Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,919
- 103,791
Kwhiyo hamna Wazungu waswahili?Wacha Ujinga. Huyo ni mzungu
Kwhiyo hamna Wazungu waswahili?Wacha Ujinga. Huyo ni mzungu
Hamna. Kama huyo mzungu ni mswahili mbona Wakenya wa kawaida wanaozungumza kiswahili wasiwe waswahili?Kwhiyo hamna Wazungu waswahili?
Nimekuambia ubaguzi wenu huko Kenya uache hukohuko! Tanzania ina around 3% ya wasio Wabantu yaani caucasian and Asians! Na wamezaliwa na kukulia Tanzania vizazi! Kitu ambapo sipendi kwenye hili upo ethnocentric huwezi kufungua fikra zako na kufikiri nje ya box!Hamna. Kama huyo mzungu ni mswahili mbona Wakenya wa kawaida wanaozungumza kiswahili wasiwe waswahili?
Mzabuni wa sasa hivi yule janja janja nyingi ndio maana kaufelisha mradiKuna mzabuni tayari keshapatikana kwa mujibu wa waziri Jafo. Anatarajiwa kuanza kazi April au May. Wanadai tayari keshanunua mpaka mabasi yote 305 yanayotakiwa.
Sawa basi. Hio nchi yenu ni very strange. Ni nchi ya kushangaza sana. Hizi nchi mbili zina tamaduni tofauti sana.Nimekuambia ubaguzi wenu huko Kenya uache hukohuko! Tanzania ina around 3% ya wasion Wabantu yaani caucasian and Asians! Na wamezaliwa na kukulia Tanzania vizazi! Kitu ambapo sipendi kwenye upo ethnocentric huwezi kufungua fikra zako na kufikiri nje ya box! Nchi yako inaednekeza matabaka na sasa ndo unataka kulazimishia Tanzania! Kwetu sisi huyu ni Mswahili kama mweusi anaweza kuwa Mjerumani kwa asili ama nasaba!
. This is tz .dsm port najua wengi humu huwa hamjuagi mambo kama haya kuwa yap bongo tz
Umesahau mkenya anapenda Sana sifa,ustaarabu ulishawakimbiaga zamani,hakuna kitu kinaaenda kwao bila ya rushwa mkenya anakupa salaam kama anataka usaidizi kutoka kwako🙂Huku tunaamini kwamba
1)Kenya hakuna usalama, watu wake ni katili Sana.
2)Kenya ni njaa sana, maisha ni mabaya Sana
3)Wakenya wana roho mbaya sana
4)Wakenya wengi ni masikini sana
5)Wanawake wa Kenya wana sura mbaya na ni katili Sana
6)Wakenya wote ni wezi
Mazuri
1)Wakenya wanajua kukimbia mbio ndefu
2)Wasichana wa Kenya wanawapenda Sana watanzania
3)Wakenya wanapenda Kiswahili cha TZ
4)Wakenya wengi wanapenda kuishi TZ
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Hakuna kiti km uswahili taifa, taifa ni tanzagiza kiswahili kina wenyewe..Uswahili ni utaifa Tanzania! makabila yanakuja chini ya utaifa Uswahili! Usichanganye tabia ya Uswahili yaani ile conotation ya stereotype na general wider definition ya Uswahili! mimi nina kabila langu lakini utaifa wangu ni lugha na kama Kiswahili ni lugha mama na tamaduni zangu ni za Kiswahili basi mimi ni Mswahili! get the concept! usibishe kifalafala plse! kenya na tanzania tuko tofauti kwenye hilo!


Leo wasukuma wamejitokeza kw hasirakwa kifupi tungemuuliza swali dogo tu ,,,hao watu wa pwani na hao ambao hawapo pwani walifikaje fikaje kwenye hayo maeneo...?
pili kwa jinsi inchi ilivyokubwa alitegemea watu waishi pwani pekee....?..
hajui kuwa enzi za utumwa watu walitolewa kutoka sehemu nyingine kuja pwani kwaajili ya biashara..


Yani average kenyan akiskia ulichokisema atakucheka sanaHuku tunaamini kwamba
1)Kenya hakuna usalama, watu wake ni katili Sana.
2)Kenya ni njaa sana, maisha ni mabaya Sana
3)Wakenya wana roho mbaya sana
4)Wakenya wengi ni masikini sana
5)Wanawake wa Kenya wana sura mbaya na ni katili Sana
6)Wakenya wote ni wezi
Mazuri
1)Wakenya wanajua kukimbia mbio ndefu
2)Wasichana wa Kenya wanawapenda Sana watanzania
3)Wakenya wanapenda Kiswahili cha TZ
4)Wakenya wengi wanapenda kuishi TZ
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app


Hapo lazima wakasirikeHamna. Kama huyo mzungu ni mswahili mbona Wakenya wa kawaida wanaozungumza kiswahili wasiwe waswahili?


Mzungu ni ethnicity na Uswahili si ethnicity! Machoko wa kikenya sijui mtaeleweshajwe muelewe! Plse bakini na Ukikuyu wenu achaneni na dhana nzima ya Uswahili!Huyo ni mzungu we kizere acha ku force vitu
BTW hamna neno kizere kwenye kiswahili! Usichanganye Gikuyu na Kiswahili!Huyo ni mzungu we kizere acha ku force vitu
Acha upumba weye, yani hvo ndio mumedanganywa na nyerere..Mzungu ni ethnicity na Uswahili si ethnicity! Machoko wa kikenya sijui mtaeleweshajwe muelewe! Plse bakini na Ukikuyu wenu achaneni na dhana nzima ya Uswahili!
Ufalamanga ni pale Mnapoita Swahili ethnicity or a tribe! N yet call Kenya a swahili Nation! I think vichwa vyenu vimejaa funza!