kikihboy
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 2,812
- 3,168
Eti kwa ground 😱🤣🤣🤣Uswazi uko poa tu,ukishuka kwa ground unakutana na house kali huwezi kupata mathare,kakamega au kariobange...hizo juu ni rust tu wala zisikutie wenge
Eti kwa ground 😱🤣🤣🤣Uswazi uko poa tu,ukishuka kwa ground unakutana na house kali huwezi kupata mathare,kakamega au kariobange...hizo juu ni rust tu wala zisikutie wenge
ndio maana kupitia huu uzi kila kitu kimekuwa maajabuWakenya wengi hawajui lolote kuhusu Tanzania. Huo ndio ukweli na haubadiliki. Wakenya wengi wanajua tu stereotypes za Watanzania. Kwa mfano Wakenya wanaamini kwamba Watanzania ni
Mambo mabaya
1. Wavivu
2. Wanapenda masengenyo na kugombana. Yaani huwezi kumshinda Mtz kwenye vita ya mdomo
3. Masikini.
4. Hamjasoma vizuri. Masomo yenu ni hafifu na wengi hawajasoma
Mambo mazuri
5. Kiswahili chenu ni bora kushinda chetu.
6. Nyinyi ni wakarimu. Hata mwizi anakuambia "naomba kukuibia" na polisi anasema "naomba kukukamata"
Huku Kenya hatuombi, tunafanya tu maana sisi ni wajeuri
7. Mziki wenu unavutia sana yaani bongo fleva.
Haya ndio mambo ambayo wakenya wanaamini zaidi.

.Huku tunaamini kwambaWakenya wengi hawajui lolote kuhusu Tanzania. Huo ndio ukweli na haubadiliki. Wakenya wengi wanajua tu stereotypes za Watanzania. Kwa mfano Wakenya wanaamini kwamba Watanzania ni
Mambo mabaya
1. Wavivu
2. Wanapenda masengenyo na kugombana. Yaani huwezi kumshinda Mtz kwenye vita ya mdomo
3. Masikini.
4. Hamjasoma vizuri. Masomo yenu ni hafifu na wengi hawajasoma
Mambo mazuri
5. Kiswahili chenu ni bora kushinda chetu.
6. Nyinyi ni wakarimu. Hata mwizi anakuambia "naomba kukuibia" na polisi anasema "naomba kukukamata"
Huku Kenya hatuombi, tunafanya tu maana sisi ni wajeuri
7. Mziki wenu unavutia sana yaani bongo fleva.
Haya ndio mambo ambayo wakenya wanaamini zaidi.
Mnajengewa na mfadhiri gani hii? Maana serikali yenu haiwezi kujenga hata barabara ya mtaani kwa pesa yake.
Jangwani is no more my friend,demolished since 2015..make google your friend about jangwani demolition...
Kwa hivyo hata watu wa kabila la Wahadza ambao ni hunter gatherers na hawajichanganyi sana na Watanzania wengine na hawakifahamu Kiswahili vizuri pia hao ni Waswahili? Kama uswahili ni utaifa basi Wahadza pia ni waswahili japo hawawezi kuongea lugha ya kiswahili vizuri. Hata wengi wao hawawezi kukiongea kabisa. Huoni hapo kuna contradiction. Huwezi kuwa mswahili kama huwezi kuongea lugha ya kiswahili.Uswahili ni utaifa Tanzania! makabila yanakuja chini ya utaifa Uswahili! Usichanganye tabia ya Uswahili yaani ile conotation ya stereotype na general wider definition ya Uswahili! mimi nina kabila langu lakini utaifa wangu ni lugha na kama Kiswahili ni lugha mama na tamaduni zangu ni za Kiswahili basi mimi ni Mswahili! get the concept! usibishe kifalafala plse! kenya na tanzania tuko tofauti kwenye hilo!
Unaelewa kitu ulichokiandika hapo juu...😋👆👆Wakenya wengi hawajui lolote kuhusu Tanzania. Huo ndio ukweli na haubadiliki. Wakenya wengi wanajua tu stereotypes za Watanzania. Kwa mfano Wakenya wanaamini kwamba Watanzania ni
Mambo mabaya
1. Wavivu
2. Wanapenda masengenyo na kugombana. Yaani huwezi kumshinda Mtz kwenye vita ya mdomo
3. Masikini.
4. Hamjasoma vizuri. Masomo yenu ni hafifu na wengi hawajasoma
Mambo mazuri
5. Kiswahili chenu ni bora kushinda chetu.
6. Nyinyi ni wakarimu. Hata mwizi anakuambia "naomba kukuibia" na polisi anasema "naomba kukukamata"
Huku Kenya hatuombi, tunafanya tu maana sisi ni wajeuri
7. Mziki wenu unavutia sana yaani bongo fleva.
Haya ndio mambo ambayo wakenya wanaamini zaidi.
rudia definition yangu ya Uswahili! 99% ya Watanzania wanaongea Kiswahili na ni Waswahili!Kwa hivyo hata watu wa kabila la Wahadza ambao ni hunter gatherers na hawajichanganyi sana na Watanzania wengine na hawakifahamu Kiswahili vizuri pia hao ni Waswahili? Kama uswahili ni utaifa basi Wahadza pia ni waswahili japo hawawezi kuongea lugha ya kiswahili vizuri. Hata wengi wao hawawezi kukiongea kabisa. Huona hapo kuna contradiction. Huwezi kuwa mswahili kama huwezi kuongea lugha ya kiswahili.
View attachment 1687454View attachment 1687455View attachment 1687456View attachment 1687457View attachment 1687459
![]()
Hadza
The Hadza are a hunter-gatherer people who live in northern Tanzania.www.nationalgeographic.org
Sasa unajua ninyi ni wajinga sn, mtz gn anayejua kuhusu Kenya? Mmoja wapo mm ckuwa najua chochote kuhusu Kenya kabla ya kuja humu na siyo mm tu ni Watz wengi hawajui chochote kuhusu Kenya na wengi wala hawana taarifa km kuna battle kati ya Tz na Kenya.Exactly,,hapo umeongea ukweli,,ukisimamisha yeyote hapa Kenya umulize about TZ atasema exactly hivi
Hata hyo rate ni kwasababu wao wapo wachache kuliko sisi.1. Tanzania inawalisha as u speak!
2. Unavyoongea saahii kuna jamii wanachapana mapanga na kuchomana mishale ndani ya kenya
3. Hapa nguchiro anamcheka mwenzie
4. Kusoma is relative thing if kenya has illeteracy of 80% and Tanzania has 77%, i dont see a reason for an idiot from Kenya to laugh at us!
Huo mto ulishasafishwa kwa ss, nitakuletea picha mupya, uko wapi ww mzee, Tz hakuna plastic waste

Nimemwambia mm, nashukuru umeweka vzr zaidiHuku tunaamini kwamba
1)Kenya hakuna usalama, watu wake ni katili Sana.
2)Kenya ni njaa sana, maisha ni mabaya Sana
3)Wakenya wana roho mbaya sana
4)Wakenya wengi ni masikini sana
5)Wanawake wa Kenya wana sura mbaya na ni katili Sana
6)Wakenya wote ni wezi
Mazuri
1)Wakenya wanajua kukimbia mbio ndefu
2)Wasichana wa Kenya wanawapenda Sana watanzania
3)Wakenya wanapenda Kiswahili cha TZ
4)Wakenya wengi wanapenda kuishi TZ
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app

Naongea kuhusu stereotypes. Stereotype sio lazima iwe ukweli. Inaweza kuwa uongo. Yaani mambo tu ambayo watu wanaamini kuhusu wengine. Punguza hasiraKwamba Wakenya waseme Watz ni maskini, kumbe kweli wewe akili zako haziko sawa ndo naamini leo.
Kwnn nyie mna maneno ya kibaguzi namna hii? Ss unasema hawajichanganyi na Watz kwahiyo wao ni kina nani? Kwann nyie wakenya mnakuwa na hii tabia mby ya kubaguana? Nani aliwaroga mkawa na tabia mby ya chooni hii?Kwa hivyo hata watu wa kabila la Wahadza ambao ni hunter gatherers na hawajichanganyi sana na Watanzania wengine na hawakifahamu Kiswahili vizuri pia hao ni Waswahili? Kama uswahili ni utaifa basi Wahadza pia ni waswahili japo hawawezi kuongea lugha ya kiswahili vizuri. Hata wengi wao hawawezi kukiongea kabisa. Huona hapo kuna contradiction. Huwezi kuwa mswahili kama huwezi kuongea lugha ya kiswahili.
View attachment 1687454View attachment 1687455View attachment 1687456View attachment 1687457View attachment 1687459
![]()
Hadza
The Hadza are a hunter-gatherer people who live in northern Tanzania.www.nationalgeographic.org
Mkuu, nyie mtakuwa mnaogopa ule mkataba wa matumizi ya mto Nile. Sisi pia kwa miaka mingi tulikuwa na huo upuuzi na hivyo hii miradi ya kutoa maji ziwa Victoria ikawa inawekwa pending. Sidhani kama serikali yenu inao ujasiri wa kuwatazama usoni Wamisri na Waingereza na kufanya miradi kama hii.Hapa kwa kutoa maji Lake Victoria tunastahili kujifunza kutoka kwenu. Sijui ni kwa nini sisi hatujawahi kufikiria kutoa maji Lake Victoria na kuyasambaza Kenya nzima. Mbaya zaidi ni kuwa Lake Turkana is a fresh water lake na bado kuna misimu ambayo watu wanakufa njaa. Serikali inastahili kuweka bomba ya kutoa maji kutoka L. Turkana hadi maeneo yote ya Turkana
Hahaha. Hayo mazuri yako yameegemea TZ sana.Huku tunaamini kwamba
1)Kenya hakuna usalama, watu wake ni katili Sana.
2)Kenya ni njaa sana, maisha ni mabaya Sana
3)Wakenya wana roho mbaya sana
4)Wakenya wengi ni masikini sana
5)Wanawake wa Kenya wana sura mbaya na ni katili Sana
6)Wakenya wote ni wezi
Mazuri
1)Wakenya wanajua kukimbia mbio ndefu
2)Wasichana wa Kenya wanawapenda Sana watanzania
3)Wakenya wanapenda Kiswahili cha TZ
4)Wakenya wengi wanapenda kuishi TZ
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Nilijua tu kwako utaona mabaya ya Kenya na hutaona mazuri yoyote.1. Tanzania inawalisha as u speak!
2. Unavyoongea saahii kuna jamii wanachapana mapanga na kuchomana mishale ndani ya kenya
3. Hapa nguchiro anamcheka mwenzie
4. Kusoma is relative thing if kenya has illeteracy of 80% and Tanzania has 77%, i dont see a reason for an idiot from Kenya to laugh at us!
Nilimsikia waziri siku moja akisema mradi wa msimbazi/jangwani uko kwenye detailed design na akatoa baadhi ya specifications.Hata mimi na hamu na hyo maana inaenda all the way to airport na hadi azikiwe streeet posta mpya
Pia BRT ya Tegeta Phase 4 Hii inakuja Bagamoyo road all way to Posta
In short phase zote 6 ni muhimu i wish wangetoa tender zote sita kwa mara mojauishe .Tuanze ku focus kwenye Planned Light Rail Mass Transit
Kuna ile project ya ku develop Jangwani Msimbazi River Basin iwe ya aina yake cost intially was around 100mil usd sijajua imefikia wapi
97% ya Wakenya wanaongwea Kiswahili na ni waswahili.rudia definition yangu ya Uswahili! 99% ya Watanzania wanaongea Kiswahili na ni Waswahili!