President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 31,767
- 89,792
Sysytem ya uchumi ya kizamani ni tofauti sana na system ya sasa kijana.Uko spot on. SA hata wakiingia recession kwa miaka kumi mfululizo bado watakuwa mbele ya nchi nyingi sana hapa Africa. They have the systems in place so hata wakizembea bado they will still be ahead of us. Sisi sasa hivi ndio tunajenga misingi za kiuchumi ilhali SA tayari wanazo kwa miaka nyingi.
Upo too primitive na hutaki kubadilika. Technology inabadili mambo mengi sana kwa kasi.
SA ilikuwa inakimbia sana kutokana na production ya Gold(Aurum). Lakini kwa sasa technology imebadilika. And in near future Gold yatakuwa madini ya kawaida tu maana mfumo wa kifedha unabadilika kwa kasi. Tunaingia katika digital money na siyo gold tena.
Wake up kijana.


au ni kichaa kimekujaa