Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Leo wasukuma wamejitokeza kw hasira
Bila wapwani na waarabu hakingelikuja kiswahili so waswahili wanapatikana pwani kw sababu ya kutangamana sana na waarabu ndio manake hata rangi zao kidogo zimewaka sana..
leta evidence inayoonyesha kuwa mswahili wa kwanza alizaliwa pwani.....?
je mswahili unayemsema wewe alishuka kutoka mbinguni na kujikuta peke yake pwani ama....?

kabla yautumwa binadamu alikuwa akitoka sehemu moja kwenda nyingine ikiwemo visiwani pwani mpaka bara,,,,
na baada ya utumwa pia wakoloni waliwachukua watu kutoka sehemu tofauti tofauti ya nchi kwa kuwatumikisha nakuwasafirisha kutoka sehemu moja kwenda nyingine....na hiki kitendo walikifanya sana waarabu kwa kuuza watu ili wakawajibike kwenye shughuli mbali mbali za kitumwa....
 
Hapo lazima wakasirike
Wale wahindi nao ni waswahili kwa sababu wanaongea kiswahili
huyo si muhindi tena ni mtanzania na siyo kuongea kiswahili pekee,huyo ni mzawa halisi wa hili taifa na kakulia kwenye mazingira ya kiswahili/uswahili....na anaweza kuzaliwa tanga,pemba,moshi,dar,mtwara,bukoba au chato
 
leta evidence inayoonyesha kuwa mswahili wa kwanza alizaliwa pwani.....?
je mswahili unayemsema wewe alishuka kutoka mbinguni na kujikuta peke yake pwani ama....?

kabla yautumwa binadamu alikuwa akitoka sehemu moja kwenda nyingine ikiwemo visiwani pwani mpaka bara,,,,
na baada ya utumwa pia wakoloni waliwachukua watu kutoka sehemu tofauti tofauti ya nchi kwa kuwatumikisha nakuwasafirisha kutoka sehemu moja kwenda nyingine....na hiki kitendo walikifanya sana waarabu kwa kuuza watu ili wakawajibike kwenye shughuli mbali mbali za kitumwa....
Unapingana na historia we jamaa wa chato, upende usipende chato sio uswahilini...

Kiswahili bila wapwani na waarabu hakingelikuja, we ukitaka lia
 
Unajua kwamba kiswahili it's a language of instruction in primary level of education in tz.?
 
255764274530_status_43ca0eeb0787434fa64549909cc3d1eb.jpg
 
Unapingana na historia we jamaa wa chato, upende usipende chato sio uswahilini...

Kiswahili bila wapwani na waarabu hakingelikuja, we ukitaka lia
Unalijua lahaja la msingi (language of standardization) la lugha ya kiswahili.?
 
Back
Top Bottom