Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ni barabara za juakali tu, mbona unashangaa,[emoji23]
Jionee kazi ya Mchina ya miezi tatu tu[emoji39][emoji7]
View attachment 1687014View attachment 1687015
Iyo barabara ya Mwenge -morroco ni 4km Mradi wa ksh4.5B =tsh90B wanajenga barabara 6lanes mitaro mikubwa sana yakuchepusha maji...brtlanes stations na traffic lights....Ni road moja bomba sana sema wako slow mno
 
Iyo barabara ya Mwenge -morroco ni 4km Mradi wa ksh4.5B =tsh90B wanajenga barabara 6lanes mitaro mikubwa sana yakuchepusha maji...brtlanes stations na traffic lights....Ni road moja bomba sana sema wako slow mno
Hapo sawa,,or you change the contractor?
 
German kuna wahuni wengi wa kituruki,sitosahau na ushamba ushamba wq europe nyakati hizo waliponipiga canon eos ya matoy kwa euro ndefu tu mbwa wale
sure yaani wahuni wapo kila kona ya dunia ukienda kichwa kichwa wakishakujua we ni mgeni tu wanakupiga,,,[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mzizima towers. Hilo refu Lina floor 35 halafu lenzake Lina floor 33
Naona bado linajengwa. Bado halijakamilika. Litabadilisha maandhari ya eneo hilo litakapokamilika. Halafu mbona huwa hampost picha ya hilo jengo humu?
 
Wabongo wekeni picha ya mzizima towers. Mbona sizijui? Wekeni render na picha halisi ya ujenzi pia
 
Screenshot_20210127-033358~2.png
Screenshot_20210127-033256~2.png
Screenshot_20210127-033315~2.png

Tony254 mchongo ndio huu
 
Back
Top Bottom