Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Aawapi mlikurupuka baada ya kuona yetu ya umeme!
Hio kitu ilipangwa kuanzia mwanzo. Hata kabla ya SGR yenu kujengwa. Yetu tayari ilikuwa na provision ya kuwa electrified in future. Hata tunnels zina nafasi ya kutosha juu ya kuconnect nyaya za umene. Tukipata pesa tutaunganisha umeme kwenye SGR yetu.
 
Kwani hata kama ni sehemu ya kimkakati kwani sio pori? Mbona eneo hilo ni pori km 35 kutoka kwenye ocean. Unaposema eneo hilo sio kijiji unamaanisha kwamba eneo hilo ni jiji? Jiji gani ambalo halina majengo?
Nairobi yenyewe ina sehemu kubwa sana ambayo haina majengo,na ukiangalia jinsi ilivyo ndogo kieneo!...kwa majengo mzee dar ina majengo mengi kuliko nairobi,take that
 
Hio kitu ilipangwa kuanzia mwanzo. Hata kabla ya SGR yenu kujengwa. Yetu tayari ilikuwa na provision ya kuwa electrified in future. Hata tunnels zina nafasi ya kutosha juu ya kuconnect nyaya za umene. Tukipata pesa tutaunganisha umeme kwenye SGR yetu.
Mutaonganisha na umeme white elephant🤣🤣🤣
 
SGR ya Kenya ilikuwa designed to be electrified baadaye kutoka Mwanzoni. Hio provision iliwekwa wakati wa construction. Inaonekana hujafuatilia hii maneno vizuri. Muulize Geza Ulole maana yeye anajua mambo ya Kenya sana.
Kwahiyo hamkuheshimu design au sio? Ss mnalia lia nn wkt ndo mlivyo hamuheshimu tax payers money, yn mmejenga diesel sgr kwa gharama za electric sgr
 
Hio kitu ilipangwa kuanzia mwanzo. Hata kabla ya SGR yenu kujengwa. Yetu tayari ilikuwa na provision ya kuwa electrified in future. Hata tunnels zina nafasi ya kutosha juu ya kuconnect nyaya za umene. Tukipata pesa tutaunganisha umeme kwenye SGR yetu.

Mchina aliwapa proforma invoice ya project wakapoteana, walifikiri sababu Tanzania imeweza basi ni rahisi tu hata wao wanamudu

Elimu haijawahi kumsaidia mkenya, unataka uweke cartenary poles wkt umeme wa uhakika hauna, ila Wakenya watushukuru sn mana tumewafundisha mengi, na ss wanaona jinsi tunavyo wa outsmart daily
 
Hio kitu ilipangwa kuanzia mwanzo. Hata kabla ya SGR yenu kujengwa. Yetu tayari ilikuwa na provision ya kuwa electrified in future. Hata tunnels zina nafasi ya kutosha juu ya kuconnect nyaya za umene. Tukipata pesa tutaunganisha umeme kwenye SGR yetu.
 
Kwahiyo hamkuheshimu design au sio? Ss mnalia lia nn wkt ndo mlivyo hamuheshimu tax payers money, yn mmejenga diesel sgr kwa gharama za electric sgr
Uelewa wako ndio tatizo au nini? Poles za umeme bado hazijawekwa ila nafasi ya poles ipo. Pesa ikipatikana ni kufix poles tu. Hata tunnels ni refu ili kuruhusu nyanya kufixiwa juu
 
Tatizo sio pesa tu. Umeme wa Kenya ni unreliable ku-support electrification ya SGR! You have a long way to go.
 
Elimu haijawahi kumsaidia mkenya, unataka uweke cartenary poles wkt umeme wa uhakika hauna, ila Wakenya watushukuru sn mana tumewafundisha mengi, na ss wanaona jinsi tunavyo wa outsmart daily
Yaani ikiwekwa umeme itakuwa ndio the world's most expensive railway ever na bado itaendelea kwenda hivyo hivyo kama konono au hata ikapungua speed kidogo 😅😅
 
Aawapi mlikurupuka baada ya kuona yetu ya umeme! Nakumbuka sana former KR managing Director Mr. Maina alivyosaini mkataba! Now 3 years down the line hamna kitu!
reli yetu imechapa kazi kwa mda bila matatizo kama reli ya Ethiopia - Djibouti ambayo iko electrified.....Ikumbukwe Ethiopia wanazalisha umeme mwingi kuliko nchi yeyote ukanda huu.Only time will tell between kenya na Tanzania nani amekurupuka
 
Sasa kwanini mushtuka leo 🤣🤣👇👇

In a good democracy the government has to be kept in check it's just a culture that has grown in kenya to complain over stuff just to ensure you get the best results if you follow how Kenyans complain in the internet you might think nothing is happening but in reality on the ground alot is happening
 
reli yetu imechapa kazi kwa mda bila matatizo kama reli ya Ethiopia - Djibouti ambayo iko electrified.....Ikumbukwe Ethiopia wanazalisha umeme mwingi kuliko nchi yeyote ukanda huu.Only time will tell between kenya na Tanzania nani amekurupuka
Sisi tunapiga 12 trains za mizigo per day. Wacha tuone hawa Malazy kama watafikisha hata sita per day.
 
Tatizo sio pesa tu. Umeme wa Kenya ni unreliable ku-support electrification ya SGR! You have a long way to go.
Waache mkuu tutawauzia, mbn mbele ya safari tunaenda kuitawala Kunyaland, tutawauzia kuanzia food stuffs, manufacturing products, umeme, gas etc.
 
reli yetu imechapa kazi kwa mda bila matatizo kama reli ya Ethiopia - Djibouti ambayo iko electrified.....Ikumbukwe Ethiopia wanazalisha umeme mwingi kuliko nchi yeyote ukanda huu.Only time will tell between kenya na Tanzania nani amekurupuka
Nyota njema huonekana asubuhi mzee au hujui hilo?
 
Uelewa wako ndio tatizo au nini? Poles za umeme bado hazijawekwa ila nafasi ya poles ipo. Pesa ikipatikana ni kufix poles tu. Hata tunnels ni refu ili kuruhusu nyanya kufixiwa juu
kuelectrify sgr si gharama kubwa ivo....tatizo ipo pale pa reliable electricity ambayo lazma tuifanyie kazi
 
Back
Top Bottom