Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Can u break down that 3000 MW for us?

This is a kind of project Kenya power does! comes with lawsuits!
Wewe hata sidhani kama unaelewa malipo yenyewe ni ya nini. GoK ilisign contract kwamba ikichelewa kujenga powerlines itakayoevacuate power from LTWP to the national grid basi GoK itatozwa faini. Sasa kampuni ya Uhispania iliyoshinda zabuni ya kujenga hio powerline ikawa bankrupt na project ya ujenzi wa nyaya za stima ukasimama. Hii delay ilifanya LTWP iitoze GoK faini. Sasa hii pesa haihusu unit cost of power, hii pesa ni kwa sababu ya delay ya ujenzi wa powerline.
 
Kenya imeongeza 100 MW to the national grid from a new wind farm (Kipeto Wind farm). Total power generated imefikia 3,000 MW wakati majirani zetu bado wanaproduce less than 2,000 MW of power.

Hivi kwa nini mnakuwaga waongo na wajinga...

Yaani mkifika 3000MW Tanzania itakuwa na 10K MW

Yaani mnazalisha 100MW za upepo na mnajisifu..

wakati sisi ukitoa the mighty JNHPP tuna miradi zaidi ya 3 ambayo jumla ni 400MW...

Sasa inakuwaje mnashindwa kuendesha SGR kwa umeme ambao ni less than 100MW Kama mnazaidi ya 2000MW

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata kabla ya hii 100 MW tayari tulikuwa tunazalisha 2,900 MW of power. Punguza wivu.
 
Hivi kwa nini mnakuwaga waongo na wajinga...

Yaani mkifika 3000MW Tanzania itakuwa na 10K MW

Yaani mnazalisha 100MW za upepo na mnajisifu..

wakati sisi ukitoa the mighty JNHPP tuna miradi zaidi ya 3 ambayo jumla ni 400MW...

Sasa inakuwaje mnashindwa kuendesha SGR kwa umeme ambao ni less than 100MW Kama mnazaidi ya 2000MW

Sent using Jamii Forums mobile app
jumla 400MW au 4000MW?
 
jumla 400MW au 4000MW?
Lengo la 2025 ni zaid ya 5000

Ila hiyo miradi nimezungumzi
Ruhiji, Rusumo (90%) ambayo ni zaidi ya 80MW...
Kuna malaragarasi hii yote ukijumlisha ni roughly zaidi ya megawatts 400...

Sasa hawajamaa hizo power stations zao sijui hata kama ni Pyhsical... Yaani wana umeme 2900MW lakini wameshindwa kuutumia kwenye SGR, Daah nimecheka sana..

Sio lazima tutumie umeme wetu kwenye SGR.
 
Kwenye Logic kuna somo la kusets either statement in Falacy au Tautology.

Kutokana na mijadala yetu humu ndani basi Statement nyingi kama 95% kama sio 98% ni Falacies.

Humu ndani huwa tukiwauliza wakenya why SGR yao siyo ya umeme wanasema umeme hautoshi.

Leo kuna mmoja amesema wana umeme 2900MW.

Yaani Umeme Wote huo unashindwa kuendesha Locomotive Train ambayo ni 25kV at 50Hz kweli?...

My Conclusion Kwa Wakenya
1. Serikali yenu imewadanganya kuhusu electrification ya SGR
2. Umeme mlionao ni mdogo sana.
3. Serikali yenu ni ya kisela na mmeiacha ifanye usela na uhuni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
You can't just Kurupuka with Dubai Route with well established airlines including Fly Emirates and Fly Dubai, when you don't have that necessary infrastructure including the Aircrafts
You'll need to establish a customer base first, a reason ATCL strategically started with regional flights,
Hapo ndio Watz hutofautiana na Kenya, atleast UG makes some analysis prior to execution of their plans.
Uganda nao bwana kajino kamoja miswaki kibao
 
Back
Top Bottom