Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hivi kwa nini mnakuwaga waongo na wajinga...

Yaani mkifika 3000MW Tanzania itakuwa na 10K MW

Yaani mnazalisha 100MW za upepo na mnajisifu..

wakati sisi ukitoa the mighty JNHPP tuna miradi zaidi ya 3 ambayo jumla ni 400MW...

Sasa inakuwaje mnashindwa kuendesha SGR kwa umeme ambao ni less than 100MW Kama mnazaidi ya 2000MW

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeanfika kwa mihemko sana walai
 
Kwa Jibu lako nimeamini mambo yenu mengi ni ya kwenye Paper ila uhalisia ni 0

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani kwa akili yako ya CCM unaamini kwamba serikali ya Kenya inaweza kudanganya kuhusu amount of power being generated? Mbona hii ni jambo rahisi kuverify? Kila power plant inajulikana inaproduce megawatts ngapi ya umeme. Kwa hivyo kufanya plus na minus ndio inakushinda?
 
Haina hata shida,mimi mwenyewe na cousin wangu mama yake ni mhindi pure mtafute youtube ni mwanamuziki wa hip hop kitambo tu anaitwa rado,mfano mfuatilie mdosi maarufu huko instagram anaitwa shyrose bhanji,watoto wadogo tu wanamdandia
Mr too aka Sugu alikua anatia, alimnyang'anya yule Hiphop Fala, Jaffarey.
 
Kwenye Logic kuna somo la kusets either statement in Falacy au Tautology.

Kutokana na mijadala yetu humu ndani basi Statement nyingi kama 95% kama sio 98% ni Falacies.

Humu ndani huwa tukiwauliza wakenya why SGR yao siyo ya umeme wanasema umeme hautoshi.

Leo kuna mmoja amesema wana umeme 2900MW.

Yaani Umeme Wote huo unashindwa kuendesha Locomotive Train ambayo ni 25kV at 50Hz kweli?...

My Conclusion Kwa Wakenya
1. Serikali yenu imewadanganya kuhusu electrification ya SGR
2. Umeme mlionao ni mdogo sana.
3. Serikali yenu ni ya kisela na mmeiacha ifanye usela na uhuni

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]huyo huyo aliyekuambia kuwa SGR yao haina haja ya kutumia umeme baadaye atakuja nakusema tuna electrify sgr yetu....
wakenya siku zote ni hopeless huwa wanaishi maisha yakujidanganya for nothing ukija chini ya uwanja uhalisia wote unauona
 
Umeanfika kwa mihemko sana walai
Kenya has 3000MW but yet can't electrify an SGR Locomotive train that consume only 25KV. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Remember, your Railway line costed more than Electified Tanzanian SGR.

You guys must have problem in brain, not rational at all.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye Logic kuna somo la kusets either statement in Falacy au Tautology.

Kutokana na mijadala yetu humu ndani basi Statement nyingi kama 95% kama sio 98% ni Falacies.

Humu ndani huwa tukiwauliza wakenya why SGR yao siyo ya umeme wanasema umeme hautoshi.

Leo kuna mmoja amesema wana umeme 2900MW.

Yaani Umeme Wote huo unashindwa kuendesha Locomotive Train ambayo ni 25kV at 50Hz kweli?...

My Conclusion Kwa Wakenya
1. Serikali yenu imewadanganya kuhusu electrification ya SGR
2. Umeme mlionao ni mdogo sana.
3. Serikali yenu ni ya kisela na mmeiacha ifanye usela na uhuni

Sent using Jamii Forums mobile app
Wivu wako usituletee huku. Huwezi kuongea kuhusu sijui tautology na fallacies na wewe mwenyewe ndio unaengage ni the biggest falacy of all. Jumping to conclusion without evidence. Kuna principle moja ya law inayosema "He who alleges must prove." Yaani yeyote anayetoa madai basi ni jukumu lake kudhibitisha madai hayo. Unaposema kwamba serikali ya Kenya inadanganya na kwamba sisi hatuzalishi umeme huo basi unazungumza ukitumia evidence gani? Au unazungumza bila evidence kama wazimu?
 
Kenya has 3000MW but yet can't electrify an SGR Locomotive train that consume only 25KV. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Remember, your Railway line costed more than Electified Tanzanian SGR.

You guys must have problem in brain, not rational at all.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sababu iliyotolewa kutoelectrify ni kwamba electricity sio reliable maana SGR inataka dedicated powerline ambayo umeme wake hautapotea hata ikiwa ya national grid itapotea. Sababu haikuwa kwamba we don't have enough electricity.
 
We jamaa kumbe kichwani mweupe sana
Kwa nini mlibadili plan ye kujenga Electric Lines Kwenye SGR Yenu?

1. Hamkuwa na Hela ( But your project cost is twice na Yetu ambayo ni Electrified). [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

2. Hamna umeme wa Uhakika ( Mmesema mna 2900MW as for now)

Just to remind you..

1MW === (1KV)*1000

Electric Locomotive Trains ni either DC or AC

Operating Voltage ni 15Kv, 25Kv, ... at 50Hz (Depending na Electric Motors)...

Inaingiaje Akilini kabisa mnajenga less effecient Diesel SGR...

Yaani nyie msije mkashangaa mnalipia the same amount ya Kujenga Reli kwenye electrification...

Utazani mnahuajumiwa kumbe mnaamua wenyewe

Mtu akikusikia ukiongea anaweza fikiri Tanzania tayari ina SGR inayofanya kazi. . Come slowly. Sio kwa majivuno hayo.
 
Kwa nini mlibadili plan ye kujenga Electric Lines Kwenye SGR Yenu?

1. Hamkuwa na Hela ( But your project cost is twice na Yetu ambayo ni Electrified). [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

2. Hamna umeme wa Uhakika ( Mmesema mna 2900MW as for now)

Just to remind you..

1MW === (1KV)*1000

Electric Locomotive Trains ni either DC or AC

Operating Voltage ni 15Kv, 25Kv, ... at 50Hz (Depending na Electric Motors)...

Inaingiaje Akilini kabisa mnajenga less effecient Diesel SGR...

Yaani nyie msije mkashangaa mnalipia the same amount ya Kujenga Reli kwenye electrification...

Utazani mnahuajumiwa kumbe mnaamua wenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio bado nakwambia huna unachokijua[emoji23][emoji23]
Pambaneni na mturuki kwanza amalize kile kipande chenu
 
Kenya has 3000MW but yet can't electrify an SGR Locomotive train that consume only 25KV. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Remember, your Railway line costed more than Electified Tanzanian SGR.

You guys must have problem in brain, not rational at all.

Sent using Jamii Forums mobile app
Asiyejua maana haambiwi maana, we endelea kunengua tu
 
Kwa nini mlibadili plan ye kujenga Electric Lines Kwenye SGR Yenu?

1. Hamkuwa na Hela ( But your project cost is twice na Yetu ambayo ni Electrified). [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

2. Hamna umeme wa Uhakika ( Mmesema mna 2900MW as for now)

Just to remind you..

1MW === (1KV)*1000

Electric Locomotive Trains ni either DC or AC

Operating Voltage ni 15Kv, 25Kv, ... at 50Hz (Depending na Electric Motors)...

Inaingiaje Akilini kabisa mnajenga less effecient Diesel SGR...

Yaani nyie msije mkashangaa mnalipia the same amount ya Kujenga Reli kwenye electrification...

Utazani mnahuajumiwa kumbe mnaamua wenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
You have the point,walipigwa
 
Ndio bado nakwambia huna unachokijua[emoji23][emoji23]
Pambaneni na mturuki kwanza amalize kile kipande chenu
Hata kilomita mia mbili wameshindwa kujenga halafu wanakuja huku kutupatia lecture. Hahaha. The guts of the people.
 
Back
Top Bottom