tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,973
- 20,222
Let me ask you bro,why did you chose disel locomotives over electric trains?What happened?Hajui anachokisema
Let me ask you bro,why did you chose disel locomotives over electric trains?What happened?Hajui anachokisema
Kipeto wind farm. Image credit: Kipeto Energy PlcFirst afadhali umeconculed kuwa Kenya hamna Reliable Electricity.Sababu iliyotolewa kutoelectrify ni kwamba electricity sio reliable maana SGR inataka dedicated powerline ambayo umeme wake hautapotea hata ikiwa ya national grid itapotea. Sababu haikuwa kwamba we don't have enough electricity.




.Let me ask you bro,why did you chose disel locomotives over electric trains?What happened?




What do you expect kwa nchi iliyozoea kupika data!Kwenye Logic kuna somo la kusets either statement in Falacy au Tautology.
Kutokana na mijadala yetu humu ndani basi Statement nyingi kama 95% kama sio 98% ni Falacies.
Humu ndani huwa tukiwauliza wakenya why SGR yao siyo ya umeme wanasema umeme hautoshi.
Leo kuna mmoja amesema wana umeme 2900MW.
Yaani Umeme Wote huo unashindwa kuendesha Locomotive Train ambayo ni 25kV at 50Hz kweli?...
My Conclusion Kwa Wakenya
1. Serikali yenu imewadanganya kuhusu electrification ya SGR
2. Umeme mlionao ni mdogo sana.
3. Serikali yenu ni ya kisela na mmeiacha ifanye usela na uhuni
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila watu100MW Kipeto wind farm connects to Kenya’s power grid
Jan 25, 2021
Kipeto wind farm. Image credit: Kipeto Energy Plc
Kipeto Energy Plc (KEP), today announced it has connected Kipeto wind farm to the national grid and will start generating power in the next week.
KEP has connected a 17km (220KV) high voltage transmission line, linking the facility to the national grid at the Isinya Substation, and signaling the start of the go-live process.
The project’s 60 GE 1.7-103 wind turbines, each capable of producing 1.7MW, will be switched on in stages as part of a gradual ramp-up process, with all commercial tests due to be concluded within the next few months.
Have you read?
Lake Turkana Wind Power to take full advantage of digitisation
Located in Kajiado county, Kipeto is Kenya’s second-largest wind power project. It has a 20-year Power Purchase Agreement with KPLC, and once it is at full capacity, Kipeto will generate 100MW of clean wind energy for the Kenyan people, providing power to the equivalent of approximately 250,000 households. This will be a significant contribution to Kenya’s Vision 2030 and Big Four Agenda.
Dr Kenneth Namunje, chairman and director of Kipeto Energy Plc commented: “First and foremost I would like to thank the local community for their ongoing support of this project, which has been paramount from day one. Now, with the assistance of KPLC and Ketraco, we’re delighted that this final connection and energisation sees the transmission line and associated equipment being handed over this week to KPLC for future care and operation.”
Sign up for the ESI Africa newsletter
Robert Skjodt, CEO of BioTherm Energy also commented: “We are proud to have completed the construction of the Kipeto wind project to the highest standards with strong support from our engineering and construction partners from Worley, China Machinery and Engineering Company and GE, as well as the local community to maintain strict safety protocols throughout construction. We are excited to be contributing to Kenya’s Vision 2030 goals and Big Four Agenda and demonstrating that solar and wind are cheaper sources of electricity than traditional fossil fuel-based power plants with a significant positive impact in the local communities.”
Kipeto wind farm
The Kipeto project reached financial close in December of 2018, marking the beginning of its two-year construction phase. The project is funded by equity from Actis-backed BioTherm Energy (88%) and Kenyan company Craftskills Ltd (12%) alongside senior debt from the US International Development Finance Corporation (DFC), the US Government’s development finance institution.
KEP leased and secured more than 60 plots within the project area for the wind turbine footprint and the transmission line through voluntary participation of land owners, and has undertaken a number of local initiatives including:
Have you read?
- constructing new housing for local families outside the project’s 500m buffer zone;
- supporting schools with PPE and sanitisation equipment as protection against the pandemic;
- drilling community water borings;
- and establishing a youth vocational skills training programme to increase employment from within the local community.
Brazilian utility implements AI for wind farm management
More than 800 jobs were created during the construction phase of the project and an additional 60 permanent jobs are anticipated during the operational phase. Around 200 families are expected to benefit directly from the turbine revenue located on their land, with the company establishing a Community Trust to oversee further distribution of profits to the wider local area.
To ensure international environmental standards were followed, KEP worked with specialist consultants during both the planning and development stages of the project to undertake a series of environmental assessments and impact studies. With support from USAID Power Africa, Kipeto developed and initiated a Biodiversity Action Plan, which is designed around the international best practice outlined in the IFC Environmental and Social Performance standards.
Kenya is a failed state, nothing goes as planned, punguza endless excuses.Wewe hata sidhani kama unaelewa malipo yenyewe ni ya nini. GoK ilisign contract kwamba ikichelewa kujenga powerlines itakayoevacuate power from LTWP to the national grid basi GoK itatozwa faini. Sasa kampuni ya Uhispania iliyoshinda zabuni ya kujenga hio powerline ikawa bankrupt na project ya ujenzi wa nyaya za stima ukasimama. Hii delay ilifanya LTWP iitoze GoK faini. Sasa hii pesa haihusu unit cost of power, hii pesa ni kwa sababu ya delay ya ujenzi wa powerline.
Yaani kuna jamaa mmoja alisemaga hawana umeme wa kutosha ndio maana wanatumia diesel, leo wanasema wanaumeme mwingi sana...What do you expect kwa nchi iliyozea kupika data!
Kuna huyu mwingine alikuwa anataka kutudanganya kweupeBytheway SGR ya kenya pia inaanza kua electrified if you dint know meaning hata kabla mtumie your train hata mara moja hata yetu itakua electrified. So ujinga ya woo yetu ya stima woo hiyo itaisha soon
View attachment 1682516

Yaani kuna jamaa mmoja alisemaga hawana umeme wa kutosha ndio maana wanatumia diesel, leo wanasema wanaumeme mwingi sana...
Sasa my question yaani unakuwaje na umeme wote huo unashindwa kuwasha 25Kv yaani hata viwanda vinakuwa na umeme kwa wastani wa 98% muda wote na vinatumia kuanzia 14kV vingine na zaidi...
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna huyu mwingine alikuwa anataka kutudanganya kweupe![]()





Kumbe nabishana na vilaza . Jinga kabisaWe mpuuzi tu yani unaleta mifano ambayo huielewi...
Kwhyo wajerumani nao tuwaite geraman people kisa wanaongea kijerumani![]()
Waishukuru jamii forums, imewaamsha sn jinsi serikali yao ilivyo na usenge mwingi.
Wanasahau Haraka sana....
Yaani kwa speed hii 2025 hawafiki wanakuja kuomba msaada TZ haiwezekani mtu anatumia hela ovyo alafu anawadanganya bado wanakubali...
Kuna mmoja anasema wana 2900MW lakini cha ajabu bado anasema sio reliable wakati matumizi yao nchi nzima hayafiki 1500MW.
Viwanda hawana vya kusema vinatumia umeme wote huo... Inawezekana wao kila 1MW wanazidisha mara 2.
Hiyo ya 100MW ukute ni 50MW
Sent using Jamii Forums mobile app






😂😂Sema watu kuumia huku,,hung yourself ikikuuma sana
Wanasahau Haraka sana....
Yaani kwa speed hii 2025 hawafiki wanakuja kuomba msaada TZ haiwezekani mtu anatumia hela ovyo alafu anawadanganya bado wanakubali...
Kuna mmoja anasema wana 2900MW lakini cha ajabu bado anasema sio reliable wakati matumizi yao nchi nzima hayafiki 1500MW.
Viwanda hawana vya kusema vinatumia umeme wote huo... Inawezekana wao kila 1MW wanazidisha mara 2.
Hiyo ya 100MW ukute ni 50MW
Sent using Jamii Forums mobile app
Eti mmeachana na Electric train kabisa au??Sema watu kuumia huku,,hung yourself ikikuuma sana
Nakwambia, yani watu wananyezwa balaaSema watu kuumia huku,,hung yourself ikikuuma sana


Waishukuru jamii forums, imewaamsha sn jinsi serikali yao ilivyo na usenge mwingi.
Wakuu hawa wasenge nasema watatuelewa baada ya kuwapita kwenye GDP ushuzi.
Kwa ss hawatatuelewa mana wanapumbazwa na uongo wa GDP, kuweni na subira cz no way wanaweza kufanya ktk hayo makaratasi mana tutawapita kwa mbali sn hata kuongopa haitosaidia, na watakapokuja kustuka watakuwa washachelewa![]()
. Mapema tu