Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ni kumbukumbu tu, Rick ross, Inos B wizkid T.I Davido, 50 cent n.k wote waliwahi kuja tz na sio raia wa tz lakini moja ya mambo waliyo yaona tz yakawaacha midomo wazi kana kwamba kwao hayapo ni Bebez wa tz Jamani tz kuna wadada wazuri yerewiiiiii Ukitaka kuona kazi pita mlimani city siku kuna ki party kama Saa 8,9 usiku unaeza muita israel akubebe tu.

 
Dar hamna chochote,Nai GDP is close to TZ GDP
Bada ya kubanwa vyema
Screenshot_20210114-201413.jpg
 
Tatizo lako ni ufinyu wa uelewa, uchumi wa Tanzania umegawanyika nchi nzima. Kenya serikali imewekeza kila kitu nairobi na kuacha sehemu nyingine za kenya wakiwa. na sababu ya uwekezaji mkubwa nairobi ni kwa matakwa ya mabwana zenu wenye uchumi wa kenya. Mfano mnajisifu kujenga nairobi expressway huku kuna nyangau wenzako hawana hata maji ya kunywa? only in kenya
Nairobi GDP is just a half our GDP so sioni vile Nairobi imechukua uchumi mzima,,btw GDP ya TZ Ni 67,,ningependa kujua DAR imechukua ngapi,,ili tuone venye unasema yenu imegawanika kila corner 😁
 
mabaya ya Kenya
1. kenya ni moja ya nchi zenye majeshi dhaifu kabisa na ambayo hayana uzalendo kabisa, mf. badala ya kulinda mali na uhai wa raia wao wanaiba mpaka maji
2. Wakenya ni watu wa njaa, haiwezi kupita mwaka bila njaa kupiga hodi kenya, njaa ni matokeo ya uvivu uliopitiliza, ni mpumbavu tu asiyelijua hili
3. Kenya ni failed state, ule umoja na udugu wa kitaifa haupo kabisa, mzungu kenya anahusudiwa kama Mungu.
4. Ni nchi ya kenya pekee ambayo wageni/wazungu wanamilikishwa misitu kwa ajili ya makazi huku raia wakiishi kwenye mabanda yenye hadhi ya mabanda ya kuku
5. wakati wa ukombozi wa bara la afrika wakenya daima walikuwa mapuppet wa wazungu na makaburu
6. kenya wana uchumi usioakisi maisha ya kawaida ya wakenya
7. wakenya ni sawa na watumwa ndani ya kenya. kwani njia kuu za kiuchumi zimeshikwa na wachache na wengi wa nyangau wasiojielewa wamebaki kuwa tennants, wafanyakazi kwa ujira mdogo n.k
8. wakenya ni wakabila sana sana hata familia moja inabaguana
9. KENYA NI MFANO HALISI WA TAIFA LENYE UHURU WA BENDERA. KENYA NOT YET UHURU; ALL MAJOR MEANS OF ECONOMY ARE OWNED BY MINORITY AND MOST OF THEM ARE FOREIGNERS!
Eti majeshi dahaifu,,ebu jitafteni kwa hii list uone hayuko league moja🤣
 
ficha upumbavu wako kidogo basi wewe; vita haipiganwi kwenye makaratasi, ubora wa jeshi hupimwa katika medani za kivita.
kdf ilishawahi kupigana na kushinda vita gani tangu mlipopata uhuru? ukipata jibu kakojoe ulale.
kdf - wahuni waliovamia westgate waliwatoa kamasi - kdf wakaishia kuiba maji na pipi- hahahah
wahuni wa alshabab-kuna maeneo kenya hayakaliki mauwaji kila siku-kdf hoi-hahaha
somalia - kila siku kdf wanachinjwa kama kuku na hamna mlichofanikiwa kufanya
 
kdf ilishawahi kupigana na kushinda vita gani tangu mlipopata uhuru? ukipata jibu kakocjoe ulale.
kdf - wahuni waliofamia westgate waliwatoa kamasi - kdf wakaishia kuiba maji na pipi- hahahah
wahuni wa alshabab-kuna maeneo kenya hayakaliki mauwaji kila siku-kdf hoi-hahaha
somalia - kila siku kdf wanachinjwa kama kuku na hamna mlichofanikiwa kufanya
🤣🤣🤣Kwa vita lazima watu wafe,najua huwezi elewa haya kwasababu jeshi lenu kazi ni kulala tu,,KDF kila wakati iko kwa Vita,hiyo yenu kazi gani inafanya na unataka mshindane na sisi🤣🤣
 
Back
Top Bottom