm nimekuuliza swali jepesi kwamba wale foreigners wanaishi wapi na ndio wameshika kazi zenu??? Sasa ukiambia 70% mko munaishi maisha ya nguruwe unakataa nn hapo
 
Real estate is a general term bongolala. Hapa tunaongea kuhusu apartments, not office buildings japo zote ni real estate. Mbona unalazimisha usiku iwe mchana?
Ndio jibu lake hilo 🤣🤣🤣 kwamba real estate ni general term yani ushamaliza hapo uhahahha shida kuu ni kwamba ulazmishe dar kuna slum haiwezekani hata ulie ucheke
 
Ndo hiyo pipeline ulisema haina manjia angalia ujue ilishabadilika kutambo you people are living in the past hata kibera sasa ina njia nzuri sana na ilisafishwa na NYS
Leta picha ya Kibera mpya [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ndio jibu lake hilo 🤣🤣🤣 kwamba real estate ni general term yani ushamaliza hapo
So just because real estate encompasses both office buildings and apartments inamaanisha office buildings zianze kuitwa apartments??
Wewe kweli mwehu
 
So just because real estate encompasses both office buildings and apartments inamaanisha office buildings zianze kuitwa apartments??
Wewe kweli mwehu
Tukianza na real estate tuko ahead of u by 3b usd
tukirudi kwenye umiliki wa nyumba dar iko ahead of nai by far
Tukirudi kwenye land owning dar iko ahead of u by far hapo tunashindana nn 🤣🤣🤣
 
Bado tunashindana tu 🤣🤣🤣🤣🤣 tukiwaambia ukweli wanakasirika
C6DEED5C-71C0-4407-8C04-3C9A25177519.jpeg
7D99E592-C90B-4242-8B90-37DD515FF98B.jpeg
 
Mm nimekuuliza swali jepesi kwamba wale foreigners wanaishi wapi na ndio wameshika kazi zenu??? Sasa ukiambia 70% mko munaishi maisha ya nguruwe unakataa nn hapo
so with Eastlands having 60% ya Nai population., unaeka wapi hao 70%., Kibera iko Southlands., kuja pole pole mjanja 😂 😂 😂 😂., facts vs fiction, tunaumbua reports za NGOs uchwara.,
Eastlands hii hapa..,

Kibera unayo ipenda hii hapa;.,

Tukianza na real estate tuko ahead of u by 3b usd
tukirudi kwenye umiliki wa nyumba dar iko ahead of nai by far
Tukirudi kwenye land owning dar iko ahead of u by far hapo tunashindana nn 🤣🤣🤣
Acha tu ninyamaze. Endelea kupost office buildings na kuziita apartments ujifariji nazo
 
so with Eastlands having 60% ya Nai population., unaeka wapi hao 70%., Kibera iko Southlands., kuja pole pole mjanja 😂 😂 😂 😂., facts vs fiction, tunaumbua reports za NGOs uchwara.,
Eastlands hii hapa..,

Kibera unayo ipenda hii hapa;.,

So unanikasirikia mm au 🤣🤣👇👇👇
Na hao foreigners walioshika kazi zenu wanaishi wapi nataka unijibu swali langu kiroho safi 😁😁😁
FCFABD99-1F37-4803-987A-69AD94A6FA9B.jpeg
 
Back
Top Bottom