Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huuuh,hii expressway si Ni tamu😋😋
Screenshot_20210126-191048~2.png
 
Yaani leo ndio nimeeamin huwa wanafoji data...

Yaani wanasema wana umeme mwingi ila bado wanasema umeme wao sio reliable

Tony254 huyu jamaa atakuwa ndugu na Uhuru na yeye anashiriki kuwaibia Raia wa Kenya...

Sisi 2025 haifiki hawa jamaa tumepiga gape kubwa hatari

Sent using Jamii Forums mobile app
ndiyo inabidi uwajue sasa kuanzia leo,,,,hao ni kawaida yao mbona tokea enzi za miaka ya 60 mkenya ni cheater tu[emoji23][emoji23]
 
Kwa nini wahindi wa huko ni tofauti na wa Kenya? Kenya ni nadra ndoa kama hio kufanyika. Huku kuna msichana mmoja wa kihindi aliolewa na mvulana wa kiafrika ikawa ni breaking news. Familia ya huyo msichana ilimtelekeza na ndoa hio ikavunjika baada ya mwezi mmoja. Yaani ilikuwa ni story kubwa ilikuwa inakuja kwa habari ya saa moja na saa tatu usiku.
Niliiona kwa Internet hiyo.
 
kabisa, i wish kuna waziri husika au mkubwa yyte angeweza kuliona hili coz bdo wanacomplain kuwa hawana right ya ku own land na kuwa citizens wa tanzania, naelewa why serikali imefanya hvyo (kuzuia foreigners wenye bad intentions kujilimbikia ardhi yetu yte) but mybe wangetafuta njia ya kuwapa unafuu hawa watu ambao wako tayari kuhamia mazima ili wawe free kuinvest na kujijengea makazi yao ya kudumu hapa kwetu.
Nafikiri wao wajiorganize then wawasiliane na serikali, kuna wengine wana mshiko mrefu ni faida kwa nchi.
Mfano UDSM wanaweza anzisha course ya kiswahili nk
 
wahuni wapo kila nchi,niliwahi kwenda german ila kwa masuala ya kikanisa kipindi hicho nilikuwa muimba gospal ,mwanakwaya tukapata invitation ,,,,,
tulienda kichwa kichwa dereva tax alitupiga ,,mwisho wa siku wakati wa kurudi kuelekea airport uzuri wake tulipanda tax hiyo hiyo na jamaa nilimkariri sura nikashangaa pesa inatolewa ndogo hapo ndipo nikagundua kuwa alitupiga ikabidi nianze kumchokonoa dereva jamaa aliniruka....


hivyo ukigundulika kuwa wewe ni mgeni taifa lolote lile wanakupiga otherwise uingie supermarket ambayo price inakuwa tiyari ishaandikwa
German kuna wahuni wengi wa kituruki,sitosahau na ushamba ushamba wq europe nyakati hizo waliponipiga canon eos ya matoy kwa euro ndefu tu mbwa wale
 
Back
Top Bottom