ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,216
- 163,902
Mm nilifkiri mawazo yake ataenda msaidia rostich kupambana na madeni ambayo hayatalipika mpaka yesu ashuke 🤣🤣🤣nchi inasubiri investment ya $30 bln in LNG ukiacha another +$20 bln in in stategic minerals ukiacha $3.5 bln EACOP halafu unaiambia isiwe na airline yake! Kweli?
Tony254 wacha ufala jaribu ku-concentrate na madani yenu ambayo hayalipiki!