Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bro you dont know about open source hardware [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] you think open source is just to softwares nkt we rudi village an example of such a controller is aduino Google aduino you will understand na uwache kujiaibisha kwa umati
Sio aduino ni Arduino [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa watu wamelala sana. Sisi tuliupiga chini mradi wa Chalinze express way kwa kuwa "wafadhili" walitaka waujenge, waumiliki, kisha wakabidhi. Yaani ukitoka Moro unaenda Kigamboni unalipia Chalinze, pia unalipia daraja la Nyerere! Bro Magu akawaambia hii nchi ni tajiri subirini mcheki picha.

Siku Kenya wanajenga hata km 19 tu za express way kama Kibaha kwa pesa za ndani (gvt funds) watafanya sherehe ya kitaifa.
leo tunapiga soga nao humu wanatuona kama wachawi,ni kitambo kidogo tu wataelewa tunachowaambia.

barabara ya uma unampaje muwekezaji!!!
 
Hii ni nini hapa chini? Ama unataka kujifanya kwamba hujaisoma hii comment? Unakuanga na mchezo sana ndio maana hakuna mtu anayekuchukia seriously hapa. Unaniuliza swali ambayo nimeshakujibu?
Nimekuuliza vitu viwili. Mbona unajibu kwa kusua sua.
Revenue vs Expenditure ya Kenya.
 
Let's do a simple test tumaluza Haya mambo let's all do a speed test of the internet we currently using we post a screenshot here be it wifi or cellular. Bytheway noticed most screenshots za watanzania ni za 3G bytheway dont know why.... sometimes I use 3G when am in an area that is concentrated coz it's more stable but I rarely prefer it
Kawaida yenu sifa za kijinga, usikute apo ulipo unatumia simu ya 2015[emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90]
 
leo tunapiga soga nao humu wanatuona kama wachawi,ni kitambo kidogo tu wataelewa tunachowaambia.

barabara ya uma unampaje muwekezaji!!!
Sisi huo upuuzi tulifanya enzi hizo kwenye daraja la Nyerere pale Kigamboni. Zama hizi huo ubeberu hatutaki kabisa. Mtu atafute hela ya kula siyo ya kuvukia daraja au kutembelea barabarani.
 
programmable logic controller(PLC) is not an Open Source Controller.
Huku kwenye programming umepotea huku ndio Nyumbani kwangu. Usiokoteze websites to justify your stupidity.
Ai wewe hata vitu unaandika havieleweki... there are sooo many different types of PLCs and controllers being open source it just means you can alter them to create a PLc that can do anything you customised it to do
 
We jamaa. C# with PLC hebu acha hizo. Do you know the meaning of intermediate languages!?
Nimekwambia C# depends on .net framework. Controller is a hardware instructions.
 
Nimekuuliza vitu viwili. Mbona unajibu kwa kusua sua.
Revenue vs Expenditure ya Kenya.
Hio ya revenue vs expenditure inategemea fiscal policy inayotumika. Kenya tunatumia budget deficit policy. Budget deficit sio mbaya bora isiwe ya hali ya juu sana. Budget deficit ya Kenya iko juu kushinda kiwango nzuri. Kenya tunastahili kupunguza budget deficit yetu. Budget deficit ni pale ambapo expenditure ni more than revenue. Pia kuna balanced budget ambapo expenditure is equal to revenue. Pia kuna surplus budget ambapo revenue is more than expenditure.
Tatizo la kuwa na budget deficit kubwa ni kuwa nchi inashindwa kulipia expenses zake kutumia internal revenues inabidi ianze kukopa. Kukopa sio jambo nzuri especially ukikopa kuzidi viwango fulani. Ili Kenya ipunguze budget deficit basi ni sharti iongeze revenue au ipunguze expenditure.
 
We jamaa. C# with PLC hebu acha hizo. Do you know the meaning of intermediate languages!?
Nimekwambia C# depends on .net framework. Controller is a hardware instructions.
Did you read the last part where I wrote I use python to script? And did you know that controllers need to communicate with each other hence the C#???? Ama huelewi that .net you writing???
 
We jamaa. C# with PLC hebu acha hizo. Do you know the meaning of intermediate languages!?
Nimekwambia C# depends on .net framework. Controller is a hardware instructions.
Are you trying to deliberately pretend dumb kuficha the fact that you didnt know about open source hardware?
 
Did you read the last part where I wrote I use python to script? And did you know that controllers need to communicate with each other hence the C#???? Ama huelewi that .net you writing???
Mzee usitupotezee muda na maneno. You are just twisting words. Hujui programming.
Wewe niambie kwa kifupi tu. Which programming languages do you know!?
 
Are you trying to deliberately pretend dumb kuficha the fact that you didnt know about open source hardware?
Open Source Hardware!? wewe jamaa mbona unakuwa mjinga namna hiyo!?
Do you know the meaning of Open Source!?
Do you know the meaning of "Source" in computer science!?
Open Source Hardware!!!? Hahahahahaha!!!
 
Hahaha. Don't take that guy seriously. He says he has studied cosmology, metaphysics, software engineering, and yesterday he was trying to teach me geography. He is an expert in everything. This idea of pretending to be a genius in everything has to stop.
Hahahahaaa ss we huoni kama anajua? Kuna mwenzio nurse alipigwa maswali hapo jasho la meno likamtoka [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom