Lusematic
JF-Expert Member
- Feb 2, 2017
- 12,051
- 11,839
maisha huwa yanaenda mbele hayasimami...Wakenya wengi hawajui lolote kuhusu Tanzania. Huo ndio ukweli na haubadiliki. Wakenya wengi wanajua tu stereotypes za Watanzania. Kwa mfano Wakenya wanaamini kwamba Watanzania ni
Mambo mabaya
1. Wavivu
2. Wanapenda masengenyo na kugombana. Yaani huwezi kumshinda Mtz kwenye vita ya mdomo
3. Masikini.
4. Hamjasoma vizuri. Masomo yenu ni hafifu na wengi hawajasoma
Mambo mazuri
5. Kiswahili chenu ni bora kushinda chetu.
6. Nyinyi ni wakarimu. Hata mwizi anakuambia "naomba kukuibia" na polisi anasema "naomba kukukamata"
Huku Kenya hatuombi, tunafanya tu maana sisi ni wajeuri
7. Mziki wenu unavutia sana yaani bongo fleva.
Haya ndio mambo ambayo wakenya wanaamini zaidi.
hayo ndiyo mawazo potofu yaliyowatawala wakenya waliowavivu kujifunza mambo kwa kujidanganya kuwa mpo ahead .....



hii dunia ni nzuri sana,tuendelee kuusoma huo mchezo

