Japo umetoa kwenye blog ya kipuuzi ila hz article zote tunaenda kuzirekebisha, 2 yrs from today mtaona aibu hata kuuliza Google, eti Kenya is Richer than Tz, huogopi kabisaKuna mwenye anapinga????????
View attachment 1682387





Ss mtafanya biashara gn wkt kila kitu mlikuwa mnategemea kutoka Tz zen mna pack mnauza nje, but now tunauza wenyeweThe more free trade areas we have the more our economy flourishes so the more the merrier sasa manfacturing sector yetu itagrow and we will get market for our products without restrictions halafu birds of a father flock together tukianza kufanya biashara na big boys soon we will be a big boy too![]()









Kukopa as long as it's not for for recurrent expenditures ni kuzuri mimi nina deni benki ilinijengea nyumba nalipa pole pole Bora hivi nina deni but silipi kodi kuliko nilipokua bila deni nikulipa kodi. Sasa naishi kwangu ni vile lazima deni ya benki nilipe pole pole hapo kuna ubaya gani?Maskini huwa anajenga reli kwa pesa za ndani tena ya umeme, ninyi hamna mradi mkubwa mliojenga kwa pesa zenu hata mmoja, expressway tu km 5 mmeenda kukopa France, nchi yenu ni ya kisenge sn sijawahi kuona.
Njoo upanue hzo sehemu ziwe 3km basi km umeziumba wewe na magufuli, sijaona mzee zuka km wewenenda kanyonye kidaraja less than 400 m ni_panick nchi ya madaraja ya over 3km! Una ugonjwa wa akili wewe!
Wapuuzi hao majamaa, dangote mwnywe madeni yanamuangukia puani..Kukopa as long as it's not for for recurrent expenditures ni kuzuri mimi nina deni benki ilinijengea nyumba nalipa pole pole Bora hivi nina deni but silipi kodi kuliko nilipokua bila deni nikulipa kodi. Sasa naishi kwangu ni vile lazima deni ya benki nilipe pole pole hapo kuna ubaya gani?


Punguza kuongea pumba, 95% ya mzigo wote wa Mombasa port unaishia Kenya, that alone is the worst indicator of dependance / importationOur manfacturing industry is larger than yours and you here talking about kuzalisha do you really consider facts ama unaongea tu kufurahisha umati. Hata hiyo task force unaongelea kenya ilianzisha BUY KENYA BUILD KENYA kitambo saaaana wacha kupost vitu bila research utafanya tuanze kupuuza kila unachokisema kama porojo sababu hauresearch kabla ya kupost huku
Maskini huwa anajenga reli kwa pesa za ndani tena ya umeme, ninyi hamna mradi mkubwa mliojenga kwa pesa zenu hata mmoja, expressway tu km 5 mmeenda kukopa France, nchi yenu ni ya kisenge sn sijawahi kuona.

Unajitutumua kujifanya unaijua Tanzania mno, lini hilo eneo lilichimbwa hata debe 1 la nickel?Huo mgodi hauna jipya sio ni ule ile tu ambao wale jamaa sijui wa accacia wakaucha kisa hauna faida..
Sasa mamburula naona bado mnazidi kunengua na kitu ambacho ilikua kimekufa
Usilie kwanza tulia,inamaana hamuwezi kufinance kamradi kadogo kama hako?wizara ya ujenzi inaandaa budget ya nn mwaka mzima?Kukopa as long as it's not for for recurrent expenditures ni kuzuri mimi nina deni benki ilinijengea nyumba nalipa pole pole Bora hivi nina deni but silipi kodi kuliko nilipokua bila deni nikulipa kodi. Sasa naishi kwangu ni vile lazima deni ya benki nilipe pole pole hapo kuna ubaya gani?
Ndio maana agenda yenu ni wheelbarrow
Sasa ninyi ambao mna agenda ya wheelbarrow jobs kama Taifa na kuzibua mitaro ndio employment industry kubwa kwa sasa Kenya, unaweza kutuambia nini kuhusu aina za kazi na class?Wacha kujiaibisha I think hujui how this works. South africa si iko developed but iko na a very high unemployment rate of 29% kenya we at 17% but does that mean kenya is better than SA???? No. this how it works ... kwanza as a country mkiwa a third class wananchi Huwa any job goes, wanaeza fanya kazi yoyote so wengi wanafanya hata kama ni jua kali so kunakuwa na low unemployment watu wengi wana kazi(mahali tanzania na Uganda wako sasa). then as a country sababu ya watu wengi kufanya kazi you strive to middle class economy. Mkiwa middle class unapata youths wengi wanasoma demand for good and better job rises watu wanaanza kubagua kazi hawataki jua kali jobs wanataka white collar jobs so people become highly unemployed sababu watu wengi wanabagua kazi(mahali kenya, south africa na Nigeria ziko sasa) The moment kumekua na that demand and you solve it by creating many high end jobs sasa you comfortably start achieving first class economy status(mahali Europe na japan ziko sasa) hope that helps you understand
Mighty Kilifi bridge 406 mHzo ni bridge tofauti tofauti jomba![]()
![]()
![]()
Umepanic
So hii report ya lini 🤣🤣🤣👇👇
Punguza kuongea pumba Yosef FestoBytheway SGR ya kenya pia inaanza kua electrified if you dint know meaning hata kabla mtumie your train hata mara moja hata yetu itakua electrified. So ujinga ya woo yetu ya stima woo hiyo itaisha soon
View attachment 1682516
Ww sina hakika kama ulienda shule.Kawadanganye wa south sudan
Huo mgodi ukitelekezwa na wale jamaa wa accacia sijui wanajiitaje vile ndio wakapewa hao wajinga ambao hawajui kunaendaje..
Yani huo ni mgodi ambao ilikua tayari unaleta hasara![]()