Wanaenda kupigwa tena hawa, yn reli haiko designed to be electrified but wameona Tz reli yao iko electrified nao wanataka kulaghai wananchi ili wapige pesa kwa mara nyingine, na makenya yalivyo mafisi hata hayaulizi umeme utatoka wapi, maana Tz kabla ijenge electric sgr ikaanza na hydropower the same way to Ethiopia, ss failed state inataka ianze na electric sgr.
Btw tunawakaribisha ktk ulimwengu wa umeme mana tutakuwa tunawauzia umeme wa bei rahisi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]