Nimekuambia wakati unadeal na mimi uje na reliable sources. Kuja na World bank, Imf, UN au UNDP, OECD, Tanzania Bureau of statistics. Tosha. Ukienda kwenye internet kuokota ujinga na kuniletea basi nitakuaibisha bure.
Let me prove to you kwamba hio website ya Tradingeconomics ni takataka. Kama uonavyo kwenye screenshot ya laptop yangu, hio website uchwara inasema kwamba Tanzania ina Gdp per capita ya $930. Kama hio ni ukweli basi Tanzania bado ni LDC. So wewe amua kama Tanzania bado ni LDC au hio website ndio ya uchwara. Either website yenyewe ndio mbaya au Tanzania bado ni LDC, wewe amua.
View attachment 1683642