Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,705
- 107,150
VS
Umeitisha credible source, infact wewe unataka tu KPA, hutaki source ingine. Nimeipata. Kabla nilale wacha nikupe evidence. Lakini baada ya kusoma hii evidence na kugundua kwamba Lamu port itakuwa kubwa kushinda Dar port, tafadhali usikae kimya. Kuja ukubali kwamba Lamu port ni kubwa kushinda port yoyote ile Tanzania. Infact Lamu port ina capacity kubwa kushinda port zote za Tanzania combined. Kama unapinga hili kuja battle, niko tayari.
Anyway ndio hii evidence. Nimeitoa kwa handbook ya KPA ya 2020. Hii ni screenshot ya page 48. Angalia paragragh 5 line 2.
View attachment 1690274
Na kama unataka link ya hio handbook ya KPA, ndio hii hapa
![]()
Kenya Ports Authority Handbook 2020
The latest edition of the Kenya Ports Handbook is published today on behalf of the Kenya Ports Authority.issuu.com
Umepata wapi hizo 28 tonnes ilizo handle 2019 uje ulinganishe na za Tz.
Ni navyojua mimi lamu port mpaka sasa haijawahi handle hata 1kg.
Anyway, nashukuru kwamba umeelewa kwamba Lamu port will be handling 1.2 million teus na sio 1.2 million tonnes. Siku nyingine usiwahi tena kuilinganisha Mtwara port na Lamu port. Lamu port ina capacity ya kuhandle more cargo than all your ports combined. Lamu port itakuwa na capacity ya kuhandle 28.8 million tonnes while all Tanzania's ports in 2019 handled slightly less than 17 million tonnes of cargo.
![]()
Mtwara Port Double Cargo Handling in 2019/20
The volume of cargo handled at the Mtwara port more than doubled in 2019/20 from 106.2 thousand tonnes to 273.5 thousand tonnes (+2.3%).www.tanzaniainvest.com
Lamu port pekee inafunika port zenu zote kwa capacity. Halafu Lamu port haijajengwa kwa miaka kumi. Construction ilianza December 2016. Wewe unatumia ile kigezo cha rais Kibaki kuzindua Lapsset in 2012 kama kigezo cha start date ya construction. 2012 kilichozinduliwa ni Lapsset corridor masterplan. Lakini ujenzi wa hizi berths 3 zilianza in December 2016. Soma hapa
![]()
Lamu Port, Kenya
Lamu port is a new deep sea port being developed by Kenya Ports Authority (KPA) in Manda Bay, Lamu County, Kenya for creating a regional transport hub.www.ship-technology.com
Unavyolazimisha hivi na hayo marender yako unaweza kunipa takwimu za jumla ya mzigo Lamu imepokea toka ikamilike?Ikiwa complete phases zote itahandle 20 million teus. Yaani wewe ni nyumbu kiasi cha kwamba ninakupa credible source usome na unashindwa kabisa kusoma. chongchung Nimekupa handbook ya KPA ya 2020 na nikakupa hata page, paragraph na laini usome na umeshindwa?
Cc Geza Ulole
hizo 3 berths zimechukua miaka 9 sasa kuelekea wa 10 hazijakamilika je hizo 25 berths zitachukua miaka mingapi? endelea kujifariji! nimekupa link ya 2019-2020 handbook ya Tanzania Ports Authority tena ujenzi wa Karema port lake Tanganyika haupo! Mtwara port ita-handle 28 mln tons ikikamilika phases zote pia!Ikiwa complete phases zote itahandle 20 million teus. Yaani wewe ni nyumbu kiasi cha kwamba ninakupa credible source usome na unashindwa kabisa kusoma. chongchung Nimekupa handbook ya KPA ya 2020 na nikakupa hata page, paragraph na laini usome na umeshindwa?
Cc Geza Ulole
Anyway, nashukuru kwamba umeelewa kwamba Lamu port will be handling 1.2 million teus na sio 1.2 million tonnes. Siku nyingine usiwahi tena kuilinganisha Mtwara port na Lamu port. Lamu port ina capacity ya kuhandle more cargo than all your ports combined. Lamu port itakuwa na capacity ya kuhandle 28.8 million tonnes while all Tanzania's ports in 2019 handled slightly less than 17 million tonnes of cargo.
![]()
Mtwara Port Double Cargo Handling in 2019/20
The volume of cargo handled at the Mtwara port more than doubled in 2019/20 from 106.2 thousand tonnes to 273.5 thousand tonnes (+2.3%).www.tanzaniainvest.com
Lamu port pekee inafunika port zenu zote kwa capacity. Halafu Lamu port haijajengwa kwa miaka kumi. Construction ilianza December 2016. Wewe unatumia ile kigezo cha rais Kibaki kuzindua Lapsset in 2012 kama kigezo cha start date ya construction. 2012 kilichozinduliwa ni Lapsset corridor masterplan. Lakini ujenzi wa hizi berths 3 zilianza in December 2016. Soma hapa
![]()
Lamu Port, Kenya
Lamu port is a new deep sea port being developed by Kenya Ports Authority (KPA) in Manda Bay, Lamu County, Kenya for creating a regional transport hub.www.ship-technology.com
Sasa utalinganishaje kilichopo na kile kisichopoTunaongea kuhusu capacity ya Lamu port. Hatuongei kuhusu mizigo iliyohandle.
Huo mradi mbona cha mtoto kuna mradi wa EACOP wa $3.5 bln ambapo 80 percent ya pipeline itakuwa Tanzania! Mwaka huu mradi unaanza na hata Tony254 anajua!Vitu vikubwa na vyenye tija na vyenye uwekezaji mkubwa wa namna hii huwezi viskia upande wa pili.![]()
Barrick confident over joint venture with Tanzania government
A year since Barrick signed a deal with the government, the company has expressed its confidence over the mining sector, projecting better days ahead.www.thecitizen.co.tz
Naona umempost basha wenu, hahaha haya ni mapinduzi makubwa, tukisema tunawatawala politically, economically and socially mnakataa.Eti Tanzania wana madem. Simba mwenyewe akakosa nyama kawinda Kenya!! Mtaambia nini watu.
I love the bangle on her wrist.
View attachment 1690313