Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ati sasa nyinyi nyote mnajiita Waswahili? Wacheni mchezo bwana. Hakuna siku Mchagga au Msukuma atakuja kuwa Mswahili. Waswahili original ni yale makabila yanayoishi kwenye ufuo wa bahari la hindi ambayo yalitangamana na waarabu na kupata kuchanganya lugha na damu. Ndio maana watu hao wanaongea kiswahili kizuri bila lahaja nzito za kibantu na pia wana ngozi nyeupe. Mtu kama Geza Ulole kwa kiswahili chake cha ndani utajua tu kwamba yeye anatokea upande wa mashariki mwa Tanzania karibu na bahari la hindi. Yeye ngozi yake itakuwa kama ya muarabu. Lakini watanzania wenye lafudhi nzito ya kibantu wanaoharibu kiswahili wanatokea upande wa magharibi mwa Tanzania, huko mbali na bahari la hindi. Wanatumia r badala la l. Wanasema rara badala la lala. Hawa hawawezi kujiita waswahili maana kiswahili chao ni kibovu ajabu. Hawa watu wa zanzibari, pemba, kilwa na maeneo mengine kando kando mwa bahari la hindi ikiwemo Lamu, Malindi, Kwale na Mombasa ndio waswahili halisi. Hawa wengine wa bara ni wa kujifanya tu. Ni waswahili feki.
Mbona British wanaitwa English/waingereza wakati humo ndani kuna watu wanazungumza scotish na native language zao?🙂
 
Uswahili ni utaifa Tanzania! makabila yanakuja chini ya utaifa Uswahili! Usichanganye tabia ya Uswahili yaani ile conotation ya stereotype na general wider definition ya Uswahili! mimi nina kabila langu lakini utaifa wangu ni lugha na kama Kiswahili ni lugha mama na tamaduni zangu ni za Kiswahili basi mimi ni Mswahili! get the concept! usibishe kifalafala plse! kenya na tanzania tuko tofauti kwenye hilo!
Safi Sana 🙂
 
Mbona British wanaitwa English/waingereza wakati humo ndani kuna watu wanazungumza scotish na native language zao?🙂
British ni jina la jumla kwa raia wa Great Britain. Englishman ni mtu mweupe wa England. Raia yoyote wa Great Britain ni British ila sio kila raia wa Great Britain ni English.
Mtu kama Mo Farah au John Barnes ni British not English.
 
Uswahili ni utaifa Tanzania! makabila yanakuja chini ya utaifa Uswahili! Usichanganye tabia ya Uswahili yaani ile conotation ya stereotype na general wider definition ya Uswahili! mimi nina kabila langu lakini utaifa wangu ni lugha na kama Kiswahili ni lugha mama na tamaduni zangu ni za Kiswahili basi mimi ni Mswahili! get the concept! usibishe kifalafala plse! kenya na tanzania tuko tofauti kwenye hilo!
hajui kama mswahili/uswahili ni utaifa ambapo ndani yake imebeba tabia ya watanzania.....

wakenya wapo zero sana huyo jamaa nimemshusha sana hajui kitu kabisa yupo empty kichwani
 
nilikuwa namweleza huyo ili hoja yake kwamba ni kwa wapwani pekee haina mashiko.

maana mpaka wanyamwezi huko ni waswahili pia.
kwa kifupi tungemuuliza swali dogo tu ,,,hao watu wa pwani na hao ambao hawapo pwani walifikaje fikaje kwenye hayo maeneo...?
pili kwa jinsi inchi ilivyokubwa alitegemea watu waishi pwani pekee....?..

hajui kuwa enzi za utumwa watu walitolewa kutoka sehemu nyingine kuja pwani kwaajili ya biashara..
 
Ati sasa nyinyi nyote mnajiita Waswahili? Wacheni mchezo bwana. Hakuna siku Mchagga au Msukuma atakuja kuwa Mswahili. Waswahili original ni yale makabila yanayoishi kwenye ufuo wa bahari la hindi ambayo yalitangamana na waarabu na kupata kuchanganya lugha na damu. Ndio maana watu hao wanaongea kiswahili kizuri bila lahaja nzito za kibantu na pia wana ngozi nyeupe. Mtu kama Geza Ulole kwa kiswahili chake cha ndani utajua tu kwamba yeye anatokea upande wa mashariki mwa Tanzania karibu na bahari la hindi. Yeye ngozi yake itakuwa kama ya muarabu. Lakini watanzania wenye lafudhi nzito ya kibantu wanaoharibu kiswahili wanatokea upande wa magharibi mwa Tanzania, huko mbali na bahari la hindi. Wanatumia r badala la l. Wanasema rara badala la lala. Hawa hawawezi kujiita waswahili maana kiswahili chao ni kibovu ajabu. Hawa watu wa zanzibari, pemba, kilwa na maeneo mengine kando kando mwa bahari la hindi ikiwemo Lamu, Malindi, Kwale na Mombasa ndio waswahili halisi. Hawa wengine wa bara ni wa kujifanya tu. Ni waswahili feki.
ha haa unajichanganya [emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787] nimekuuliza swali dogo tu kulingana na kauli yako kuwa waswahili ni tribe...

hebu rejea kwenye hili swali twende taratibu
neno waswahili linatokana na nini....?

pia ,,,hao watu wa pwani na hao ambao hawakuwepo pwani walifikaje fikaje kwenye hayo maeneo...?
pili kwa jinsi inchi ilivyokubwa alitegemea watu waishi pwani pekee....?..

tatu haujui kuwa enzi za utumwa watu walitolewa kutoka pembe tofauti tofauti ya hii nchi kuletwa pwani kwaajili ya biashara ya utumwa......

uwe na akili timamu
 
umesahau NairobiWalker ni falamanga mmoja mkubwa sana! lakini hata Tony254 ana ujinga wake juzi nimemu-expose Terminal 1 yao JKIA ina milango ya toka medieval era yyani ya kusukuma kufungua na kuvuta kufunga! akadai hana uhakika nikamwekea video akanyuti!
Huyo NairobiWalker ni mpuuzi anayemfuatia Teargass ni Wakenya wa kale sn, yn wale Waafrika wa stone age.

Ni wajinga sn.
 
Mwenzako kikihboy ameuliza swali kwa roho safi lakini wewe badala ya kumjibu unaanza kumkejeli. Kitu usichokijua ni kwamba Wakenya wengi sana hawajui lolote kuhusu Tanzania licha ya sisi kuwa majirani. Kwa hivyo hapa sote tumekuja kujifunza jambo kuhusu jirani yetu.
Huo ni uongo mkubwa sana,Neno Tz kwa mkenya yyte au Tanzania lazima aijue ,ni sawa na mimi niseme siifahamu uganda lol acha izo tantalila zako
 
Back
Top Bottom