President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,060
- 93,451
Are you trying to deliberately pretend dumb kuficha the fact that you didnt know about open source hardware?
Are you trying to deliberately pretend dumb kuficha the fact that you didnt know about open source hardware?
The once I know ama once I use with my controllers??? If its once i know Python, Visual Basic, Java, java script C, C++, SQL,html php, u90 in short I can work with several high levels languages some from school some kujifunza due to client demandsMzee usitupotezee muda na maneno. You are just twisting words. Hujui programming.
Wewe niambie kwa kifupi tu. Which programming languages do you know!?
Nimekwambia hujui chochote.The once I know ama once I use with my controllers??? If its once i know Python, Visual Basic, Java, java script C, C++, SQL,html php, u90 in short I can work with several high levels languages some from school some kujifunza due to client demands
Nambie mkuu EZZ CHEZZ naona umechange id.Kukopa siyo tatizo, ndiyo sababu hata sisi tunatafuta mikopo. Tatizo ni;
1. Kukopa pesa kwa miradi overpriced. Mradi usioakisi thamani ya pesa unayolipia kwa mkopo ni afadhali kutoutekeleza kuliko kuutekeleza. Kumbuka hii miradi ya reli siyo commercial. Ukitaka iwe commercial huduma itakuwa ghali hivyo itakosa maana.
2. Kukopa mikopo yenye masharti magumu yanayoweka rehani rasilimali za nchi. Mikopo yenu inaweka rehani assets zenu muhimu kama vile ports! Huo ni zaidi ya wendawazimu. Ya nini kuweka rehani? Wapi mlisikia nchi imepelekwa polisi kwa kudaiwa? Mngekuwa na Kilimanjaro si mngesha iweka rehani kwa wachina nyinyi!
Sie wakija na hayo masharti tunawaambia wakajaribu kwa jirani. Waturuki tuliwaomba watukopeshe $400m kwa ajili ya phase II wakatuletea pozi tukawapotezea na kukopa kwingine. Ingekuwa nyinyi mngeshaingia mkenge.
Huyo jamaa pengine ni mtu wa masoftwares. Naona kidogo anaelewa mambo ya softwares. Tatizo ni kwamba anajifanya kujua kila kitu including geography ambayo alikuwa anajaribu kunifunza.Hahahahaaa ss we huoni kama anajua? Kuna mwenzio nurse alipigwa maswali hapo jasho la meno likamtoka [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ngoja nikwambie kitu. Huenda ukanijua vizuri. My first degree was Religious Studies DegreeHuyo jamaa pengine ni mtu wa masoftwares. Naona kidogo anaelewa mambo ya softwares. Tatizo ni kwamba anajifanya kujua kila kitu including geography ambayo alikuwa anajaribu kunifunza.
Hapana nikama ana Google hakuna mtu ambaye anaeza kua wa software engineering asijue open source hardware sababu hizo ndo hutumika kufanya project zote.... na anapinga eti hakuna kitu kama hiyo.... me nikiwa jkuat lazima tungefika nerokas iko thika kila wiki kuzitafutaHuyo jamaa pengine ni mtu wa masoftwares. Naona kidogo anaelewa mambo ya softwares. Tatizo ni kwamba anajifanya kujua kila kitu including geography ambayo
Wewe nimeshakupotezea baada ya kuanza kujikanyaga kanyaga.
Wewe ni empty.Hapana nikama ana Google hakuna mtu ambaye anaeza kua wa software engineering asijue open source hardware sababu hizo ndo hutumika kufanya project zote.... na anapinga eti hakuna kitu kama hiyo.... me nikiwa jkuat lazima tungefika nerokas iko thika kila wiki kuzitafuta
Executable file maana yake nini kama unajua na usi google ukigoogle nitajuaWewe ni empty.
Endelea na executable files.
Unajua c# nikuulize maswali mawili, matatu!?Executable file maana yake nini kama unajua na usi google ukigoogle nitajua
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Wewe hujui unachozungumzia. Eti seven star. Kuna hoteli yoyote ya 7-star duniani? Nitajie tu hata moja.
Maswali unajua ama unatoa kwa internet?Unajua c# nikuulize maswali mawili, matatu!?
Ninarudia, je unajua C# nikuulize maswali mawili, matatu!?Maswali unajua ama inatoa kwa internet?
sio yeye pekee,hao ndio watz .kama mnadhani tu ashika kimoja mnajidanganya.Huyo jamaa pengine ni mtu wa masoftwares. Naona kidogo anaelewa mambo ya softwares. Tatizo ni kwamba anajifanya kujua kila kitu including geography ambayo alikuwa anajaribu kunifunza.
Kama hata hujui simple open source hardware utajulia wapi c# si hata ungeanza na htmlUnajua c# nikuulize maswali mawili, matatu!?
Uliza Bora uelewe unacho kiulizaNinarudia, je unajua C# nikuulize maswali mawili, matatu!?