Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

SGR ipi, kwa mfano mjukuu wako akikuuliza swali hili utajibu vp?

Mjukuu: Bibi eti treni ya kwnz ya kutumia umeme kwa hapa East Africa ilifanya safari yake kuanzia wapi mpk wapi?

Komora: Aahh unajuwa hakuna kitu kinaitwa treni ya kutumia umeme ila treni ni treni tu mjukuu wangu.

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Treni ya kwanza ya umeme east africa ni ya ethiopia[emoji1787][emoji1787]
Na bado inapumulia mashine
 
View attachment 1691023
View attachment 1691024
View attachment 1691031
Naona wameanza na nguzo kuu kwanza,wameshasimamisha upande mmoja wamehamia upande wa pili sasa,jamaa wako strategic sana hawataki kbs kusababisha foleni,hizo concrete pillars kwenye picha unaweza ziona ndogo kwa karibu ni noma sana lazima shingo inyooke kuweza kuzicover kwa macho mpk juu na hapo bado vitako.
Hapa kutakuwa na view tamu sana, kwa mbele kdg unakutana na sgr viaduct [emoji91][emoji91][emoji91]
 
Mfano rahisi ni pale baba nyumbani anapoamua kujenga nyumba watoto hamuwezi kuishi maisha yale yale ya raha km zamani, lazima kuwe ugumu fulani wa maisha, lkn watu wanashangaza eti wanataka nyumba nzuri na maisha yaendelee kuwa matamu.

Chagua moja, baba awajengee nyumba nzuri lkn msile vzr au muendelee kula vizuri lkn msijenge nyumba, hakuna kupata vyote cz pesa hatengenezi baba yako.
Umetolea mfano mzuri sana mkuu 👍
 
View attachment 1691023
View attachment 1691024
View attachment 1691031
Naona wameanza na nguzo kuu kwanza,wameshasimamisha upande mmoja wamehamia upande wa pili sasa,jamaa wako strategic sana hawataki kbs kusababisha foleni,hizo concrete pillars kwenye picha unaweza ziona ndogo kwa karibu ni noma sana lazima shingo inyooke kuweza kuzicover kwa macho mpk juu na hapo bado vitako.
Ila wakuu mwenye render ya flyover ya pale gerezani aweke hapa mana mm bado sijaelewa hyo flyover itakaa wapi pale mana pale kuna viaduct inapita so where will flyover be construed?

Cc Geza Ulole
 
Ila wakuu mwenye render ya flyover ya pale gerezani aweke hapa mana mm bado sijaelewa hyo flyover itakaa wapi pale mana pale kuna viaduct inapita so where will flyover be construed?

Cc Geza Ulole
Pale complications zake sio za pole pole kaka,maana viaduct ya SGR imecross barabara kuu mbili halafu distance ni fupi kweli kweli kutoka katikati,noma.
 
Hapa kutakuwa na view tamu sana, kwa mbele kdg unakutana na sgr viaduct [emoji91][emoji91][emoji91]
Drone itahusika sana hapa na ule msongamano wa miti katikati plus kariakoo kuelekea CBD wakati huo BRT itakuwa imetaradadi na treni ya kisasa pale juu ikiwa kwny motion lazima uisahau Bongo.Kumbuka kuna mchepuko wa SGR kulekea bandarini mita kama mia mbili kutoka kwny flyover ya Chang'ombe na ukienda mbele kdg unakutana na lile eneo lenye flyover ya gerezani plus cable stayed bridge la SGR mbele Tanzanite Station mbele kdg Blue Towers pembeni ocean view.
 
Ila wakuu mwenye render ya flyover ya pale gerezani aweke hapa mana mm bado sijaelewa hyo flyover itakaa wapi pale mana pale kuna viaduct inapita so where will flyover be construed?

Cc Geza Ulole

Sijajua about the flyover ila kwa uelewa wangu najua SGR itapita chini kama umepita gerezani utaona wamejenga zege kwenye kingo mbili hapo nahisi chini ndo reli itakuepo kama zamani
 
SGR ipi, kwa mfano mjukuu wako akikuuliza swali hili utajibu vp?

Mjukuu: Bibi eti treni ya kwnz ya kutumia umeme kwa hapa East Africa ilifanya safari yake kuanzia wapi mpk wapi?

Komora: Aahh unajuwa hakuna kitu kinaitwa treni ya kutumia umeme ila treni ni treni tu mjukuu wangu.

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
😂😂😂😂😂
 
Wakunya mnalijua hili!?
Jombe 580+2100 = 2680MW mpyaaa!!
Screenshot_20210131-201425.png
 
Attachments

  • tanzania_road_travellers-photo-2021_01_30_20_09.jpg
    tanzania_road_travellers-photo-2021_01_30_20_09.jpg
    93.4 KB · Views: 13
  • northerners_buses_fans-photo-2021_01_30_20_09.jpg
    northerners_buses_fans-photo-2021_01_30_20_09.jpg
    72 KB · Views: 14
Back
Top Bottom