Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwahiyo sio tena masikini au sio
Masikini fukara yote kwa mpigo! Less than $0.99 Now wakitumia $2.99 ya lower mido income mnaanguka wapi? Hii ni wale below $0.99
JamiiForums1552698300.jpg
 
Hamfai kutajwa nchi masikini wa kutupwa ichoboy01 , ona vile mna paradiso! Tatizo huwa nini kaka., Leo nifafanulie..., weka debate kando..
So umekasirika 😅😅😅😅 tanzania imeanza kuinuka just 12 yrs ago leo inawakosesha usingizi wakat nyie baada ta uhuru mukajitenga mukaanza kufanya biashara yani mulifaa muwe sawa na germany lakini ushuzi mtupu 😅😅😅😅

tanzania baada ya uhuru ilianza kuzipugania nchi za africa juu ya uhuru wao alaf leo unaongea nn wewe
 
Yes I know that Middle income Kama Kenya, Zambia, Ghana, Nigeria etc, nafahamu vyema welcome to the club., but mido income sio suluhisho kwa ufukara
Unaweza ukajionea projects tunazofanya kwa ss zen linganisha na zenu alafu kuja tuongeee.

Alafu kwa nn nirudie rudie kitu ambacho unajua mpuuzi wewe
 
Nimekwambia angalia projects tunazofanya kwa pesa ya ndani linganisha na projects zenu ambazo ni mikopo alafu njoo tuongee.
Pesa za ndani my foot, that propaganda we debunked long ago. Hiyo pumbaza nayo idiots. Even WH questioned (yaani 1+1 doesn't add up) Next...
 
So umekasirika tanzania imeanza kuinuka just 12 yrs ago leo inawakosesha usingizi wakat nyie baada ta uhuru mukajitenga mukaanza kufanya biashara yani mulifaa muwe sawa na germany lakini ushuzi mtupu

tanzania baada ya uhuru ilianza kuzipugania nchi za africa juu ya uhuru wao alaf leo unaongea nn wewe
Baada ya kupigania uhuru mlikuja mkatupiku kiuchumi kwa muda flani, then what happened? Your excuses bado hai explain your poverty , na haitukoseshi amani kamwe coz I know it will take ages to level., understand the fundamentals za uchumi si porojo..,
 
Sio tuliwapiku bali sisi ndiyo tulianza zen nyie mkatupiku ila baadaye mkaanza upumbavu wa kupika data baada ya wimbi la corrupt leaders ku emerge in Kenya, but now mtajua hamjui mana hata mkiongeza zero hamtatufika cz u r going to be a dependent on our economy whether you like or not.
 
Tanzania imepoteza muda mwingi sana kwenye kukomboa nchi za africa kupata uhuru wao yani tanzania imeanza kujenga nchi within 12 yrs wakat kenya imejitenga toka imepata uhuru mukaanza kujihusisha na biashara toka mulipopata uhuru nilifkiri tok uhuru mpaka leo mayb mutaku sawa na ufaransa kumbe mko level moja na congo kuomba msaada chakula 😅😅😅😅😅😅
 
Sio tuliwapiku bali sisi ndiyo tulianza zen nyie mkatupiku ila baadaye mkaanza upumbavu wa kupika data baada ya wimbi la corrupt leaders ku emerge in Kenya, but now mtajua hamjui mana hata mkiongeza zero hamtatufika cz u r going to be a dependent on our economy whether you like or not.
Get the facts bro., Kupika wapi na nikikuambia uweke hapa facts ya your economic output kila sector na ulinganishe na ya Kenya kote kote unakimbia., Private sector is King(ubepari bro), Mnatamani sana fikra zenu na ndoto zitimie lakini never, hadi mwisho wa dahari halitatendeka. We can bet.,
 
Tanzania imepoteza muda mwingi sana kwenye kukomboa nchi za africa kupata uhuru wao yani tanzania imeanza kujenga nchi within 12 yrs wakat kenya imejitenga toka imepata uhuru mukaanza kujihusisha na biashara toka mulipopata uhuru nilifkiri tok uhuru mpaka leo mayb mutaku sawa na ufaransa kumbe mko level moja na congo kuomba msaada chakula
Kenya imeanza kuinuka 2002! We grew at negative na stunted growth in the 90s kama vile SA walivyo sasa, Check the economic differences Kati ya Ke na Tz then uone, let me be just straight with u; Tz tatizo ni uzembe ukichanganya na ujamaa iliyo lemaza uchumi, vita Ghana wamekua nazo Sana kwanza coup de tat, na wako juu yenyu., Try something else substantial bro..,
 
Hilo ni tatizo la planning na halina uhusiano wowote na Gdp. Wizara ya fedha ya Kenya ndio ina planning mbaya ya matumizi na wameshindwa kupunguza expenditure au kuongeza revenue. Hilo ni tatizo mbaya la planning maana huwezi kutumia pesa nyingi kushinda mapato yako. Kwa hivyo hakuna haja ya sisi kuongea kuhusu Gdp. Tuongee tu kuhusu planning mbaya ya wizara ya fedha
sasa GDP ya $100 bln inashindwa vp ku-raise budget to at least a deficit of 15%?
 
Back
Top Bottom