Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,016
- 16,434
Kwani Dar iko na piped water kila mahali?nairobi 90% hawana maji! mabomba ni scrapper! Kiswahili ni lugha ngumu sana hawa jamaa kukuelewa!
Kwani Dar iko na piped water kila mahali?nairobi 90% hawana maji! mabomba ni scrapper! Kiswahili ni lugha ngumu sana hawa jamaa kukuelewa!
Nyinyi tatizo lenu kubwa ni kwamba mnapenda kucopy Kenya sana.Hata miradi ya geothermal inakuja!
Lakini twende na kurudi, kwa hiyo hao wenzetu South Africa, Morocco, Ivory coast, Ethiopia na sisi Tanzania wote sisi wajinga ila nyinyi ndio wajanja kujenga diesel? So siku mtakayotaka kuweka ya umeme changamoto hizo zitakuwa zisha ondoka zenyewe au? Maana ni kama siwaelewi kwa visababu vyenu, au tusaidie tu utuambie sababu japo tatu tu nasisi tujifunze...Mtu akikusikia ukiongea anaweza fikiri Tanzania tayari ina SGR inayofanya kazi. . Come slowly. Sio kwa majivuno hayo.
Na tuna hazina kubwa ya geothermal energy in the ground [emoji116][emoji116]Hata miradi ya geothermal inakuja!
Nyie ni malazy sn, yn hamjui umuhimu wa maji? Ss shule mnaenda kufanya nini? Yani elimu haiwezi kumsaidia mkenya amini kwamba.Tuna dam lakini sio nyingi. Tunastahili kujenga more dams za maji ya matumizi ya nyumbani. Kama kuna mahali tumelegeza kamba na kuzubaa ni hapa kwa kusupply maji ya bomba majumbani. Hii inataka dam nyingi kujengwa na inataka rais mwenye upeo na mawazo hayo.
Kuna mpango pia wa maji ya lake Victoria kufika Dodoma.Hapa kwa kutoa maji Lake Victoria tunastahili kujifunza kutoka kwenu. Sijui ni kwa nini sisi hatujawahi kufikiria kutoa maji Lake Victoria na kuyasambaza Kenya nzima. Mbaya zaidi ni kuwa Lake Turkana is a fresh water lake na bado kuna misimu ambayo watu wanakufa njaa. Serikali inastahili kuweka bomba ya kutoa maji kutoka L. Turkana hadi maeneo yote ya Turkana
Hii file ya geothermal energy in Tz najaribu kui upload hapa inagoma, cjui kwa nnNa tuna hadhina kubwa ya geothermal energy in the ground [emoji116][emoji116]
View attachment 1687259View attachment 1687260View attachment 1687261
Ati sasa nyinyi nyote mnajiita Waswahili? Wacheni mchezo bwana. Hakuna siku Mchagga au Msukuma atakuja kuwa Mswahili. Waswahili original ni yale makabila yanayoishi kwenye ufuo wa bahari la hindi ambayo yalitangamana na waarabu na kupata kuchanganya lugha na damu. Ndio maana watu hao wanaongea kiswahili kizuri bila lahaja nzito za kibantu na pia wana ngozi nyeupe. Mtu kama Geza Ulole kwa kiswahili chake cha ndani utajua tu kwamba yeye anatokea upande wa mashariki mwa Tanzania karibu na bahari la hindi. Yeye ngozi yake itakuwa kama ya muarabu. Lakini watanzania wenye lafudhi nzito ya kibantu wanaoharibu kiswahili wanatokea upande wa magharibi mwa Tanzania, huko mbali na bahari la hindi. Wanatumia r badala la l. Wanasema rara badala la lala. Hawa hawawezi kujiita waswahili maana kiswahili chao ni kibovu ajabu. Hawa watu wa zanzibari, pemba, kilwa na maeneo mengine kando kando mwa bahari la hindi ikiwemo Lamu, Malindi, Kwale na Mombasa ndio waswahili halisi. Hawa wengine wa bara ni wa kujifanya tu. Ni waswahili feki.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] daaah!!!!! huu niujinga wa hali ya juu unajihaibisha chief
ila twende taratibu
neno mswahili linatokana na nini.....?
ha haa unajichanganya [emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787] nimekuuliza swali dogo tu kulingana na kauli yako kuwa waswahili ni tribe...Ati sasa nyinyi nyote mnajiita Waswahili? Wacheni mchezo bwana. Hakuna siku Mchagga au Msukuma atakuja kuwa Mswahili. Waswahili original ni yale makabila yanayoishi kwenye ufuo wa bahari la hindi ambayo yalitangamana na waarabu na kupata kuchanganya lugha na damu. Ndio maana watu hao wanaongea kiswahili kizuri bila lahaja nzito za kibantu na pia wana ngozi nyeupe. Mtu kama Geza Ulole kwa kiswahili chake cha ndani utajua tu kwamba yeye anatokea upande wa mashariki mwa Tanzania karibu na bahari la hindi. Yeye ngozi yake itakuwa kama ya muarabu. Lakini watanzania wenye lafudhi nzito ya kibantu wanaoharibu kiswahili wanatokea upande wa magharibi mwa Tanzania, huko mbali na bahari la hindi. Wanatumia r badala la l. Wanasema rara badala la lala. Hawa hawawezi kujiita waswahili maana kiswahili chao ni kibovu ajabu. Hawa watu wa zanzibari, pemba, kilwa na maeneo mengine kando kando mwa bahari la hindi ikiwemo Lamu, Malindi, Kwale na Mombasa ndio waswahili halisi. Hawa wengine wa bara ni wa kujifanya tu. Ni waswahili feki.
wacha povu asubuhi asubuhi hata mswaki hujapiga shame on u!Wewe mimi nakupuuzilia mbali. Zamani ulikuwa mtu sober na very intelligent, siku hizi umekuwa mjinga sana. Hapa ni kumbi la watu mature wanaofanya debate ya heshima na utu uzima.
Uswahili ni utaifa Tanzania! makabila yanakuja chini ya utaifa Uswahili! Usichanganye tabia ya Uswahili yaani ile conotation ya stereotype na general wider definition ya Uswahili! mimi nina kabila langu lakini utaifa wangu ni lugha na kama Kiswahili ni lugha mama na tamaduni zangu ni za Kiswahili basi mimi ni Mswahili! get the concept! usibishe kifalafala plse! kenya na tanzania tuko tofauti kwenye hilo!Ati sasa nyinyi nyote mnajiita Waswahili? Wacheni mchezo bwana. Hakuna siku Mchagga au Msukuma atakuja kuwa Mswahili. Waswahili original ni yale makabila yanayoishi kwenye ufuo wa bahari la hindi ambayo yalitangamana na waarabu na kupata kuchanganya lugha na damu. Ndio maana watu hao wanaongea kiswahili kizuri bila lahaja nzito za kibantu na pia wana ngozi nyeupe. Mtu kama Geza Ulole kwa kiswahili chake cha ndani utajua tu kwamba yeye anatokea upande wa mashariki mwa Tanzania karibu na bahari la hindi. Yeye ngozi yake itakuwa kama ya muarabu. Lakini watanzania wenye lafudhi nzito ya kibantu wanaoharibu kiswahili wanatokea upande wa magharibi mwa Tanzania, huko mbali na bahari la hindi. Wanatumia r badala la l. Wanasema rara badala la lala. Hawa hawawezi kujiita waswahili maana kiswahili chao ni kibovu ajabu. Hawa watu wa zanzibari, pemba, kilwa na maeneo mengine kando kando mwa bahari la hindi ikiwemo Lamu, Malindi, Kwale na Mombasa ndio waswahili halisi. Hawa wengine wa bara ni wa kujifanya tu. Ni waswahili feki.
Issue ya card imesisima kutokana na ujanja ujanja wa mzabuni wa sasa hivi,nahisi mwaka huu kuna mzabuni mpya atatangazwa kulikua na kampuni kadhaa za kutoka nje ya nchi ambazo nazo ziliomba zabuni ya kuendesha mradi brt,za chini ya kapeti kuna kampuni ya germany na dubai kama sikosei mojawapo ndio inaweza kupewa kaziPhase 3 wampe mu austria strabag aliyejenga phase 1
Ikiwezekana watangaze hata mbili kwa mpigo phase 4 nayo ianze
Waboreshe huduma za phase 1 pia kwa kuongeza magari na kurudisha system ya card
Precisely, well said👏Mwenzako kikihboy ameuliza swali kwa roho safi lakini wewe badala ya kumjibu unaanza kumkejeli. Kitu usichokijua ni kwamba Wakenya wengi sana hawajui lolote kuhusu Tanzania licha ya sisi kuwa majirani. Kwa hivyo hapa sote tumekuja kujifunza jambo kuhusu jirani yetu.
umesahau NairobiWalker ni falamanga mmoja mkubwa sana! lakini hata Tony254 ana ujinga wake juzi nimemu-expose Terminal 1 yao JKIA ina milango ya toka medieval era yyani ya kusukuma kufungua na kuvuta kufunga! akadai hana uhakika nikamwekea video akanyuti!
unaona unavyovurugwa!!!waarabu wamejazana tabora huko wameacha damu zao kibao huko.Ati sasa nyinyi nyote mnajiita Waswahili? Wacheni mchezo bwana. Hakuna siku Mchagga au Msukuma atakuja kuwa Mswahili. Waswahili original ni yale makabila yanayoishi kwenye ufuo wa bahari la hindi ambayo yalitangamana na waarabu na kupata kuchanganya lugha na damu. Ndio maana watu hao wanaongea kiswahili kizuri bila lahaja nzito za kibantu na pia wana ngozi nyeupe. Mtu kama Geza Ulole kwa kiswahili chake cha ndani utajua tu kwamba yeye anatokea upande wa mashariki mwa Tanzania karibu na bahari la hindi. Yeye ngozi yake itakuwa kama ya muarabu. Lakini watanzania wenye lafudhi nzito ya kibantu wanaoharibu kiswahili wanatokea upande wa magharibi mwa Tanzania, huko mbali na bahari la hindi. Wanatumia r badala la l. Wanasema rara badala la lala. Hawa hawawezi kujiita waswahili maana kiswahili chao ni kibovu ajabu. Hawa watu wa zanzibari, pemba, kilwa na maeneo mengine kando kando mwa bahari la hindi ikiwemo Lamu, Malindi, Kwale na Mombasa ndio waswahili halisi. Hawa wengine wa bara ni wa kujifanya tu. Ni waswahili feki.
Inajengwa,ona huyuMbona hamjajenga flyover Turkana!? Uhunye anapendelea sana Nairobi.
Ww utakua na matatizo binafsiMagufuli anapenda Chato sana. Huu ni upendeleo wa kimaendeleo.
wewe nawe unachanganya madesa Hamna kabila la Waswahili Tanzania hao machotara wa Kiarabu ni Wanyamwezi au kabila za Waarab hao, Waarabu wana makabila pia!unaona unavyovurugwa!!!waarabu wamejazana tabora huko wameacha damu zao kibao huko.
kama hoja yako ina mashiko itakataa kufanya kazi tz,ndio maana sisi huku kuna wasukuma weupe,nao ni waswahili.
wenyeji wa mwambao na visiwani,mtwara mpaka tanga tunawatambua kwa makabila yao pia,hawaitwi waswahili.
nilikuwa namweleza huyo ili hoja yake kwamba ni kwa wapwani pekee haina mashiko.wewe nawe unachanganya madesa Hamna kabila la Waswahili hao machotara wa Kiarabu ni Wanyamwezi pia!