Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Only in tribal Kenya this giy will make presidency, yet he is busy criticizing the government he formed while clinging in power! No sign of leadership!

 
Naona unatafuta pa kutoka[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwn developed cities pekee ndio zina uhalalali wa kukaa watu zaidi ya milioni kumi lkn shithole tanzania ndio hairuhusu[emoji23][emoji23]

Hapo huwezi leta manake utaumbuka na research yako uchwara
Nimekujibu kifaswaha kabisa hio ndio tofaut hata ukikasirika lakini ndio ukweli 🤣🤣🤣 endelea kufananisha newyork na nairobi yani ni mbingu na ardhi watu wako mbele miaka 300
 
Mwaka wa tano huu tunaelekea na vyuma vinapiga kazi hku wengine mwaka wa nne huu bado wanapiga domo
Vinapiga kazi na reli imeishia machakani huku hasara ikiendelea kutafuna nyama zenu na mchina akidai mabilioni ya pesa 🤣🤣🤣
 
Ngoja nikwambie kitu. Huenda ukanijua vizuri. My first degree was Religious Studies Degree
Second Degree was Cosmology Degree
Third Degree was Computer Science
Then Political Science, Certificate of Finance and Statistics, certificate of Intel and Investigation, Certificate of Mathematics, Certificate of Metaphysics.
Kwa sasa na Law.
Hahaha Simba 254 I told you the guy is retarded. No need to waste time arguing with a retard.
 
Kenya kwenye mziki bado Sana🙂
Ni kwasababu ya hawakutengeneza muziki wao, walikuwa wanaiga iga miziki ya wengine, hasa ragga. Sasa duniani kote wanajua ragga inatoka wapi, watu hawawezi kusikiliza wannabe.

Sisi tuliliona hilo mapema, baada ya kusikiliza rap za GWA kwa muda na kugundua hatuelewi utamaduni wao, tukajiuliza kwa nini tusiongelee ya kwetu? Ma DJ wetu wa wakati ule kama Master J waliiwezesha sana Bongo flava. Leo hii wakina Diamond, Ali Kiba, Nandi, Zuchu n.k wanakula matunda yaliyolipandwa na kina Sugu, Mawingi, G Unit, diplomats na wengineo.
 

Source 🤣🤣🤣🤣
EBED9A02-A279-496A-B128-44EF38F220B4.jpeg
 
Opening up northern Kenya for business, if we continue like this people will move there…Rumuruti-maralal road.(120km)
IMG_20210122_220758.jpg
images (7).jpeg
images (6).jpeg
 
Back
Top Bottom