The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Kenya has well established economic system, la sivyo baada ya 2007 violance tungezama, ama elections or any economic shocks, but our economy is diversified and driven by private sector, only peace is enough for Kenya to flourish, Kama tunapiga siasa 24/7 na maendeleo yanafanywa na bado kuna ufisadi but kazi itafanywa., nyie dhoruba kidogo mtazama kaburi la sahau.Hizo other factors kwenu hazipo na ndiyo maana tunasema mnapika data.
Siasa zilianza na ukabila na corruption zikachangamka.,Imeanza kuinuka 2002 na toka mulipopata uhuru mulikua munafanya nn hebu tudanganye sasa![]()
Tanzania imepoteza muda mwingi sana kwenye kukomboa nchi za africa kupata uhuru wao yani tanzania imeanza kujenga nchi within 12 yrs wakat kenya imejitenga toka imepata uhuru mukaanza kujihusisha na biashara toka mulipopata uhuru nilifkiri tok uhuru mpaka leo mayb mutaku sawa na ufaransa kumbe mko level moja na congo kuomba msaada chakula 😅😅😅😅😅😅
Which economic system wakat leo tunaambiwa uchumi wa kenya unapumulia kende kutokana na madeni yakipuuzi?? Hvi nchi gani duniani siasa zinaanza 2yrs before election ulishawah kuiona hio nchi 😄😄 hvi utasema muna system gani ya maana ushuzi wa bata, maendeleo gani munafanya wakat unemployment rate iko three times of tanzania and uganda ????Kenya has well established economic system, la sivyo baada ya 2007 violance tungezama, ama elections or any economic shocks, but our economy is diveesified and driven by private sector, only peace is enough for Kenya to flourish, Kama tunapiga siasa 24/7 na maendeleo yanafanywa na bado kuna ufisadi but kazi itafanywa., nyie dhoruba kidogo mtazama kaburi la sahau.
kwani kwa sasa hivi corruption na ukabila hakuna....?Siasa zilianza na ukabila na corruption zikachangamka.,
Ndio maana munachinjana mpaka leo alaf munasema amani munayo muitoe wapi??Siasa zilianza na ukabila na corruption zikachangamka.,
Dhoruba itokee wapi wkt nchini angalau watu wanagawana national cake japo co kivile ila ni too far from yoursKenya has well established economic system, la sivyo baada ya 2007 violance tungezama, ama elections or any economic shocks, but our economy is diveesified and driven by private sector, only peace is enough for Kenya to flourish, Kama tunapiga siasa 24/7 na maendeleo yanafanywa na bado kuna ufisadi but kazi itafanywa., nyie dhoruba kidogo mtazama kaburi la sahau.










Kwn ukabila na corruption vimeisha Kenya?Siasa zilianza na ukabila na corruption zikachangamka.,
Na siku vikiisha ujue yesu kashuka 😅😅Kwn ukabila na corruption vimeisha Kenya?
Kenya imeanza kuinuka 2002! We grew at negative na stunted growth in the 90s kama vile SA walivyo sasa, Check the economic differences Kati ya Ke na Tz then uone, let me be just straight with u; Tz tatizo ni uzembe ukichanganya na ujamaa iliyo lemaza uchumi, vita Ghana wamekua nazo Sana kwanza coup de tat, na wako juu yenyu., Try something else substantial bro..,
Nabado itasimama, it is resilient watch hii 2021, post covid recharge., nyie hamukufunga uchumi lakini bado hamjapiga hatua., economic output na revenue bado hafifu. Shughulikia hali yenyu. Post covid most countries are struggling, so your argument is nul and void, wewe haja yako ni kupinga .,Which economic system wakat leo tunaambiwa uchumi wa kenya unapumulia kende kutokana na madeni yakipuuzi?? Hvi nchi gani duniani siasa zinaanza 2yrs before election ulishawah kuiona hio nchihvi utasema muna system gani ya maana ushuzi wa bata, maendeleo gani munafanya wakat unemployment rate iko three times of tanzania and uganda ????
Sikiza watu wenye akili zao kenge wewe
Bado iko but the resilience of Kenyans and the economy's ability to whither shocks due to diversity na heavy investment by the private sector, ndio maana tunapaa despite the setbacks, imagine tukiwa tu na amani mwaka mmoja tu! Tz haina resilience economy can't withstand shocks take it to the bank, I pray musiwe na tatizo lolote even natural disasters, kwa vile mlivyo mnaeza zama kishenzi.kwani kwa sasa hivi corruption na ukabila hakuna....?
Unasemaa uchumi gani utasimama wakat unemployment rate iko 3 times of tanzania and uganda ??😀😀😀😀Nabado itasimama, it is resilient watch hii 2021, post covid recharge., nyie hamukufunga uchumi lakini bado hamjapiga hatua., economic output na revenue bado hafifu. Shughulikia hali yenyu. Post covid most countries are struggling, so your argument is nul and void, wewe haja yako ni kupinga .,
😅😅😅😅😅😅munasingizia corona acha ujinga weweBado iko but the resilience of Kenyans and the economy's ability to whither shocks due to diversity na heavy investment by the private sector, ndio maana tunapaa despite the setbacks, imagine tukiwa tu na amani mwaka mmoja tu! Tz haina resilience economy can't withstand shocks take it to the bank, I pray musiwe na tatizo lolote even natural disasters, kwa vile mlivyo mnaeza zama kishenzi.
Kila kitu corona haha 😅😅😅😅 mambo yafanywe na ujinga wenu museme coronaBado iko but the resilience of Kenyans and the economy's ability to whither shocks due to diversity na heavy investment by the private sector, ndio maana tunapaa despite the setbacks, imagine tukiwa tu na amani mwaka mmoja tu! Tz haina resilience economy can't withstand shocks take it to the bank, I pray musiwe na tatizo lolote even natural disasters, kwa vile mlivyo mnaeza zama kishenzi.