Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bado iko but the resilience of Kenyans and the economy's ability to whither shocks due to diversity na heavy investment by the private sector, ndio maana tunapaa despite the setbacks, imagine tukiwa tu na amani mwaka mmoja tu! Tz haina resilience economy can't withstand shocks take it to the bank, I pray musiwe na tatizo lolote even natural disasters, kwa vile mlivyo mnaeza zama kishenzi.
Munaenda kupoteza pesa za taxpayers kwenye upuuzi kwa niaba ya wachache alaf museme muna economic system nzuri 😄😄
Sijui ushuzi BBi
 
Swali linakuja iko juu ya nn, iko juu ya kitu gani ???? Usiniambie iko juu wakat watu wanakufa na njaa huku nchi inaomba saada wa chakula ??? Zingatia hayo
Nionyeshe mahali tumeomba msaada wa chakula wewe., just show where Kenya has asked for food aid!, ama unaona watu/nchi zenye roho safi wanajipendekeza eti kusaidia out of their own goodwill, for their own diplomatic interests(wewe najua haya huyaelewi-Tz is poor in diplomacy)., Kenya feeds itself, tunanunua na kuwasaidia wakulima wenu fukara angalau wavae na kununua sukari na chumvi.,
 
Bado iko but the resilience of Kenyans and the economy's ability to whither shocks due to diversity na heavy investment by the private sector, ndio maana tunapaa despite the setbacks, imagine tukiwa tu na amani mwaka mmoja tu! Tz haina resilience economy can't withstand shocks take it to the bank, I pray musiwe na tatizo lolote even natural disasters, kwa vile mlivyo mnaeza zama kishenzi.
kwanza aliyekuambia kuwa covid haija athir tanzania ni nani.....?....

au haujui kuwa pia kuna muingiliano wa kibiashara baina ya mataifa,,,,tuchukulie mfano nina duka langu la kuuza nguo kwenye duka lako ghafla tukapata matatizo ya kiafya kwa pamoja hii hali ikatupelekea wote tufunge maduka yetu ila baada ya mda nikapata mbinu ya kujikinga na kujitibu kabisa hatimaye nikapona nakuendelea na shughuli zangu za kuuza biashara ya kuuza nguo kwenye duka langu ila cha kusikitisha mwenzangu ukawa bado unaumwa hivyo hiyo hali ikawa bado inakupelekea uendelee kufunga biashara yako.....
unadhani hapo kipi kilichotokea..?
 
Ghana hawako juu yetu wewe Mpumbavu. Ni hizi GDP za kupika ndio huonesha wako na GDP kubwa kuliko yetu inayokandamizwa kwa sababu ya our socialist policies.

Airport Kubwa ya Ghana haipokei ndege nyingi zaidi ya Zanzibar airport.
Just do analysis ya their economic output kwa maakini.,airport pekee sio GDP, kuna several factors brathe., Wacha blind patriotism, it is clouding your judgement., Wivu kisa Ghana iko juu yenyu sasa ni GDP ya kwenye makaratasi ., Basi wako na more modern stadiums kuwashinda, if u want to use such reasoning to argue, kindly style up man
 
kwanza aliyekuambia kuwa covid haija athir tanzania ni nani.....?....

au haujui kuwa pia kuna muingiliano wa kibiashara baina ya mataifa,,,,tuchukulie mfano nina duka langu la kuuza nguo kwenye duka lako ghafla tukapata matatizo ya kiafya kwa pamoja hii hali ikatupelekea wote tufunge maduka yetu ila baada ya mda nikapata mbinu ya kujikinga na kujitibu kabisa hatimaye nikapona nakuendelea na shughuli zangu za kuuza biashara ya kuuza nguo kwenye duka langu ila cha kusikitisha mwenzangu ukawa bado unaumwa hivyo hiyo hali ikawa bado inakupelekea uendelee kufunga biashara yako.....
unadhani hapo kipi kilichotokea..?
Internal businesses have a big impact too., free movement of goods and services and people is a big plus to economy! Kenya many small businesses went under!., Kwani GDP yenyu ni ya kwenye makaratasi???
 
munasingizia corona acha ujinga wewe
Nani amepinga ufisadi hapa?., licha ya haya tuko 2020, hamjamaliza SGR,. bado output ya Dar port is nowhere near Mombasa, JKIA's revenue ina more than double JNIA's., Nyinyi ni laana ama kurogwa ama ni propaganda, kama ingekua ukweli mngekua juu ya Ghana, Sudan, na Ethiopia kwa sasa., Hauniambii kitu wewe
 
Nabado itasimama, it is resilient watch hii 2021, post covid recharge., nyie hamukufunga uchumi lakini bado hamjapiga hatua., economic output na revenue bado hafifu. Shughulikia hali yenyu. Post covid most countries are struggling, so your argument is nul and void, wewe haja yako ni kupinga .,
Lete takwimu zinazosema hatujapiga hatua kipindi hiki cha covid.
 
Nionyeshe mahali tumeomba msaada wa chakula wewe., just show where Kenya has asked for food aid!, ama unaona watu/nchi zenye roho safi wanajipendekeza eti kusaidia out of their own goodwill, for their own diplomatic interests(wewe najua haya huyaelewi-Tz is poor in diplomacy)., Kenya feeds itself, tunanunua na kuwasaidia wakulima wenu fukara angalau wavae na kununua sukari na chumvi.,
Unapenda kuoneshwa au sio 😅😅👇

CF59772D-CA05-4605-8C66-7491734905C9.jpeg
 
Nani amepinga ufisadi hapa?., licha ya haya tuko 2020, hamjamaliza SGR,. bado output ya Dar port is nowhere near Mombasa, JKIA's revenue ina more than double JNIA's., Nyinyi ni laana ama kurogwa ama ni propaganda, kama ingekua ukweli mngekua juu ya Ghana, Sudan, na Ethiopia kwa sasa., Hauniambii kitu wewe
Tuna phase tatu ziko under construction SGR kwa sasa
nyinyi SGR loan ya mchina imeishia wwapi??? Machakani au ? Si ndio hio mpaka leo muna run loss huku mchina anasubiri mulipe deni lake 😁😁😁😁 sahivi munaita white elephant
 
Nani amepinga ufisadi hapa?., licha ya haya tuko 2020, hamjamaliza SGR,. bado output ya Dar port is nowhere near Mombasa, JKIA's revenue ina more than double JNIA's., Nyinyi ni laana ama kurogwa ama ni propaganda, kama ingekua ukweli mngekua juu ya Ghana, Sudan, na Ethiopia kwa sasa., Hauniambii kitu wewe
Phase one 92%
phase two 54%
phase 5 site works

Kusema ukweli Kikwete uchumi wake ulikuwa unapaa juu unafikia 6% na 7% ila hakuna maendeleo kwenye ground. Nadhani ni kwa vile alikuwa marafiki na mabeberu. Kwa hivyo Imf na WB walikuwa wanakubaliana na data yoyote inayotolewa na serikali yake. Magufuli naye akitoa data 7% Imf wanapunguza hadi 4% maana hawampendi lakini kuna maendeleo ya kufa mtu kwenye ground.

For the first time umeongea kitu nimekupa like na kukubaliana na wewe.

West wanataka leaders wa hivyo hovyo Africa.
 
Internal businesses have a big impact too., free movement of goods and services and people is a big plus to economy! Kenya many small businesses went under!., Kwani GDP yenyu ni ya kwenye makaratasi???
GDP yenu inakinzana na maisha halisi ya mkenya....

the trueth ground maisha yenu ni hovyo,,,,
 
Back
Top Bottom