Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,016
- 16,434
Maandishi ya report ya TPA hayaonekani vizuri. Nimeshindwa kuisoma. Wacha nitajaribu kufungua na computer nione kama inasomeka.
Maandishi ya report ya TPA hayaonekani vizuri. Nimeshindwa kuisoma. Wacha nitajaribu kufungua na computer nione kama inasomeka.
nimekupa na link pia! uache unazi Mtwara port ni project kubwa already $240 mln zimetumika na phase nyingine zaja! Ni ujinga kufikiria Lamu port ndo project kubwa EA wakati JPM anapanua bandari mbili za pwani na anajenga several maziwani!Maandishi ya report ya TPA hayaonekani vizuri. Nimeshindwa kuisoma. Wacha nitajaribu kufungua na computer nione kama inasomeka.
Msalaba like interchange[emoji1787][emoji1787]. Flyover ya aina yake kuwahi kutokea EA.kudos Mr President JPM
Expressway kabla haijakamilika itakuwa ishaliwa na bullet train [emoji3][emoji3][emoji3][emoji117][emoji90][emoji205][emoji3545]Wait for expressway to complete,,hii ntaisahau kabisa[emoji16][emoji16]
Si umeumia au sio, next time tutapaka mate [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90][emoji3545][emoji3545]Msalaba like interchange[emoji1787][emoji1787]
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji23] lakini wenye k kazi yao si kuzaa auDadako anaenda kuzalishwa!
Hahahaha!![emoji1787][emoji1787]hizo 3 berths zimechukua miaka 9 sasa kuelekea wa 10 hazijakamilika je hizo 25 berths zitachukua miaka mingapi? endelea kujifariji! nimekupa link ya 2019-2020 handbook ya Tanzania Ports Authority tena ujenzi wa Karema port lake Tanganyika haupo! Mtwara port ita-handle 28 mln tons ikikamilika phases zote pia!
Kumbuka Tanga port nayo inapanuliwa na Chongoleani crude oilterminal for EACOP inakuja ! Be preapared in the next 4 years Tanga port will rival Mombasa port!
huyo mrembo ndo shemegi babu?
huyo mrembo ndo shemegi babu?
aisee nani naomba ushemegi! Mimi ni Mzalendo! 🤣 🤣 🤷♂️[emoji23] Hapana Boss.
Hyo inafanya kazi km round about tu[emoji23][emoji23]Si umeumia au sio, next time tutapaka mate [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90][emoji3545][emoji3545]
kenya nzima haina interchange ya 6 lanes!Hyo inafanya kazi km round about tu[emoji23][emoji23]
Nawe weka yale ma old stone age interchange [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hyo inafanya kazi km round about tu[emoji23][emoji23]
Hatuwezi kuwa na msalaba like interchange, si heri tuweke roundabout tukenya nzima haina interchange ya 6 lanes!
Hakuna kitu km old stone age interchange[emoji23][emoji23]Nawe weka yale ma old stone age interchange [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mlikuwa hamjui power ya Tz but ss mnajua [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji3545][emoji3545][emoji90][emoji90][emoji205][emoji205]Hakuna kitu km old stone age interchange[emoji23][emoji23]
Power ya kujenga miundombinu ambayo wenzenu wamejenga karne zilizopitaMlikuwa hamjui power ya Tz but ss mnajua [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji3545][emoji3545][emoji90][emoji90][emoji205][emoji205]
Yah, mabasi yapo. Ni yale design ya Eicher na nauli ni 17,000/= kama hakutakuwa na mabadiliko. Kituo yanapoanzia ndio sina uhakika.naomben msaada, kuna mtu anakujua kisaki morogoro? nawezaje kufika huko kutoka Dar kwa Bus?