Tunna05
JF-Expert Member
- Apr 23, 2019
- 243
- 526
Tsavorite zipo ata tanzania ... lindi huko sasa sijui una ongea nini.. na tsavorite ni type ya garnets while Tanzanite ni type ya zoisite.. vitu viwili tofauti kabisa.. danm.. wakenya jamani mbona some of yall ni wajinga hvyo? It's so alarmingTunaiita tsavorite huku Haitwi tanzanite