Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hizi ni wewe[emoji1787][emoji1787]
View attachment 1688111
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tunazidi ata kununua vifaa
View attachment 1688112
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivyo vita mlipigana na nchi gani au mlipigania nchi gani....?

SHIFTA WAR
Vita vya Shifta vilikuwa vita vya kujitenga ambapo Wasomali wa kabila katika Wilaya ya Kaskazini ya Kenya walijaribu kujitenga na Kenya kujiunga na Somalia. Serikali ya Kenya ilitaja mzozo huo "shifta", baada ya neno la Kisomali kwa "jambazi", kama sehemu ya juhudi za propaganda.

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Au hii utakataa[emoji28][emoji28][emoji28]

Umekubali hii [emoji116][emoji116]kwanza., tuanzie hapo
JamiiForums1552698300.jpg
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ndio CCM ilikuambia?[emoji23][emoji23]., Wakati mwingine chunguza kwanza., Propaganda umelishwa Hadi Basi[emoji1787][emoji1787]., hebu weka hapa total revenue ya 2019/2020 financial year na National budget then we discuss..., Please harakisha kaka
Hvi ndio vitu munashangilia leo😅😅😅😅

BB5CFAA1-F426-499A-8454-6C42FCED737A.jpeg
 
nilimwuliza awali akatumia vita vya makabila ya wafugaji vya kugombea mifugo huko mount elgon na shafta war hahahahaha
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787] nimecheka sana halafu kajipa status ys victory..

wakenya ni wajinga sana
 
Kusema ukweli Kikwete uchumi wake ulikuwa unapaa juu unafikia 6% na 7% ila hakuna maendeleo kwenye ground. Nadhani ni kwa vile alikuwa marafiki na mabeberu. Kwa hivyo Imf na WB walikuwa wanakubaliana na data yoyote inayotolewa na serikali yake. Magufuli naye akitoa data 7% Imf wanapunguza hadi 4% maana hawampendi lakini kuna maendeleo ya kufa mtu kwenye ground.
JPM kawafinya wakuu wengi wa Magharibi unajua suala la Barrick gold limegusa viongozi wengi maana walikuwa na shares kwenye major European and the US stock exchanges! sasa unakuta mtu kakopa kipindi kununua shares za Barrick gold ina-make super profits huku ikitoa gawio dogo kwa GoT halafu ghafla share values zinashuka kwanini wasm-mind! kipindi cha awali ulikuwa unaweza kukopa na kulipa interest rates kwa just rise of share values! ndo maana hawaishi kumlaaani European Union parliament na mabunge ya nchi zao!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ndio CCM ilikuambia?[emoji23][emoji23]., Wakati mwingine chunguza kwanza., Propaganda umelishwa Hadi Basi[emoji1787][emoji1787]., hebu weka hapa total revenue ya 2019/2020 financial year na National budget then we discuss..., Please harakisha kaka
Wacha ujinga, nenda moja kwamoja tafuta Tanzania budget deficit 2020/21 utaona, huna sababu ya kupoteza nguvu nyingi, angalia ni nchi gani yenye kutekeleza miradi mingi na mikubwa kwa pesa za ndani bila kukopa, hiyo ndio ishara halisi kwamba budget deficit ni ndogo sana

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Ww ni fala sijapata kuona hakuna kitu mulienda mchomo kama mfumo wa county governments [emoji28][emoji28][emoji28] ndio maana nimeski juzi mumepumguza pesa zinazotoka serekali ya taifa kwenda counties kisa nchi iko broke au nasema urongooooo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Covid impact ona ulivyo ovyo reasoning., U always read your thinking into Kenyan issues., [emoji1787][emoji1787] Unatamani sana iwe the unavyo fikiria wewe.,[emoji23][emoji23]pole bro., Naona wewe ni chairman kamati ya roho chafu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Umekubali hii [emoji116][emoji116]kwanza., tuanzie hapo
View attachment 1688218
Watz tuko approximately mil 60 poor people ni 28mil, while Wakenya mko approximately 50 mil, more than half of them are poor which means more than 25 mil are poor kwahiyo hapo ukiangalia hesabu vizuri utagundua kwamba Wakenya wengi ni maskini zaidi kuliko Watz because more than half of kenyans are poor, yn km mngekuwa wengi km sisi mana ake ingekuwa Wakenya zaidi ya mil 30 wangekuwa ni maskini.

Hii ni dhambi kubwa sana kwa serikali na viongozi wa Kenya.
 
Wacha ujinga, nenda moja kwamoja tafuta Tanzania budget deficit 2020/21 utaona, huna sababu ya kupoteza nguvu nyingi, angalia ni nchi gani yenye kutekeleza miradi mingi na mikubwa kwa pesa za ndani bila kukopa, hiyo ndio ishara halisi kwamba budget deficit ni ndogo sana

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
haijawahi zidi 5%!
 
Naona umekwepa swali langu, najua unajua ukweli unatafuta vijisababu tu[emoji23][emoji23] wacha nikusaidie kaka; 2019/2020 financial year Tanzania National budget was Tsh33.2T Total Revenue collected was Tsh14.6T.,

You ought to understand a govt does not solely rely on revenue collection to finance a budget, Kuna other sources. Now prove me wrong on your budget vs revenue collection, Tz iko ovyo brathe.
 
Kama baadhi yenu mnashindwa kutamka maneno ya kiswahili vizuri basi mbona mnajidai kwamba nyinyi ndio mnajua kiswahili kushinda wengine? Mjifunze kutamka maneno vizuri kwanza ndio mjidai
kuchapia matamshi ni kawaida tena sana,hata huyo wenye lugha yao ya english huwa wanachapia....

ndiyo maana duniani kuna kitu kinaitwa "correction" kipo kwa sababu maalum
 
Watz tuko approximately mil 60 poor people ni 28mil, while Wakenya mko approximately 50 mil, half of them are poor which means 25 mil are poor kwahiyo hapo ukiangalia hesabu vizuri utagundua kwamba Wakenya wengi ni maskini zaidi kuliko Watz because half of kenyans are poor, yn km mngekuwa wengi km sisi mana ake ingekuwa Wakenya mil 30 ni maskini.

Hii ni dhambi kubwa sana kwa serikali na viongozi wa Kenya.
A fallacy in reasoning [emoji1787][emoji1787][emoji23] why do u embarrass yourself hivi?.,
 
Covid impact ona ulivyo ovyo reasoning., U always read your thinking into Kenyan issues., [emoji1787][emoji1787] Unatamani sana iwe the unavyo fikiria wewe.,[emoji23][emoji23]pole bro., Naona wewe ni chairman kamati ya roho chafu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mutasingizia kila kitu covid impact wakat budget deficit imevuka 1trillion ksh😅😅 alaf mko hapa munaimba GDP

Sasa utapangaji matumizi bila kulinganisha na kipato chako?

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Hilo ni tatizo la planning na halina uhusiano wowote na Gdp. Wizara ya fedha ya Kenya ndio ina planning mbaya ya matumizi na wameshindwa kupunguza expenditure au kuongeza revenue. Hilo ni tatizo mbaya la planning maana huwezi kutumia pesa nyingi kushinda mapato yako. Kwa hivyo hakuna haja ya sisi kuongea kuhusu Gdp. Tuongee tu kuhusu planning mbaya ya wizara ya fedha
 
Tu

Siwacheke wenzetu .tuwape pole tu
Nyie number ni kubwa Sana nchi ya asali na maziwa eti!, Rotuba kote kote! Madini chungu nzima! Kama si laana hii itakua upumbavu umechanganishwa na ujinga.[emoji1787][emoji1787] Kigezo cha kupima ni kile cha LDC[emoji1787][emoji1787]walai wakitunlmia ya lower mido income si mtakua 90%[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom