Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tz hakuna road iliyopauka na ghorofa ugly kama hizo
Sorry,nilikosea,kweli Tz haiwezi kuwa na ghorofa Kama hizi,,
Hapa ndipo Tz Sasa😁
images - 2021-01-21T221244.304.jpeg
 
Flyovers zinazojengwa kwa ss hapa Dar ni mbili, pale uhasibu na nyingine ipo Chang'ombe na nadhani zitaisha pamoja cz zote zinaenda sawa.
Pale Mwenge kuna jamaa kaniambia wanachimba chimba pako na jam sana sijui wanajenga nini?

Halafu kuna ujenzi wa kasi sana pale in door arena na KMC playing ground. Na stand pia pale i think..ukijumlisha na hiyo barabara mpya ya makumbusho hayo maeneo yatakuwa matata sana.
 
Kwn kuna indoor arena mpya inajengwa?
 
Na hapa ni wapi vileee [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji116][emoji116]View attachment 1687406
mbavu zangu, hata bata hawawezi kuishi katika mabanda haya, choo ni kila sehemu, harufu ya kinyesi ni kama perfum huku kwetu Tanzania! ahahhahahahha, any way, waache waendelee kufurahia wazungu na wacheche kuuziwa misitu na ardhi yenye rutuba tu. wajinga ndio waliwao
 
Huo ni uongo mkubwa sana,Neno Tz kwa mkenya yyte au Tanzania lazima aijue ,ni sawa na mimi niseme siifahamu uganda lol acha izo tantalila zako
Wakenya wengi hawajui lolote kuhusu Tanzania. Huo ndio ukweli na haubadiliki. Wakenya wengi wanajua tu stereotypes za Watanzania. Kwa mfano Wakenya wanaamini kwamba Watanzania ni

Mambo mabaya
1. Wavivu
2. Wanapenda masengenyo na kugombana. Yaani huwezi kumshinda Mtz kwenye vita ya mdomo
3. Masikini.
4. Hamjasoma vizuri. Masomo yenu ni hafifu na wengi hawajasoma

Mambo mazuri
5. Kiswahili chenu ni bora kushinda chetu.
6. Nyinyi ni wakarimu. Hata mwizi anakuambia "naomba kukuibia" na polisi anasema "naomba kukukamata"
Huku Kenya hatuombi, tunafanya tu maana sisi ni wajeuri
7. Mziki wenu unavutia sana yaani bongo fleva.
Haya ndio mambo ambayo wakenya wanaamini zaidi.
 
5. Kiswahili chenu ni bora kushinda yetu.
6. Nyinyi ni wakarimu. Hata mwizi anakuambia "naomba kukuibia" na polisi anasema "naomba kukukamata"
Huku Kenya hatuombi, tunafanya tu maana sisi ni wajeuri
7. Mziki wenu unavutia sana yaani bongo fleva.
Haya ndio mambo ambayo wakenya wanaamini zaidi.
Kwani nyie mnamasomo gani ya kujidai?
Barabara zenu zinajengwa na wageni majengo makubwa wanajenga wageni...mnaexport vitu basics kama chai maua Na parachichi alafu mnanunua machines, magari, computers, madawa na vifaa tiba,nyie mnaelimu Gani ya kujiona mko vizuri? Ni kitu gani kinawafanya mjione mmesoma wakati hamna uwezo hata wakutanua bandari yenu bila mchina kuwepo?

Mimi niwape sifa zenu...
1.Mnamidomo kuliko watanzania kama mlikua hamjui
2.wajuaji Sana na hamna mnachojua
3.hampendani mnaishi kinafiki kati yenu (ukabila)
4.Masikini wa kenya anahali mbaya sana kuliko wa Tanzania (Japo umaskini ni mmbaya sana hata uwe wapi)

Sifa
1.Mnabidii ya kazi (mkipewa kazi mko serious)
2.mnajali sana shule
3.wazuri kwenye michezo,riadha nk

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Wakenya wengi hawajui lolote kuhusu Tanzania. Huo ndio ukweli na haubadiliki. Wakenya wengi wanajua tu stereotypes za Watanzania. Kwa mfano Wakenya wanaamini kwamba Watanzania ni

Mambo mabaya
1. Wavivu
2. Wanapenda masengenyo na kugombana. Yaani huwezi kumshinda Mtz kwenye vita ya mdomo
3. Masikini.
4. Hamjasoma vizuri. Masomo yenu ni hafifu na wengi hawajasoma

Mambo mazuri
5. Kiswahili chenu ni bora kushinda chetu.
6. Nyinyi ni wakarimu. Hata mwizi anakuambia "naomba kukuibia" na polisi anasema "naomba kukukamata"
Huku Kenya hatuombi, tunafanya tu maana sisi ni wajeuri
7. Mziki wenu unavutia sana yaani bongo fleva.
Haya ndio mambo ambayo wakenya wanaamini zaidi.
Kwamba Wakenya waseme Watz ni maskini, kumbe kweli wewe akili zako haziko sawa ndo naamini leo.
 
Wakenya wengi hawajui lolote kuhusu Tanzania. Huo ndio ukweli na haubadiliki. Wakenya wengi wanajua tu stereotypes za Watanzania. Kwa mfano Wakenya wanaamini kwamba Watanzania ni

Mambo mabaya
1. Wavivu
2. Wanapenda masengenyo na kugombana. Yaani huwezi kumshinda Mtz kwenye vita ya mdomo
3. Masikini.
4. Hamjasoma vizuri. Masomo yenu ni hafifu na wengi hawajasoma

Mambo mazuri
5. Kiswahili chenu ni bora kushinda chetu.
6. Nyinyi ni wakarimu. Hata mwizi anakuambia "naomba kukuibia" na polisi anasema "naomba kukukamata"
Huku Kenya hatuombi, tunafanya tu maana sisi ni wajeuri
7. Mziki wenu unavutia sana yaani bongo fleva.
Haya ndio mambo ambayo wakenya wanaamini zaidi.
Exactly,,hapo umeongea ukweli,,ukisimamisha yeyote hapa Kenya umulize about TZ atasema exactly hivi
 
Wakenya wengi hawajui lolote kuhusu Tanzania. Huo ndio ukweli na haubadiliki. Wakenya wengi wanajua tu stereotypes za Watanzania. Kwa mfano Wakenya wanaamini kwamba Watanzania ni

Mambo mabaya
1. Wavivu
2. Wanapenda masengenyo na kugombana. Yaani huwezi kumshinda Mtz kwenye vita ya mdomo
3. Masikini.
4. Hamjasoma vizuri. Masomo yenu ni hafifu na wengi hawajasoma

Mambo mazuri
5. Kiswahili chenu ni bora kushinda chetu.
6. Nyinyi ni wakarimu. Hata mwizi anakuambia "naomba kukuibia" na polisi anasema "naomba kukukamata"
Huku Kenya hatuombi, tunafanya tu maana sisi ni wajeuri
7. Mziki wenu unavutia sana yaani bongo fleva.
Haya ndio mambo ambayo wakenya wanaamini zaidi.

1. Tanzania inawalisha as u speak!
2. Unavyoongea saahii kuna jamii wanachapana mapanga na kuchomana mishale ndani ya kenya
3. Hapa nguchiro anamcheka mwenzie
4. Kusoma is relative thing if kenya has illeteracy of 80% and Tanzania has 77%, i dont see a reason for an idiot from Kenya to laugh at us!
 
Back
Top Bottom