Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Power ya kujenga miundombinu ambayo wenzenu wamejenga karne zilizopita
Onesha sehemu mmejenga this kind of infrastructures ili niondoke jamii forums [emoji3][emoji3][emoji3][emoji116][emoji116]
JamiiForums808485709.jpg
JamiiForums396534016.jpg
tapatalk_1594481341647.jpg
JamiiForums504505943.jpg
tapatalk_1596112983776.jpg
 
Hio bullet yenyewe haiwezi our,SGR
😂😂😂🐒🐒🐒
utalinganisha speed ya 70/80 kph kwa 120 /160 kph?
utalinganisha rail ya kuchomelewa na yakufunga kwa bolt?
utalinganisha uwezo wa exel 23ton kwa 35ton
utalinganisha diesel na electric yenye uwezo wa kutembea almost 1hr bila umeme?
utalinganisha km500 kwa 2200 km za sgr?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji205][emoji205][emoji205]

Hahahhahàaaaaaàaaaa.
 
Vyote hvyo ulivyotaja hakuna hata kimoja[emoji23][emoji23]
 
Onesha sehemu mmejenga this kind of infrastructures ili niondoke jamii forums [emoji3][emoji3][emoji3][emoji116][emoji116]View attachment 1690735View attachment 1690736View attachment 1690737View attachment 1690742View attachment 1690747
Umekasirika[emoji23][emoji23][emoji23]
Madaraja tunayo tangia 80s na tunaongeza, SGR tuliwatanguli[emoji23][emoji23] barabara za juu tuliwatangulia, interchanges tuliwatangulia we hapo unabaki na brt tu[emoji1787][emoji1787]
 
by saying that haitafanya orgasm you just keep musterbate[emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji86][emoji85][emoji15]
Umepanic[emoji1787][emoji1787]
Wapi electric trains
 
Dhibitisha hapa weka economic output hapa kwa sasa nione! Anza na annual revenue ya serikali tukufu ya muungano wa Tanzania. income ya Ports? Airports?, retail? Exports?(Anza na balance of trade between Kenya na Tz) before uweke total income, manufacturing, telecommunications, banking sector etc. Wakati wa porojo na propaganda uliisha, na pia usiseme WB wanawaoneaga., Mwaga facts haraka upesi..,
Thibitisha... Kutokana na mzizi wa neno Thabiti(Ikimaanisha -enye uhakika)

Dhibitisha si neno la kiswahili la kila.siku... japo mzizi wake ambao ni neno Dhibiti (Ikimaanisha zuia) ni neno tunalolitumia sana.
 
Back
Top Bottom