Huyo jamaa zake mbamba shazi ile laana,anae matambo sana uyo shindikanaa,lakin on the ground ni mapampam tu na ma eeh eeh 😂😂. The best 007
Nitafutie neno projection hapaSina census data ya Ghana so nimetumia hii projection. Census ndio actual data na hio sina. Kama ningekuwa na census data ya Ghana basi singetumia hio projection.





. Geza Ulole hiv unajua kenyans hawajuagi kwamba sio tu kwa ndege hata kwa meli watalii wanatua hapa .? . Utalii wetu pamoja na uchumi wetu unakua bhana
Uganda hawa fake data.By the way Uganda nao wako karibu kutupita. Wao juzi juzi tu walikuwa 30 million, sasa hivi wako 43 million ilhali Kenya tuko 48 million. Wameziba gap kishenzi. Uganda wanalimana kitandani bila mchezo. Kumbuka kanchi kao ni nusu ya Kenya na robo ya Tanzania na tayari wametufikia kwenye idadi ya watu. Waafrika kupunguze kupigana pumbu kiasi hiki.
Habari ndiyo hiyo, Sasa ngonjeni kilio 😂
Huwezi linganisha na mkopo wakat mtu lazima arudishe pesa yake ww unaongea nn unafkiri anaekeza for nothing pale 🤣🤣Ni DM nikufunze maana ya PPP vs direct loan or funding, what it does to National treasury., pros n cons, uwezi linganisha na mkopo., Wewe kazi ni kulazimisha fikra zako finyu, wacha ianze kazi uone., na bei yake pia, then compare na loan. Mvivu najua hautamani kupata na kuelewa how the thing works and it's benefits over the conventional loan uptake, ,ukweli najua haupendi.Kama account haukufunga na expressway inajengwa wewe mwehu kweli
nakumbuka ukiniambia "haitajengwa bro...ndafunga account"., nikapinga ukasema "Basi nionyeshe billboard wenzako wameshindwa....hiyo haijengwi" Kenya ain't Tz., will never be.
Mombasa ina nn 😀😀 hakuna mji umekufa kibiashara kama mombasa leo biashara zote mumezitoa coast mumepeka nairobi alaf unazungumza nn wewe🤣🤣🤣🤣Imefunguliwa thread yake to rub it on your face, pole kaka ni Kenya. Na bado Mombasa ni kimya kimya what u don't see outside Dar citybro 2022 kwa majaliwa ya Maulana Mombasa itakutesa zaidi Mr. Dar baby
![]()
So hutaki hio au ww unaakili kuliko google earth nijibu plz🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇Pockets I can put a finger, weka aerial view around those places utaona clear., while in Dar low life imetapakaa kote kote! Ukweli na ichoboy01 ni kama maji na mafuta![]()
., sehemu kubwa ya jiji la Dar have a poor village look standards, walala hoi ni almost 90% na maisha ya kishamba shamba tu.,![]()
![]()
![]()
![]()
Lakini google earth haijui sindio😂😂😂 yani ww unaakili kuliko google earth haya ndio maajabu mm hua naona kwa wakenya
View attachment 1688497View attachment 1688500
Lakini sio kwa kenya mzee hio sahau subirini kifo chenu kimewadia 🤣🤣🤣🤣 2022 lazima habari ipatikaneAbsolutely, a fact.
Uhehehehhehehehehehehehe maumivu kwenye wakat wake muafaka asante sana kwa maumivu makali 🤣🤣🤣🤣🤣🤣What is a white elephant? Discuss.., (20marks)
Explain "umepanick" (10 marks)
The the words u hardly understand their meaning, u always use them out of context.,
Exposing your ignorance too much lowers your integrityHuwezi linganisha na mkopo wakat mtu lazima arudishe pesa yake ww unaongea nn unafkiri anaekeza for nothing pale
Subirini muone kaa la mawe kenge nyinyi munaanza kujitekenya sasa hvi wakat mambo magumu yamekaribia


., umekua a mere sycophant, nothing substantial can come out of your head., bro nime miss mapicha., zimwage baby...,

Hakuna neno projection hapo. Kuna njia mbili za kucalculate population.
Ww unazungumzia population wakat tanzania na kenya zimeacha kwa takriban watu wasiozidi million 5 lakini cha ajabu hushangai unemployment rate ambayo kenya ni mara tatu ya tanzania 🤣🤣🤣🤣 hio population inakusaidia nnSisi tulikuwa 10 million na nyinyi mlikuwa 11 million wakati tunapata uhuru. Lakini baada ya miaka 50 nyinyi mumetuzidi na zaidi ya watu 10 million. Sasa ni watu gani wanapigana kuni sana?
angalia tofauti hapa si bendera ya nchi! Bali ni bendera ya kuruhusu treni kupita!Ndio mmeuanzisha huo utaratibu ninyi? View attachment 1688775
Utabiri wako unashinda uki fail kila uchao, wewe ni kati ya wale manabii wa uwongo walio tabiriwa kutokea siku za mwisho.,Lakini sio kwa kenya mzee hio sahau subirini kifo chenu kimewadia2022 lazima habari ipatikane



2022 kwa majaliwa tutakua hapa., You will be posting funny threads to avoid the reality Kama mnavyo fanya sasa., 2020 imepita bado mnatapatapa tu.,Uhehehehehehheheheheheh🤣🤣👇👇 endelea kujipa matumaini unafkiri muna akili ya kumzidi mchina 👇👇👇👇Exposing your ignorance too much lowers your integrity., umekua a mere sycophant, nothing substantial can come out of your head., bro nime miss mapicha., zimwage baby...,
![]()
Uhehehehhehehehehehehehe maumivu kwenye wakat wake muafaka asante sana kwa maumivu makali
Unafananisha na ile reli ilioishia machakani naivasha



ujamaliza mtihani umeshatoka kwa darasa
. umesahau kalamu ama?,Ww unazungumzia population wakat tanzania na kenya zimeacha kwa takriban watu wasiozidi million 5 lakini cha ajabu hushangai unemployment rate ambayo kenya ni mara tatu ya tanzaniahio population inakusaidia nn



unajaribu kutuvuta tuwe level yenyu



bro pewa mbili kwa bill yangu

Sio mm naesema ni watu wenu 🤣🤣 wanaosema kenya is a failed stateUtabiri wako unashinda uki fail kila uchao, wewe ni kati ya wale manabii wa uwongo walio tabiriwa kutokea siku za mwisho.,2022 kwa majaliwa tutakua hapa., You will be posting funny threads to avoid the reality Kama mnavyo fanya sasa., 2020 imepita bado mnatapatapa tu.,