Acha kujidanganya we bwege .tuanze na YouTube kaangalie wabongo wenye subscribers wengi zaidi ya 1million subscribers ni wangapi.? Anza na haw Millard Ayo, global tv,wasafi tv,sns tv,dar 24,dar mpya tv,thinkers tv,cloudes tv, na online tv zingine kibao .na hapo sijakutajia msanii hata mmoja na usisahau kwamba diamond ndio anaongoza Africa kwa subscribers wengi. Tunakuja kwenye insta mzee watu wenye followers zaidi ya M wapo zaidi ya 100 na wengine hata uko kwenu hamuwajui funny enough hata gossip pages zina followers zaidi ya M moja ni nyingi,itoshe kusema nyie wajuba kwenye suala la access to Internet mtuache kidogo mnajidanganyaga ila kwenye ground hamjawahi kutuzidi