Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hiyo ilikuwa chambo tuu, kuna nukta nilitaka kuziunganisha.
Najua ulisoma jinsi nilimkaripia mzee Moi ukadhani kwamba nimefanya hivyo kwa sababu ya ukabila. Hata Wakalenjin wa kabila lake wanakubali kwamba huyo mzee aliharibu uchumi wa Kenya.
 
meona enhee... Tony254 anachuki na Wakikuyu! watawala wa Kenya!
Sina chuki na kabila. Sipendi Moi kwa sababu ya jinsi alivyoharibu uchumi wa Kenya. Mimi sina chuki na kabila lolote. Hata hamjui kabila langu sasa utasemaje kwamba nachukia kabila fulani? Huenda nikawa Mkikuyu au huenda nikakosa kuwa Mkikuyu. Utajuaje kabila langu? Huwezi kujua unless nikuambie kabila langu.
 
unaitwa Kuria halafu tusijue kabila lako? Unatuonaje? BTW mbona unakataa lugha ya Taifa, Gikuyu?
 
Eti mtz naye anaongelea kuhusu kuzaliana
Mtu ndani ya miaka 50 tulikua sawa lkn sai ana watu zaidi ya milion kumi mbele na bado wanaendelea tu
Kwahyo milioni 10 mbele na udogo wa nchi yenu kwetu we unaonaje? Ni sawa? Yn nchi inaingia mara mbili na bado tumewazd watu milioni 6 pekee, watu kweli mnapigangana mbupu
 
Hio ya Kenya kuwa 52 million umeitoa wapi?
Hii si umeweka mwenyewe hii auu
Screenshot_20210129-074522.jpg
 
Hii si umeweka mwenyewe hii auu View attachment 1688758
Census ya serikali inasema Wakenya ni 48 million. Kitaalam, census ina nguvu kushinda data hizi za projection maana census sio projection. Census ni actual data maana watu wamehesabiwa mmoja mmoja hadi wakafikia 48 million. In fact ni vigumu sana mtu yeyote kupinga data ya census unless unajaribu kusema kwamba serikali ya Kenya inadanganya.
 
Kwahiyo ya Ghana unaikubali ila ya Kenya unaikataa, hv kwa wingi mlionao bado unadhani mpo mil 48?
 
Kwahyo milioni 10 mbele na udogo wa nchi yenu kwetu we unaonaje? Ni sawa? Yn nchi inaingia mara mbili na bado tumewazd watu milioni 6 pekee, watu kweli mnapigangana mbupu
Sisi tulikuwa 10 million na nyinyi mlikuwa 11 million wakati tunapata uhuru. Lakini baada ya miaka 50 nyinyi mumetuzidi na zaidi ya watu 10 million. Sasa ni watu gani wanapigana kuni sana?
 
Kwahiyo ya Ghana unaikubali ila ya Kenya unaikataa, hv kwa wingi mlionao bado unadhani mpo mil 48?
Sina census data ya Ghana so nimetumia hii projection. Census ndio actual data na hio sina. Kama ningekuwa na census data ya Ghana basi singetumia hio projection.
 
Sisi tulikuwa 10 million na nyinyi mlikuwa 11 million wakati tunapata uhuru. Lakini baada ya miaka 50 nyinyi mumetuzidi na zaidi ya watu 10 million. Sasa ni watu gani wanapigana kuni sana?
Tanzania ni kubwa karibu mara mbili ya Kenya nilitegemea tuwazidi watu zaidi ya mil 30 yn tukiwa mil 60 nyinyi muwe mil 30 lkn wapi, Tz ni mil 60 while Kenya ni mil 52.57 wht a joke!! Mnapigana mbupu kinoma yn, mnazaana sana wallahi
 
Kwahiyo ya Ghana unaikubali ila ya Kenya unaikataa, hv kwa wingi mlionao bado unadhani mpo mil 48?
By the way Uganda nao wako karibu kutupita. Wao juzi juzi tu walikuwa 30 million, sasa hivi wako 43 million ilhali Kenya tuko 48 million. Wameziba gap kishenzi. Uganda wanalimana kitandani bila mchezo. Kumbuka kanchi kao ni nusu ya Kenya na robo ya Tanzania na tayari wametufikia kwenye idadi ya watu. Waafrika kupunguze kupigana pumbu kiasi hiki.
 
Back
Top Bottom