The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
SGR ipi, kwa mfano mjukuu wako akikuuliza swali hili utajibu vp?Umekasirika[emoji23][emoji23][emoji23]
Madaraja tunayo tangia 80s na tunaongeza, SGR tuliwatanguli[emoji23][emoji23] barabara za juu tuliwatangulia, interchanges tuliwatangulia we hapo unabaki na brt tu[emoji1787][emoji1787]
Mjukuu: Bibi eti treni ya kwnz ya kutumia umeme kwa hapa East Africa ilifanya safari yake kuanzia wapi mpk wapi?
Komora: Aahh unajuwa hakuna kitu kinaitwa treni ya kutumia umeme ila treni ni treni tu mjukuu wangu.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]